WAZIRI MKUU KUFUNGUA MKUTANO WA KIKANDA JUU YA UKUAJI NA MAISHA YA BAADAE YA MIJI YA AFRIKA
![](http://2.bp.blogspot.com/-Ri-exbZJYlE/VOHAPazMutI/AAAAAAAHD8U/WIrhA_NwzX8/s72-c/download.jpeg)
Taasisi ya Uongozi wa Afrika kwa Maendeleo Endelevu (UONGOZI Institute) imeandaa mkutano wa kikanda utakaokutanisha viongozi na watunga sera kutoka nchi za Afrika mashariki kuzungumzia changamoto za ukuaji wa miji na kushughulikia hali ya baadaye ya miji ya Afrika.
Mkutano huu uliopewa jina la, ‘Maisha ya baadae ya nchi za Afrika Mashariki: Jinsi gani tunataka kuishi mwaka 2050’, utafanyika katika hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam, Kilimanjaro Hotel tarehe 19 na 20 Februari ambapo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog16 Feb
Waziri mkuu Mh. Mizengo Pinda kufungua mkutano wa kikanda juu ya ukuaji na maisha ya baadae ya miji ya Afrika
Waziri Mkuu wa Tanzania, Mh. Mizengo Pinda (Mb).
Taasisi ya Uongozi wa Afrika kwa Maendeleo Endelevu (UONGOZI Institute) imeandaa mkutano wa kikanda utakaokutanisha viongozi na watunga sera kutoka nchi za Afrika mashariki kuzungumzia changamoto za ukuaji wa miji na kushughulikia hali ya baadaye ya miji ya Afrika.
Mkutano huu uliopewa jina la, ‘Maisha ya baadae ya nchi za Afrika Mashariki: Jinsi gani tunataka kuishi mwaka 2050’, utafanyika katika hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam,...
10 years ago
MichuziMH. ANGELA KAIRUKI AFUNGA RASMI MKUTANO WA KIKANDA WA UKUAJI WA MAISHA YA BAADAE KWA MIJI YA AFRIKA MASHARIKI
Mkutano huo wa siku mbili uliohudhuriwa na wawakilishi wa ngazi za juu kutoka serikalini, mashirika ya kikanda na kimataifa, miji mikubwa, wasomi, sekta binafsi na asasi za kiraia...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ZOB6-iUmBv0/VOXGYjJYPpI/AAAAAAAHEgk/RxG6RF7KuSQ/s72-c/DSC_0005.jpg)
Balozi Seif Ali Idd afungua mkutano wa kikanda wa Ukuaji wa maisha ya baadae kwa miji ya Afrika,jijini Dar leo
![](http://4.bp.blogspot.com/-ZOB6-iUmBv0/VOXGYjJYPpI/AAAAAAAHEgk/RxG6RF7KuSQ/s1600/DSC_0005.jpg)
10 years ago
Dewji Blog19 Feb
Balozi Iddi afungua rasmi mkutano wa kikanda juu ya ukuaji wa miji ya Afrika Mashariki
Afisa mtendaji mkuu wa Taasisi ya Uongozi wa Afrika kwa Maendeleo Endelevu (UONGOZI Institute) Prof. Joseph Semboja, (Kulia) akimkaribisha Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar , Mh. Balozi Seif Ali Iddi, (kushoto) kufungua rasmi Mkutano wa kikanda uliokutanisha viongozi na watunga sera kutoka nchi za Afrika mashariki, kuzungumzia changamoto za ukuaji wa miji na kushughulikia hali ya baadae ya miji ya Afrika mpaka ifikapo 2050, katikati ni mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick....
10 years ago
Dewji Blog23 Feb
Kairuki afunga mkutano wa ukuaji wa miji Afrika Mashariki
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Mendeleo ya makazi,Mhe:Angela Kairuki, akiongea na Viongozi na watunga Sera kutoka Nchi za Afrika Mashariki wakati wa kufunga Mkutano wa siku mbili ulioandaliwa na Taasisi ya Uongozi wa Afrika kwa Maendeleo Endelevu (UONGOZI INSTITUTE) uliozungumzia changamoto za ukuaji wa miji na jinsi gani tungependa kuishi ifikapo 2050. Mkutano huo ulifanyika katika hoteli ya Hyatt Regency zamani Kilimanjaro-jijini Dar es Salaam.
Afisa mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uongozi...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-3NK1WofJyg4/U1fjtfeRgbI/AAAAAAAFcgQ/TaZx93QHPLM/s72-c/zimbabwe_SADC-bernard-membe-vert130802_300_420_100.jpg)
MEMBE KUFUNGUA MKUTANO WA KIMATAIFA JUU YA UALBINO
![](http://1.bp.blogspot.com/-3NK1WofJyg4/U1fjtfeRgbI/AAAAAAAFcgQ/TaZx93QHPLM/s1600/zimbabwe_SADC-bernard-membe-vert130802_300_420_100.jpg)
WAZIRI wa wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mkutano wa Kimataifa wa Ualbino utakaofanyika mwezi Mei mwaka huu.
Hayo yamesemwa na Afisa Mahusiano na habari wa Chama cha Albino Tanzania (TAS), Josephat Torner wakati wa mkutano na waandishi wa Habari leo jijini Dar es salaam. Torner alisema mkutano huo wa siku moja utafanyika katika hoteli ya Serena Jijini Dar es salaam na utawahusisha washiriki toka...
11 years ago
MichuziWAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AFUNGA MKUTANO WA KUHUSU KUWALINDA TEMBO AFRIKA
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-c5TD0fjOhtk/U2UTaUBiGHI/AAAAAAAFfMI/wpOteJtrzmM/s72-c/unnamed+(4).jpg)
WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AMWAKILISHA RAIS KIKIWETE KWENYE MKUTANO WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI -NAIROBI
![](http://2.bp.blogspot.com/-c5TD0fjOhtk/U2UTaUBiGHI/AAAAAAAFfMI/wpOteJtrzmM/s1600/unnamed+(4).jpg)
10 years ago
Habarileo18 May
Kikwete kufungua mkutano Kanda ya Afrika keshokutwa
MKUTANO wa Kanda ya Afrika unaohusu Mpango wa Uendeshaji wa Shughuli za Serikali kwa Uwazi, utafanyika jijini Dar es Salaam kwa siku tatu kuanzia keshokutwa na utafunguliwa na Rais Jakaya Kikwete.