MKURUGENI MKAAZI WA BANK YA DUNIA ACHUKIZWA NA MAUAJI YA WATU WENYE UALBINO
![](http://4.bp.blogspot.com/-z5x8hMaxtSM/Vm3TSL3Xa9I/AAAAAAAIMLo/pttfgNVjKnM/s72-c/a1.jpg)
Na Sixmund J. Begashe Watanzania wamehusiwa kuwapenda watu wenye ulemavu wa ngozi kama albino, na kuachana kabisa na imani putofu kuwa viongo vya watu hao vinaweza kuwapatia bahati katika maisha yao, kama wanavyo fanya sasa baadi ya watu waovu hapa nchini. Wito huu umetolewa na Mkurugenzi Mkaazi wa Benki ya Dunia hapa nchini Mh Bella Bird alipotembelea Makumbusho ya Taifa kujionea onesho maalum la picha zinazoelezea namna watu wenye ulemavu wangozi wanavyo nyanyasika kwa kuishi maisha ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-JJZ0SaUgrdA/VTS3-msw1LI/AAAAAAAHSEk/kxE4Y3wRKz4/s72-c/unnamed%2B(57).jpg)
Mh. Lowassa ashiriki Matembezi ya kupiga vita mauaji ya watu wenye Ualbino
![](http://4.bp.blogspot.com/-JJZ0SaUgrdA/VTS3-msw1LI/AAAAAAAHSEk/kxE4Y3wRKz4/s1600/unnamed%2B(57).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-8lktNoboX9g/VBrbUvotDeI/AAAAAAAGkSQ/PnKVh99NIIg/s72-c/unnamed%2B(85).jpg)
Tume kujumuika na Wadau kulaani mauaji dhidi ya watu wenye Ualbino
Kauli Mbiu ya maadhimisho haya ya kitaifa ni “Haki ya Amani...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-giEl4pM0Peo/VUktPMvzU8I/AAAAAAAHVms/ApUHji43qrs/s72-c/unnamed.jpg)
DC WA MISSENYI AWAPATIA MATIBABU YA BURE WATU WENYE UALBINO
![](http://3.bp.blogspot.com/-giEl4pM0Peo/VUktPMvzU8I/AAAAAAAHVms/ApUHji43qrs/s640/unnamed.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-iYgpoawGKBA/VUktPeBlVgI/AAAAAAAHVmw/HBdV--OBFM8/s640/unnamedmmm.jpg)
BOFYA HAPA KWA HABARI KAMILI
10 years ago
MichuziJK MGENI RASMI MAADHIMISHO YA KIMATAIFA YA WATU WENYE UALBINO
10 years ago
MichuziSERIKALI YAZINDUA KAMATI YA KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO ZA USALAMA ZA WATU WENYE UALBINO
10 years ago
VijimamboSERIKALI YAZINDUA KAMATI YA KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO ZA USALAMA ZA WATU WENYE UALBINO
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-xHXCZPX7nfs/XtE9sYxzhbI/AAAAAAALr_0/mI_M8VcBEgANgBi82HVfw3Za6OD-rTBGwCLcBGAsYHQ/s72-c/ALBINO00000.jpg)
TAS WAIOMBA SERIKALI KUANGALIA NAMNA YA KUWASAIDIA WATU WENYE UALBINO
Chama cha Watu wenye ualbino ( TAS) kimeiomba serikali kuangalia upya sera na miongozo katika sekta ya afya kuwasidia watu wenye ualbino katika upatikanaji wa vifaa kinga ikiwemo mafuta maalumu ya kujipaka ,kama ilivyo katika upatikanaji wa dawa za kufumpaza virusi vya Ukimwi ARV zinavyotolewa bure katika vituo vya afya na zahanati.
Kauri hiyo imetolewa mkoani Morogoro na katibu wa Tas Taifa Musaa Kabimba katika kliniki ya ngozi kwa watu wenye ualbino,...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-xQ0BzVIchVw/Xk9oIIzN6KI/AAAAAAALeno/kpOhiNhpk_saIwlppuLgoKFvKXX-5-yMgCLcBGAsYHQ/s72-c/fec2b9cf-a54a-4b9d-b607-f4b8464dc9be.jpg)
MDAU WA WATU WENYE UALBINO JOSEPH GORYO ATOA MISAADA SHULE YA MITINDO, MWANZA
MDAU mkubwa wa mambo ya jamii ikiwemo Elimu, Wanawake, Watoto na watu wenye Ualbino Joseph Goryo ametoa misaada mbalimbali shule ya msingi Mitindo iliyoko Wilayani Misungwi mkoani Mwanza.
Misaada hiyo maalum iliyotolewa kwa ajili ya watoto wanaolelewa shuleni hapo ni pamoja na: kandambili PC 100, mashuka 104, masweta ya shule 25, Sketi 10 na miwani kwa watoto wenye ualbino wanaolelewa na kusomea shule hiyo.
Akikabidhi misaada hiyo, Goryo amewaomba wadau mbalimbali kuitembelea shule ya msingi...
10 years ago
Dewji Blog24 May
Mitazamo hasi kitamaduni chanzo cha mauaji ya watu wenye albinism
Mkuu wa Ofisi na Mwakilishi wa UNESCO nchini, Bi. Zulmira Rodgrigues, akiwasilisha mada katika warsha ya siku tatu iliyofanyika katika kijiji cha Nyakahungwa wilayani Sengerema mkoani Mwanza kuhusu ushirikishaji jamii katika kuandaa na kutekeleza mikakati itakayochangia kuzuia na kutokomeza unyanyasaji na dhulma zinazofanywa dhidi ya watu wenye albinism iliyoshirikisha waganga wa asili, wauguzi na wakunga, viongozi wa dini, walimu pamoja na watu maarufu iliyoandaliwa na Shirika la Umoja wa...