JK MGENI RASMI MAADHIMISHO YA KIMATAIFA YA WATU WENYE UALBINO
Katibu Mkuu wa Sirika la Dawa Asili na Ulizi wa Mazingira Boniventure Mwalongo akifafanuaa jambo mbele ya waandishi wa Habari hawapo pichani kuhusiana na Maadhimisho ya kimataifa ya kuongeza ufahamu juu ya Ualbino katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa idara ya Habari MAELEZO jijini Dar es Salaam Leo katikati ni Mwenyekita wa Chama Cha Albino Tanzania (TAS), Kassimu Kirwe na Katibu Mkuu Ziada Nsembo.
Katibu Mkuu wa TAS, Ziada Nsembo akizungumza na waandishi wa habari Hawapo pichani...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo26 May
JK mgeni rasmi Siku ya Ualbino
RAIS Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Siku ya Kimataifa ya Ualbino Duniani, inayotarajiwa kufanyika kwa siku tano kuanzia Juni 9 katika Viwanja vya Shekhe Amri Abeid, Arusha.
10 years ago
MichuziMAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA UELIMISHAJI UMMA KUHUSU UALBINO
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-giEl4pM0Peo/VUktPMvzU8I/AAAAAAAHVms/ApUHji43qrs/s72-c/unnamed.jpg)
DC WA MISSENYI AWAPATIA MATIBABU YA BURE WATU WENYE UALBINO
![](http://3.bp.blogspot.com/-giEl4pM0Peo/VUktPMvzU8I/AAAAAAAHVms/ApUHji43qrs/s640/unnamed.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-iYgpoawGKBA/VUktPeBlVgI/AAAAAAAHVmw/HBdV--OBFM8/s640/unnamedmmm.jpg)
BOFYA HAPA KWA HABARI KAMILI
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-xHXCZPX7nfs/XtE9sYxzhbI/AAAAAAALr_0/mI_M8VcBEgANgBi82HVfw3Za6OD-rTBGwCLcBGAsYHQ/s72-c/ALBINO00000.jpg)
TAS WAIOMBA SERIKALI KUANGALIA NAMNA YA KUWASAIDIA WATU WENYE UALBINO
Chama cha Watu wenye ualbino ( TAS) kimeiomba serikali kuangalia upya sera na miongozo katika sekta ya afya kuwasidia watu wenye ualbino katika upatikanaji wa vifaa kinga ikiwemo mafuta maalumu ya kujipaka ,kama ilivyo katika upatikanaji wa dawa za kufumpaza virusi vya Ukimwi ARV zinavyotolewa bure katika vituo vya afya na zahanati.
Kauri hiyo imetolewa mkoani Morogoro na katibu wa Tas Taifa Musaa Kabimba katika kliniki ya ngozi kwa watu wenye ualbino,...
10 years ago
MichuziSERIKALI YAZINDUA KAMATI YA KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO ZA USALAMA ZA WATU WENYE UALBINO
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-JJZ0SaUgrdA/VTS3-msw1LI/AAAAAAAHSEk/kxE4Y3wRKz4/s72-c/unnamed%2B(57).jpg)
Mh. Lowassa ashiriki Matembezi ya kupiga vita mauaji ya watu wenye Ualbino
![](http://4.bp.blogspot.com/-JJZ0SaUgrdA/VTS3-msw1LI/AAAAAAAHSEk/kxE4Y3wRKz4/s1600/unnamed%2B(57).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-8lktNoboX9g/VBrbUvotDeI/AAAAAAAGkSQ/PnKVh99NIIg/s72-c/unnamed%2B(85).jpg)
Tume kujumuika na Wadau kulaani mauaji dhidi ya watu wenye Ualbino
Kauli Mbiu ya maadhimisho haya ya kitaifa ni “Haki ya Amani...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-z5x8hMaxtSM/Vm3TSL3Xa9I/AAAAAAAIMLo/pttfgNVjKnM/s72-c/a1.jpg)
MKURUGENI MKAAZI WA BANK YA DUNIA ACHUKIZWA NA MAUAJI YA WATU WENYE UALBINO
10 years ago
VijimamboSERIKALI YAZINDUA KAMATI YA KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO ZA USALAMA ZA WATU WENYE UALBINO