Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SERIKALI YAZINDUA KAMATI YA KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO ZA USALAMA ZA WATU WENYE UALBINO

 Waziri wa Sheria na Katiba, Dk. Asha-Rose Migiro akiizundua Kamati itakayoshughulikia changamoto za usalama za watu wenye Ualbino nchini kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe. Kamati hii imeundwa kutokana na ahadi ya Rais Jakaya Kikwete aliitoa wakati alipokutana na viongozi wa Chama cha Albino nchini (TAS), Machi 5, mwaka huu. Uzinduzi huo ulifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, jijini Dar es Salaam leo. Kushoto meza kuu ni Kaimu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

SERIKALI YAZINDUA KAMATI YA KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO ZA USALAMA ZA WATU WENYE UALBINO

 Waziri wa Sheria na Katiba, Dk. Asha-Rose Migiro akiizundua Kamati itakayoshughulikia changamoto za usalama za watu wenye Ualbino nchini kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe. Kamati hii imeundwa kutokana na ahadi ya Rais Jakaya Kikwete aliitoa wakati alipokutana na viongozi wa Chama cha Albino nchini (TAS), Machi 5, mwaka huu. Uzinduzi huo ulifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, jijini Dar es Salaam leo. Kushoto meza kuu ni Kaimu...

 

5 years ago

Michuzi

TAS WAIOMBA SERIKALI KUANGALIA NAMNA YA KUWASAIDIA WATU WENYE UALBINO

  Na Farida Saidy,Morogoro

Chama cha Watu wenye ualbino ( TAS) kimeiomba serikali kuangalia upya sera na  miongozo   katika sekta ya  afya kuwasidia watu wenye ualbino katika upatikanaji wa vifaa kinga  ikiwemo mafuta maalumu ya kujipaka ,kama ilivyo  katika upatikanaji wa dawa za kufumpaza virusi vya Ukimwi ARV zinavyotolewa bure katika vituo vya afya na zahanati.

Kauri hiyo imetolewa mkoani Morogoro na katibu wa  Tas Taifa Musaa Kabimba  katika kliniki ya ngozi  kwa watu wenye ualbino,...

 

10 years ago

Michuzi

JK MGENI RASMI MAADHIMISHO YA KIMATAIFA YA WATU WENYE UALBINO

 Katibu Mkuu wa Sirika la Dawa Asili na Ulizi wa Mazingira Boniventure Mwalongo akifafanuaa jambo mbele ya waandishi wa Habari hawapo pichani kuhusiana na Maadhimisho ya kimataifa ya kuongeza ufahamu juu ya Ualbino katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa idara ya Habari MAELEZO jijini Dar es Salaam Leo katikati ni Mwenyekita wa Chama Cha Albino Tanzania (TAS), Kassimu Kirwe na Katibu Mkuu Ziada Nsembo.Katibu Mkuu wa TAS, Ziada Nsembo akizungumza na waandishi wa habari Hawapo pichani...

 

10 years ago

Michuzi

DC WA MISSENYI AWAPATIA MATIBABU YA BURE WATU WENYE UALBINO

Mkuu wa Wilaya ya Missenyi Mh. Fadhil Nkurlu akimpatia mmoja wa walemavu wa ngozi kadi za afya zitakazowawezesha kupata matibabu bure wao pamoja na wategemezi wao katika vituo vya huduma za afya za serikali na zile binafsi vilivyosajiliwa na mfuko wa afya ya jamii (CHF). Mkuu wa Wilaya ya Missenyi Mh. Fadhil Nkurlu (wa nne kutoka kulia walioketi) akiwa katika picha ya pamoja na walemavu wa ngozi pamoja na viongozi wa dini na serikali za mitaa wilayani Missenyi.
BOFYA HAPA KWA HABARI KAMILI

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YAENDELEA KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO ZINAZOJITOKEZA MIPAKANI

Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imesema changamoto zinazojitokeza katika mipaka mbalimbali ya Tanzania wakati wa usafirishaji wa bidhaa hususani katika kipindi hiki cha janga la COVID-19 zinaendelea kutatuliwa kwa majadiliano.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Kanali Wilbert Ibuge ameyasema hayo alipokutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania Nchini Zambia Mhe. Benson Keith Chali ili...

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Lowassa ashiriki Matembezi ya kupiga vita mauaji ya watu wenye Ualbino

Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu mstaafu, Mh. Edward Lowassa (katikati mwenye kapelo), "akitroti" kukimbia sambamba na mamia ya watu waliojitokeza kwenye matembezi ya kuunga mkono kupiga vita dhidi ya mauaji ya watu wenye Ualbino, yaliyofanyika jana kuanzia Uwanja wa Taifa na kuishia kwenye Viwanja vya TCC Club, Chang'ombe jijini Dar es salaam. Katika hotuba yake mwishoni mwa matembezi hayo ya kilomita 5, Mh. Lowassa alimuomba Rais Jakaya Kikwete, "kumwaga" wino, ili kubariki hukumu ya kifo...

 

9 years ago

Michuzi

MKURUGENI MKAAZI WA BANK YA DUNIA ACHUKIZWA NA MAUAJI YA WATU WENYE UALBINO

Na Sixmund J. Begashe Watanzania wamehusiwa kuwapenda watu wenye ulemavu wa ngozi kama albino, na kuachana kabisa na imani putofu kuwa viongo vya watu hao vinaweza kuwapatia bahati katika maisha yao, kama wanavyo fanya sasa baadi ya watu waovu hapa nchini.  Wito huu umetolewa na Mkurugenzi Mkaazi wa Benki ya Dunia hapa nchini Mh Bella Bird alipotembelea Makumbusho ya Taifa kujionea onesho maalum la picha zinazoelezea namna watu wenye ulemavu wangozi wanavyo nyanyasika kwa kuishi maisha ya...

 

10 years ago

Michuzi

Tume kujumuika na Wadau kulaani mauaji dhidi ya watu wenye Ualbino

Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kwa kushirikiana na Chama cha Albino Tanzania (TAS), Under The Same Sun (UTSS) Shirikisho la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu ( SHIVYAWATA), taasisi za kiraia na wadau wengine wameandaa maandamano ya amani sanjari na maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Amani Duniani (International Day of Peace) yatakayofanyika Jumapili Septemba 21,2014 katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Kauli Mbiu ya maadhimisho haya ya kitaifa ni “Haki ya Amani...

 

10 years ago

Habarileo

Serikali kushughulikia vifaa vya wenye ulemavu

SERIKALI imesema itahakikisha viwanda vinavyosimamiwa na Shirika la Viwanda Vidogo Vidogo (Sido), vinatengeneza vifaa vitakavyowawezesha watu wenye ulemavu kumudu kununua.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani