Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk Bilal kufungua mkutano wa mitaala ya Kiislamu

Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib BilalCHUO Kikuu cha Waislamu cha Morogoro (MUM) kwa kushirikiana na Taasisi ya International Islamic Thought (IIIT) yenye makao yake makuu nchini Marekani, kimeandaa mkutano wa kimataifa juu ya Epistimolojia ya Kiislamu na Maendeleo ya Mitaala.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Bilal kufungua mkutano wa tabianchi

MAKAMU wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal anatarajiwa kufungua mkutano unaowashirikisha Mawaziri na viongozi mbalimbali 250 kutoka nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, Nchi za Pembe ya Afrika na Nchi za visiwa vya bahari ya Hindi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dk. Bilal kufungua mkutano wa wanasanyasi vijana duniani

MAKAMU wa Rais Dk. Mohamed Bilal anatajiwa kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa wanasayansi vijana duniani utakaofanyika Agosti 11 hadi 14 mwaka huu, jijini Dar es Salaam. Mkutano huo utashirikisha...

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA MITAALA KWA VYUO VYA KIISLAM, MJINI MOROGORO

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Abrahman Kinana wakati akiwasili katika ufunguzi wa Kongamano la Kimataifa kuhusu Mitaala kwa Vyuo vya Kiislam lililozinduliwa juzi Agosti 09, 2014 katika chuo Kikuu cha Kiislam Morogoro. Katikati ni Ramadhan Dau Mkurugenzi wa NSSF Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake  wakati akiwasili wa ufunguzi wa Kongamano la...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dk. Bilal kufungua kongamano NIMR

MAKAMU wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, anatarajia kufungua kongamano la 28 la Sayansi la Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) sambamba na kukabidhi tuzo kwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal aungana na waumini wa Dini ya Kiislamu katika Swala ya Eid El-Haji Jijini Dar

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiungana na waumini wa dini ya Kiislamu katika swala ya Sikukuu ya Eid El- Hajim iliyoswaliwa katika Msikiti wa Istiqaama, jijini Dar es Salaam, jana. Wa pili (kulia) ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Seif Rashid. (Picha na OMR).

2

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na waumini wa dini ya Kiislamu baada ya kushiriki swala ya Sikukuu ya Eid El- Hajim...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AJUMUIKA NA WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU KATIKA SWALA YA EID EL FITRI KITAIFA MKOANI GEITA.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na Baadhi ya Viongozi wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania, (BAKWATA) na wananchi katika swala ya Sikukuu ya Eid El-Fitri iliyofanyika Kitaifa kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kalangalala, katika Halmashauri ya Mji wa Geita, leo Julai 18, 2015. Picha na OMRMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akishiriki swala ya Sikukuu ya Eid El-Fitri na waumini wa Dini ya...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AJUMUIKA NA WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU KATIKA SWALA YA EID EL FITRI KITAIFA MKOANI GEITA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na Baadhi ya Viongozi wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania, (BAKWATA) na wananchi katika swala ya Sikukuu ya Eid El-Fitri iliyofanyika Kitaifa kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kalangalala, katika Halmashauri ya Mji wa Geita, leo Julai 18, 2015.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akishiriki swala ya Sikukuu ya Eid El-Fitri na waumini wa Dini ya Kiislamu...

 

11 years ago

Michuzi

DKT. BILAL AWASILI MJINI UNGUJA KUFUNGUA KONGAMANO LA MUUNGANO KESHO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya maafisa na viongozi wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mjini Zanzibar leo jioni kwa ajili ya kufungua rasmi Kongamano la Muungano, linaloanza kesho katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort. Wa pili (kulia) ni mkewe Mama Zakia Bilal. Picha na OMR

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani