Makamu wa Rais Dk. Mohamed Ghalib Bilal, atembelea Dubai Sports City leo
.jpg)
Makamu wa Rais Dk. Mohamed Ghalib Bilal, leo ametembelea mradi mpya wa Dubai Sports City, na kujionea ramani ya mradi huo mkubwa wa kijiji cha michezo Dubai. Kulia kwa Makamu wa Rais, ni Bwana Mohamed Sharif, Mtanzania ambaye ni Mtendaji Mkuu wa Mradi wa Dubai Sports City. Kulia mwa picha ni Balozi Mbarouk, na kushoto mwa picha ni Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai Mhe. Omar Mjenga.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
MAKAMU WA RAIS MOHAMED GHARIB BILAL AHUDHURIA KUWEKWA WAKFU ASKOFU KENEN PANJA MJINI TUKUYU LEO


10 years ago
Dewji Blog19 Oct
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL: Amnadi Mbunge wa Mufindi Kaskazini Mohamed Mgimwa
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. MOhammed Gharib Bilal, akiwahutubia wananchi wa Jimbo la Mufindi Kaskazini, mkoani Iringa wakati wa mkutano wa Kampeni za mgombea Ubunge wa jimbo hilo, Mohamed Mgimwa, uliofanyika juzi Okt 17. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya Viongozi wa Jimbo la Mufindi Kaskazini, Mkoani Iringa wakati alipowasili Jimboni hapo juzi Okt 17, 2015 kwaajili ya kumnadi...
10 years ago
Michuzi
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AMNADI MBUNGE WA MUFINDI KASKAZINI MOHAMED MGIMWA


11 years ago
Michuzi
MAKAMU WA RAIS, DKT. BILAL AMKARIBISHA MAKAMU WA RAIS WA CHINA NA UJUMBE WAKE IKULU DAR LEO, WASAINI MIKATABA


11 years ago
Dewji Blog23 Jun
Makamu wa Rais, Dkt. Bilal amkaribisha Makamu wa Rais wa China na Ujumbe wake Ikulu Dar leo, wasaini mikataba
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Li Yuanchao, wakati alipowasili Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo juni 23, 2014 akiongozana na Ujumbe wake kwa ajili ya mazungumzo. Li Yuanchao, yupo nchini kwa ziara ya siku sita. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Li...
11 years ago
Dewji Blog05 Oct
Makamu wa rais Dkt. Bilal ahudhuria kongamano la biashara la kimataifa kwa nchi za Afrika jijini Dubai, falme za kiarabu
Mfanyabiashara mwenye ukwasi mkubwa Afrika, Bw. Aliko Dangote katika mazungumzo na Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal kuhusu uwekezaji wake katika kiwanda cha simenti mkoani Mtwara. Dangote alisema kazi ya ujenzi inakwenda kama ilivyopangwa na kwamba kiwanda hicho kitakuwa kikubwa kabisa kwa uzalishaji simenti katika ukanda wa Afrika Mashariki. (Picha na OMR).
Picha ya pamoja baada ya mazungumzo.
11 years ago
Vijimambo
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHUDHURIA KONGAMANO LA BIASHARA LA KIMATAIFA KWA NCHI ZA AFRIKA JIJINI DUBAI, FARME ZA KIARABU


10 years ago
Vijimambo
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA QATAR ALIYEMALIZA MUDA WAKE NCHINI TANZANIA, JASSIN MOHAMED MUBARAK AL-DARWIS

