Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk. Bilal kufungua mkutano wa wanasanyasi vijana duniani

MAKAMU wa Rais Dk. Mohamed Bilal anatajiwa kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa wanasayansi vijana duniani utakaofanyika Agosti 11 hadi 14 mwaka huu, jijini Dar es Salaam. Mkutano huo utashirikisha...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal Mgeni rasmi mkutano wa wanasayansi vijana duniani

dsc_0189

Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal.

Na Rose Masaka, MAELEZO

Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal anatarajia kuwa mgeni rasmi wa kongamano la wanasayansi vijana duniani linalotajiwa kufanyika Jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 11 hadi 14 Agosti mwaka huu.

Lengo la kongamano hilo ni kubuni mikakati na mipango ya pamoja katika tansia ya jiolojia ya madini hususani maendeleo na usimamizi rasilimali hizo kwa manufaa ya ukuaji uchumi na fursa kwa nchi husikak, ambapo jumla ya Mataifa 40...

 

9 years ago

Habarileo

Bilal kufungua mkutano wa tabianchi

MAKAMU wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal anatarajiwa kufungua mkutano unaowashirikisha Mawaziri na viongozi mbalimbali 250 kutoka nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, Nchi za Pembe ya Afrika na Nchi za visiwa vya bahari ya Hindi.

 

11 years ago

Habarileo

Dk Bilal kufungua mkutano wa mitaala ya Kiislamu

Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib BilalCHUO Kikuu cha Waislamu cha Morogoro (MUM) kwa kushirikiana na Taasisi ya International Islamic Thought (IIIT) yenye makao yake makuu nchini Marekani, kimeandaa mkutano wa kimataifa juu ya Epistimolojia ya Kiislamu na Maendeleo ya Mitaala.

 

11 years ago

Michuzi

UFUNGUZI MKUTANO WA TATU WA WANASAYANSI VIJANA DUNIANI

 Makam wa Rais Makam wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal akiangalia zawadi ya kinyago aliyopewa na vijana wanasayansi duniani. Zawadi hiyo imetolewa Rais wa vijana wanasayansi duniani, Meng Wang. (kulia), kushoto ni Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo.

 Baadhi ya wanafunzi kutoka katika sekondari mbalimbali jijini Dar es Salaam katika picha ya pamoja na Makam wa Rais Makam wa Rais Makam wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal, pamoja na viongozi wengine, akiwemo Rais Mstaafu wa Awamu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe awasili Arusha tayari kwa kufungua mkutano wa vijana viongozi wa China na Afrika Ngurudoto

13

14

Rais wa Zimbabwe Mh. Robert Mugabe akishuka kwenye Ndege wakati alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro International Airport (KIA) tayari kwa kufungua mkutano wa Vijana Viongozi wa Afrika na China (African- China Young Leaders Forum) unaofanyika kwenye hoteli ya Ngurudoto Mkoani Arusha kwa siku 4 ukijumuisha vijana kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika na China, Mzee Robert Mugabe amepokelewa na Makamu wa Rais Mh. Dr. Gharib Bilal kulia na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal ahutubia wawakilishi wa Afrika katika mkutano wa mazingira duniani (Cop20) Jijini Lima, Peru

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mwenyekiti wa Kamati ya Wataalam ya Afrika katika masuala ya Majadiliano ya Mabadiliko ya Tabianchi kutoka nchini Sudan, Nagmeldin El-Hassan, wakati alipokuwa akiwasili katika ukumbi wa mikutano kwa ajili ya kuzungumza na wawakilishi wa Afrika katika mkutano wa Mazingira Duniani (Cop20) unaoendelea jijini Lima, nchini Peru. (Picha na OMR).

Mheshimiwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

 

10 years ago

Michuzi

Tanzania yawakilishwa katika Mkutano wa Wabunge Vijana kutoka Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Mjini Geneva,Uswis

Ujumbe wa Tanzania ukifuatilia kwa Makini Mada zilizokuwa zikiwasilishwa katika Mkutano wa Wabunge Vijana kutoka Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) unaofanyika Mjini Geneva Uswis. Kutoka kulia ni Mhe. Ester Bulaya, Mhe. Godfrey Mgimwa na Mhe. Neema Hamid. Mkutano huo pamoja na Mauala mengine unajadili changamoto wanazokabiliana nazo Wabunge Vijana hususani wanawake katika siasa. Mkutano huo ukiendelea.Ujumbe wa Tanzania ukiwa katika Picha ya Pamoja baada ya Kumalizika kwa siku ya Kwanza ya...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHUTUBIA KATIKA MKUTANO WA 20 WA KIMATAIFA KUHUSU MABADILIKO YA TABIA NCHI DUNIANI (COP 20) UNAOENDELEA JIJI LIMA NCHINI PERU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal jana Desemba 09, 2014 amemuwakilisha Rais Jakaya Mrisho Kikwete ambaye ni Mwenyekiti Kamati ya Wakuu wa Nchi na Serikali Barani Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabia Nchi, kwenye mkutano wa Kimataifa wa Mazingira Duniani (Cop20) unaofanyika jijini Lima, Peru.Pamoja na shughuli nyingine ambazo zimemuhusisha Mheshimiwa Makamu wa Rais Dkt. Bilal katika Mkutano huo ikiwa pamoja na kuwa eneo la Mazingira nchini liko chini ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani