Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKUTANO WA TAKWIMU HURIA KANDA YA AFRIKA (AFRICA OPEN DATA CONFERENCE) ______________________________________

       Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kushirikiana na Benki ya Dunia itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa Takwimu Huria Kanda ya Afrika. Mkutano huo utakaofunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete utafanyika tarehe 4 – 5 Septemba, 2015 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam.  Kauli Mbiu ni “Tumia Takwimu Huria  Kuendeleza Afrika” (Developing Africa Through Open Data).


Washiriki takriban 400 kutoka...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE KUFUNGUA MKUTANO WA TAKWIMU HURIA KANDA YA AFRIKA

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete.SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kushirikiana na Benki ya Dunia itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa Takwimu Huria Kanda ya Afrika.


Mkutano huo utakaofunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete utafanyika tarehe 4 – 5 Septemba, 2015 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam.  Kauli Mbiu ni “Tumia Takwimu Huria  Kuendeleza Afrika” (Developing Africa Through Open Data).


Washiriki takriban...

 

9 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete afungua mkutano wa siku mbili wa Takwimu Huria Kanda ya Afrika

02

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akifungua mkutano wa siku mbili wa Takwimu Huria Kanda ya Afrika unaofanyika nchini katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere leo jijini Dar es Salaam. Katikati ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Mwakilishi wa Benki ya Dunia nchini Bella Bird (wa kwanza kulia).

04

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mathias Chikawe akimkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete (hayupo pichani)...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA KIMATAIFA WA MFUMO WA TAKWIMU HURIA BARANI AFRIKA, JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Rais Jakaya Kikwete akizungumza na washiriki (hawapo pichani) wa Mkutano wa Kimataifa wa Mfumo wa Takwimu Huria Barani Afrika katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo. Katika hotuba yake Rais Kikwete alisema jukumu la utoaji wa taarifa kwa umma si kwa serikali pekee bali hata kwa Sekta binafsi pamoja na taasisi zingine zisizokuwa za serikali zinatakiwa kufuata mfumo huo ili kuleta maendeleo katika nchi husika. Mkutano huo ambao unaudhuriwa na mamia ya...

 

9 years ago

TheCitizen

Tanzania hosts open data conference

The two-day gathering has been jointly organised by the government of Tanzania and the World Bank

 

9 years ago

Habarileo

JK kufungua mkutano wa Takwimu Huria

SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kushirikiana na Benki ya Dunia itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa Takwimu Huria Kanda ya Afrika.

 

9 years ago

AllAfrica.Com

Conference Places Open Data At Center of Development Agenda


Conference Places Open Data At Center of Development Agenda
AllAfrica.com
Dar es Salaam — ore than 400 representatives from government, academia, private industry, civil society, and international organizations have gathered in Dar es Salaam for a two-day conference to share experiences and best practices to promote the ...

 

11 years ago

Michuzi

DKT BILALI AFUNGUA Mkutano wa 45 wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola kanda ya Afrika (CPA Africa Region)

 Wajumbe wa Mkutano wa 45 wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola kanda ya Afrika (CPA Africa Region) wakiimba wimbo wa Taifa wa Tanzania kabla ya Ufunguzi wa Mkutano huo jana. Mkutano huo ulifunguliwa rasmi na Makamu wa Rais wa Jamhruri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mohammed Ghalib Bilal.  Makamu wa Rais wa Jamhruri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mohammed Ghalib Bilal akifungua Mkutano wa 45 wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola kanda ya Afrika (CPA...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA KANDA YA AFRIKA

Kamishna wa Fedha za Nje Bwana Ngosha Manyoga akiwa katika majadiliano yanayohusu ya ripoti ya utekelezaji wa mpango wa mafanikio katika nchi za Africa.

Wajumbe waliohudhuria Mkutano wa Kanda ya Afrika wakimsikiliza na kufuatilia kwa makini Dkt. Mulu Ketsela ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Afrika alipokuwa akiwasilisha ripoti ya Benki hiyo.

Waziri wa Fedha wa Rwanda Mhe. Claver Gatete akitoa ufafanua wa masuala mbalimbali yanayohusu nchi za Afrika. Kushoto kwake ni Katibu Mkuu wa...

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO WA MAENDELEO YA TAKWIMU AFRIKA WAENDELEA NCHINI UGANDA

Mwanafunzi wa Shahada ya Uzamili katika Takwimu Rasmi kutoka Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika kilichopo Changanyikeni Dar es Salaam Bi. Oloumi Olatunde kutoka Nigeria akiwasilisha mada kuhusu Ufundishwaji wa Takwimu Rasmi katika chuo hicho wakati wa Mkutano wa Kumi wa Maendeleo ya Takwimu Afrika unaomalizika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Speke Resort Kampala Uganda.Washiriki kutoka Tanzania wakisikiliza kwa makini mada kuhusu Ufundishwaji wa Takwimu Rasmi katika Chuo cha Takwimu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani