MEMBE KUFUNGUA MKUTANO WA KIMATAIFA JUU YA UALBINO
![](http://1.bp.blogspot.com/-3NK1WofJyg4/U1fjtfeRgbI/AAAAAAAFcgQ/TaZx93QHPLM/s72-c/zimbabwe_SADC-bernard-membe-vert130802_300_420_100.jpg)
Frank Mvungi- Maelezo
WAZIRI wa wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mkutano wa Kimataifa wa Ualbino utakaofanyika mwezi Mei mwaka huu.
Hayo yamesemwa na Afisa Mahusiano na habari wa Chama cha Albino Tanzania (TAS), Josephat Torner wakati wa mkutano na waandishi wa Habari leo jijini Dar es salaam. Torner alisema mkutano huo wa siku moja utafanyika katika hoteli ya Serena Jijini Dar es salaam na utawahusisha washiriki toka...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMAALIM SEIF AMUWAKILISHA DK. SHEIN KUFUNGUA MKUTANO WA KIMATAIFA WA MUZIKI KWA NCHI ZA JAHAZI
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Ri-exbZJYlE/VOHAPazMutI/AAAAAAAHD8U/WIrhA_NwzX8/s72-c/download.jpeg)
WAZIRI MKUU KUFUNGUA MKUTANO WA KIKANDA JUU YA UKUAJI NA MAISHA YA BAADAE YA MIJI YA AFRIKA
![](http://2.bp.blogspot.com/-Ri-exbZJYlE/VOHAPazMutI/AAAAAAAHD8U/WIrhA_NwzX8/s1600/download.jpeg)
Mkutano huu uliopewa jina la, ‘Maisha ya baadae ya nchi za Afrika Mashariki: Jinsi gani tunataka kuishi mwaka 2050’, utafanyika katika hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam, Kilimanjaro Hotel tarehe 19 na 20 Februari ambapo...
10 years ago
Vijimambo17 Nov
WAZIRI MEMBE AFUNGUA MKUTANO WA KIMATAIFA KUHUSU SAYANSI YA JAMII
10 years ago
Dewji Blog16 Feb
Waziri mkuu Mh. Mizengo Pinda kufungua mkutano wa kikanda juu ya ukuaji na maisha ya baadae ya miji ya Afrika
Waziri Mkuu wa Tanzania, Mh. Mizengo Pinda (Mb).
Taasisi ya Uongozi wa Afrika kwa Maendeleo Endelevu (UONGOZI Institute) imeandaa mkutano wa kikanda utakaokutanisha viongozi na watunga sera kutoka nchi za Afrika mashariki kuzungumzia changamoto za ukuaji wa miji na kushughulikia hali ya baadaye ya miji ya Afrika.
Mkutano huu uliopewa jina la, ‘Maisha ya baadae ya nchi za Afrika Mashariki: Jinsi gani tunataka kuishi mwaka 2050’, utafanyika katika hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam,...
10 years ago
MichuziMAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA UELIMISHAJI UMMA KUHUSU UALBINO
10 years ago
MichuziJK MGENI RASMI MAADHIMISHO YA KIMATAIFA YA WATU WENYE UALBINO
9 years ago
Habarileo04 Sep
JK kufungua mkutano wa Takwimu Huria
SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kushirikiana na Benki ya Dunia itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa Takwimu Huria Kanda ya Afrika.
9 years ago
Habarileo02 Sep
Bilal kufungua mkutano wa tabianchi
MAKAMU wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal anatarajiwa kufungua mkutano unaowashirikisha Mawaziri na viongozi mbalimbali 250 kutoka nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, Nchi za Pembe ya Afrika na Nchi za visiwa vya bahari ya Hindi.
11 years ago
Habarileo09 Aug
Dk Bilal kufungua mkutano wa mitaala ya Kiislamu
CHUO Kikuu cha Waislamu cha Morogoro (MUM) kwa kushirikiana na Taasisi ya International Islamic Thought (IIIT) yenye makao yake makuu nchini Marekani, kimeandaa mkutano wa kimataifa juu ya Epistimolojia ya Kiislamu na Maendeleo ya Mitaala.