Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikwete kufungua mkutano Kanda ya Afrika keshokutwa

Rais Jakaya KikweteMKUTANO wa Kanda ya Afrika unaohusu Mpango wa Uendeshaji wa Shughuli za Serikali kwa Uwazi, utafanyika jijini Dar es Salaam kwa siku tatu kuanzia keshokutwa na utafunguliwa na Rais Jakaya Kikwete.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE KUFUNGUA MKUTANO WA TAKWIMU HURIA KANDA YA AFRIKA

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete.SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kushirikiana na Benki ya Dunia itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa Takwimu Huria Kanda ya Afrika.


Mkutano huo utakaofunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete utafanyika tarehe 4 – 5 Septemba, 2015 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam.  Kauli Mbiu ni “Tumia Takwimu Huria  Kuendeleza Afrika” (Developing Africa Through Open Data).


Washiriki takriban...

 

9 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete afungua mkutano wa siku mbili wa Takwimu Huria Kanda ya Afrika

02

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akifungua mkutano wa siku mbili wa Takwimu Huria Kanda ya Afrika unaofanyika nchini katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere leo jijini Dar es Salaam. Katikati ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Mwakilishi wa Benki ya Dunia nchini Bella Bird (wa kwanza kulia).

04

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mathias Chikawe akimkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete (hayupo pichani)...

 

10 years ago

Dewji Blog

Dkt. Bilal amuwakilisha Rais Kikwete katika mkutano wa Utengamano wa Biashara kwa kanda za utatu za Afrika

4_1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza katika Mkutano mkuu wa tatu wa Mkutano Mkuu wa tatu wa Wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Soko la pamoja la nchi za Kusini mwa Afrika (COMESA) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), uliofanyika leo Juni 10, 2015 kwenye ukumbi wa Kimataifa wa mikutano wa Jolie Vile, Sharma El Sheikh. Agenda ya mkutano huo ni kupokea taarifa ya majadiliano ya kuanzisha eneo huru la Biashara la Utatu...

 

10 years ago

Mwananchi

Prof Lipumba kufungua pazia urais keshokutwa

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa  Ibrahim Lipumba, Jumapili atachukua fomu ya kugombea urais ndani ya chama hicho na atawaeleza Watanzania sababu ya kuwania nafasi hiyo.

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA KANDA YA AFRIKA

Kamishna wa Fedha za Nje Bwana Ngosha Manyoga akiwa katika majadiliano yanayohusu ya ripoti ya utekelezaji wa mpango wa mafanikio katika nchi za Africa.

Wajumbe waliohudhuria Mkutano wa Kanda ya Afrika wakimsikiliza na kufuatilia kwa makini Dkt. Mulu Ketsela ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Afrika alipokuwa akiwasilisha ripoti ya Benki hiyo.

Waziri wa Fedha wa Rwanda Mhe. Claver Gatete akitoa ufafanua wa masuala mbalimbali yanayohusu nchi za Afrika. Kushoto kwake ni Katibu Mkuu wa...

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete kufungua Bunge la Afrika Mashariki

RAIS Jakaya Kikwete anatarajia kufungua kikao cha tatu cha Bunge la Tatu la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA), litakaloanza kesho kwenye Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam. Hayo yalibainishwa jana Dar es Salaam na Spika wa EALA, Margaret Nantongo Zziwa alipozungumza na waandishi wa habari.

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KUFUNGUA MKUTANO WA KIKANDA JUU YA UKUAJI NA MAISHA YA BAADAE YA MIJI YA AFRIKA

Taasisi ya Uongozi wa Afrika kwa Maendeleo Endelevu (UONGOZI Institute) imeandaa  mkutano  wa kikanda  utakaokutanisha viongozi na watunga sera  kutoka  nchi  za Afrika mashariki kuzungumzia changamoto za ukuaji wa miji na kushughulikia hali ya baadaye ya miji ya Afrika.
Mkutano huu uliopewa jina la, ‘Maisha ya baadae ya nchi za Afrika Mashariki: Jinsi gani tunataka kuishi mwaka 2050’, utafanyika katika hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam, Kilimanjaro Hotel tarehe 19 na 20 Februari ambapo...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AWASILI MKOANI ARUSHA KUFUNGUA MKUTANO WA SEKTA YA BARABARA

 Baadhi ya wananchi wa Mkoa wa Arusha wakimkaribisha kwa shangwe Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro ttayari kufungua Mkutano wa nne wa mwaka wa wadau wa sekta ya barabara chini ya Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa unaofanyka katika hoteli ya Ngurdoto Mkoani Arusha. Rais Kikwete akisalimiana na baadhi ya wananchi alipowasili kata ya Ngurdoto Wilayani Arumeru,Mkoani Arusha leo(picha na Freddy Maro).

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA MWENYEJI WA MKUTANO WA MABENKI YA AKIBA DUNIANI (WSBI) KANDA YA AFRIKA

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, kuhusu mkutano wa mabenki ya Akiba Duniani (WSBI) Kanda ya Afrika utakaofanyika kuanzia kesho jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Sheria wa benki hiyo, Mystika Ngongi.Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, kuhusu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani