Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK kufungua mkutano wa Takwimu Huria

SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kushirikiana na Benki ya Dunia itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa Takwimu Huria Kanda ya Afrika.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE KUFUNGUA MKUTANO WA TAKWIMU HURIA KANDA YA AFRIKA

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete.SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kushirikiana na Benki ya Dunia itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa Takwimu Huria Kanda ya Afrika.


Mkutano huo utakaofunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete utafanyika tarehe 4 – 5 Septemba, 2015 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam.  Kauli Mbiu ni “Tumia Takwimu Huria  Kuendeleza Afrika” (Developing Africa Through Open Data).


Washiriki takriban...

 

9 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete afungua mkutano wa siku mbili wa Takwimu Huria Kanda ya Afrika

02

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akifungua mkutano wa siku mbili wa Takwimu Huria Kanda ya Afrika unaofanyika nchini katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere leo jijini Dar es Salaam. Katikati ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Mwakilishi wa Benki ya Dunia nchini Bella Bird (wa kwanza kulia).

04

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mathias Chikawe akimkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete (hayupo pichani)...

 

9 years ago

Michuzi

MKUTANO WA TAKWIMU HURIA KANDA YA AFRIKA (AFRICA OPEN DATA CONFERENCE) ______________________________________

       Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kushirikiana na Benki ya Dunia itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa Takwimu Huria Kanda ya Afrika. Mkutano huo utakaofunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete utafanyika tarehe 4 – 5 Septemba, 2015 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam.  Kauli Mbiu ni “Tumia Takwimu Huria  Kuendeleza Afrika” (Developing Africa Through Open Data).


Washiriki takriban 400 kutoka...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA KIMATAIFA WA MFUMO WA TAKWIMU HURIA BARANI AFRIKA, JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Rais Jakaya Kikwete akizungumza na washiriki (hawapo pichani) wa Mkutano wa Kimataifa wa Mfumo wa Takwimu Huria Barani Afrika katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo. Katika hotuba yake Rais Kikwete alisema jukumu la utoaji wa taarifa kwa umma si kwa serikali pekee bali hata kwa Sekta binafsi pamoja na taasisi zingine zisizokuwa za serikali zinatakiwa kufuata mfumo huo ili kuleta maendeleo katika nchi husika. Mkutano huo ambao unaudhuriwa na mamia ya...

 

9 years ago

Habarileo

Bilal kufungua mkutano wa tabianchi

MAKAMU wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal anatarajiwa kufungua mkutano unaowashirikisha Mawaziri na viongozi mbalimbali 250 kutoka nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, Nchi za Pembe ya Afrika na Nchi za visiwa vya bahari ya Hindi.

 

11 years ago

Habarileo

Mama Salma kufungua mkutano wa WAMA

TAASISI ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) kwa kushirikiana na Shirika la Management Development for Health (MDH) Tanzania na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, leo wanafanya Mkutano wa Kitaifa wa Kutokomeza Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto.

 

11 years ago

Habarileo

Dk Bilal kufungua mkutano wa mitaala ya Kiislamu

Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib BilalCHUO Kikuu cha Waislamu cha Morogoro (MUM) kwa kushirikiana na Taasisi ya International Islamic Thought (IIIT) yenye makao yake makuu nchini Marekani, kimeandaa mkutano wa kimataifa juu ya Epistimolojia ya Kiislamu na Maendeleo ya Mitaala.

 

10 years ago

BBCSwahili

Obama kufungua mkutano wa biashara Kenya

Rais wa Marekani Barrack Obama anatarajiwa kufungua mkutano mkubwa wa kibiashara katika siku ya kwanza ya ziara yake ya kipekee nchini Kenya.

 

10 years ago

Vijimambo

MHE. PINDA KUFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA PSPF

Waziri Mkuu Mizengo Pinda, (Kushoto), akipatiwa maelezo na Mkurugenzi wa ukaguzi wa ndani, wa PSPF, Goddfrey Ngonyani, wakati alipotembelea banda la mfuko huo kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam jana. Kulia ni Meneja Mawasiliano, Mahusiano na Masoko, Costantina Martin. (Picha na Khalfan Said)
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Mizengo Kayanza Pinda anatarajiwa kufungua mkutano wa Nne wa Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani