Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DK. MOHAMED GHARIB BILAL, KUFUNGUA MKUTANO WA UWEKEZAJI WA SEKTA YA NYUMBA, DUBAI, UAE, 11 JUNI, 2014.


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

BALOZI MDOGO WA TANZANIA, DUBAI AFANYA MAHOJIANO NA CLOUDSTV WAKATI WA MKUTANO WA UWEKEZAJI KWENYE SEKTA YA NYUMBA

Mahojiano ya Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai Mheshimiwa Omar Mjenga na CloudsTV, yaliyofanyika  wakati wa mkutano wa uwekezaji kwenye sekta ya nyumba uliofanyika haa Dubai na kufunguliwa rasmi na Mheshimiwa Dk. Mohamed Bilal, Makamu wa Rais. Mkutano huo uliandaliwa na Ubalozi Mdogo kwa kushirikiana na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), ambako waliweza kuwasilisha miradi yao mitatu ya miji maalum (Satelite Cities) za Kibada, Dar es saalam, Safari City ya Arusha. Huu ni mkutano wa kwanza...

 

11 years ago

Michuzi

Mheshimiwa Omar Mjenga, Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai, aongea katika mkutano wa sekta ya nyumba

mahojiano ya Mheshimiwa Omar Mjenga, Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai, akihojiwa na Cloudstv wakati wa mkutano wa uwekezaji sekta ya nyumba uliofanyika tarehe 11 Juni, 2014 katika Hotel ya Jumeirah Madnat Dubai. Makamu wa Rais Mheshimiwa Dkt Mohamed Bilal alikuwa mgeni rasmi.

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MOHAMED GHARIB BILAL AHUDHURIA KUWEKWA WAKFU ASKOFU KENEN PANJA MJINI TUKUYU LEO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Abass Kandoro wakati alipowasili kwenye Uwanja wa ndege wa Songwe mkoani humo leo Sept 20,2015 kwa ajili ya kuhudhuria sherehe ya kuwekwa wakfu Askofu mteule  wa Kanisa la Morovian Tanzania Jimbo la kusini Mchungaji Kenan Salim  Pannja zilizofanyika katika Uwanja wa michezo wa Tandale mjini Tukuyu  Mkoani Mbeya. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe....

 

11 years ago

Michuzi

Makamu wa Rais Dk. Mohamed Ghalib Bilal, atembelea Dubai Sports City leo


Makamu wa Rais Dk. Mohamed Ghalib Bilal, leo ametembelea mradi mpya wa Dubai Sports City, na kujionea ramani ya mradi huo mkubwa wa kijiji cha michezo Dubai. Kulia kwa Makamu wa Rais, ni Bwana Mohamed Sharif, Mtanzania ambaye ni Mtendaji Mkuu wa Mradi wa Dubai Sports City. Kulia mwa picha ni Balozi Mbarouk, na kushoto mwa picha ni Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai Mhe. Omar Mjenga.

 

11 years ago

GPL

MAKAMU WA RAIS DR.MOHAMMED GHARIB BILAL ALIPOTEMBELEA BANDA LA SHIRIKA LA NYUMBA (NHC)‏

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr.Mohammed Gharib Bilal akikaribishwa na Meneja masoko wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC Bw. Tuntufye Mwambusi wakati alipotembelea banda la shirika hilo katika maonyesho ya Nanenane kitaifa yaliyofungwa jana mjini Lindi na Mh. Makamu wa Rais Mh. Dr. Mohammed Gharib Bilal . Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr. Mohammed Gharib Bilal akisikiliza maelezo kutoka...

 

11 years ago

Michuzi

Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai, Mhe. Omar Mjenga Akutana na Mkurugenzi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya UAE, Ofisi ya Dubai.























Mhe. Omar Mjenga, Balozi Mdogo wa Ubalozi Mdogo wa Tanzania uliopo Dubai, akiwa katika picha na Mhe. Yousef A. Rahmani Al Mahaira, Mkurugenzi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya UAE, Ofisi ya Dubai baada ya kikao chao leo ofisini kwa Mhe. Yousef. Kikao chao kilijadili maandalizi ya maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanzania. Mhe. Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu na Mtukufu Sheikh Ahmed Bin Saeed Ak Maktoum, Rais wa Idara ya Anga ya Dubai na Mwenyekiti wa Shirika la Ndege...

 

11 years ago

GPL

MAKAMU WA RAIS DK. GHARIB BILAL NDANI YA TAMASHA LA MATUMAINI 2014

Mgeni rasmi katika Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014, Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal akitoa hotuba fupi. Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers Ltd ambao ndiyo waandaaji wa Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014, Eric Shigongo naye akitoa neno la…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani