Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SERIKALI YAENDELEA KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO ZINAZOJITOKEZA MIPAKANI

Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imesema changamoto zinazojitokeza katika mipaka mbalimbali ya Tanzania wakati wa usafirishaji wa bidhaa hususani katika kipindi hiki cha janga la COVID-19 zinaendelea kutatuliwa kwa majadiliano.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Kanali Wilbert Ibuge ameyasema hayo alipokutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania Nchini Zambia Mhe. Benson Keith Chali ili...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

SERIKALI YAZINDUA KAMATI YA KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO ZA USALAMA ZA WATU WENYE UALBINO

 Waziri wa Sheria na Katiba, Dk. Asha-Rose Migiro akiizundua Kamati itakayoshughulikia changamoto za usalama za watu wenye Ualbino nchini kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe. Kamati hii imeundwa kutokana na ahadi ya Rais Jakaya Kikwete aliitoa wakati alipokutana na viongozi wa Chama cha Albino nchini (TAS), Machi 5, mwaka huu. Uzinduzi huo ulifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, jijini Dar es Salaam leo. Kushoto meza kuu ni Kaimu...

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YAZINDUA KAMATI YA KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO ZA USALAMA ZA WATU WENYE UALBINO

 Waziri wa Sheria na Katiba, Dk. Asha-Rose Migiro akiizundua Kamati itakayoshughulikia changamoto za usalama za watu wenye Ualbino nchini kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe. Kamati hii imeundwa kutokana na ahadi ya Rais Jakaya Kikwete aliitoa wakati alipokutana na viongozi wa Chama cha Albino nchini (TAS), Machi 5, mwaka huu. Uzinduzi huo ulifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, jijini Dar es Salaam leo. Kushoto meza kuu ni Kaimu...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI AFARIJIKA NA HATUAZA KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO KATIKA BENKI YA WALIMU (MWALIMU COMMERCIAL BANK)

RAIS Dkt. John Pombe Magufuli ameeleza kufarijika kwake kutokana na changamoto zilizokuwa zikiihusu benki ya Walimu (Mwalimu Commercial Bank plc) sasa zimeanza kushughulikiwa.
Rais ametoa kauli hiyo Ijumaa Juni 5, 2020 wakati akihutubia mkutano mkuu wa uchaguzi wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.“Najua chama hiki kina mali na rasilimali mbalimbali, lakini zote hizo ni mali za wanachama hivyo basi viongozi hawana budi kuhakikisha mali na rasilimali za...

 

9 years ago

Habarileo

Serikali kushughulikia malipo ya kocha Stars

SERIKALI imesema suala la malipo ya kocha wa timu ya soka ya Taifa, Taifa Stars linashughulikiwa na likikamilika itatoa majibu. Taarifa ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo iliyotolewa kwa vyombo vya habari jana ilisema serikali haijakataa kumlipa kocha wa timu iliyopita.

 

10 years ago

Habarileo

Serikali kushughulikia vifaa vya wenye ulemavu

SERIKALI imesema itahakikisha viwanda vinavyosimamiwa na Shirika la Viwanda Vidogo Vidogo (Sido), vinatengeneza vifaa vitakavyowawezesha watu wenye ulemavu kumudu kununua.

 

5 years ago

Michuzi

Watumishi wa Serikali mipakani waaswa kutoisaliti nchi yao kujiepusha na ugonjwa wa Corona.








Bandari ya Kabwe, Wilayani Nkasi, Mkoani Rukwa

Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo pamoja na Kikosi cha Ulinzi na Usalama Mkoa akitoa maelekezo baada ya kuiona nyumba itakayotumika kwaajili ya kuhifadhi wageni kwa siku 14 katika bandari ya Kabwe.

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo (katikati) akiongozana na Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Mh. Said Mtanda (kushoto) pamoja na msimamizi wa Bandari ya Kabwe Mohamed Issa (Kulia) na wengineo wakati wakiingia katika lango kuu la bandari hiyo...

 

5 years ago

CCM Blog

WAASWA WATUMISHI WA SERIKALI MIPAKANI KUTOISALITI NCHI YAO KUJIEPUSHA NA UGONJWA WA CORONA

Katika hali ya kupambana na maambukizi ya ugonjwa unaosababishwa na virusi vya Corona, Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amewataka maafisa uhamiaji pamoja na watumishi wengine katika bandari za mkoa huo pamoja na mpaka wa nchi kavu kuacha tabia ya kupokea rushwa kutoka kwa wageni hasa katika kipindi hiki ambacho ni hatari kwa nchi.
Mh. Wangabo amewataka watumishi hao kufanya kazi kwa uadilifu mkubwa kwani kuwapitisha wageni hao kwa kutumia rushwa kutasababisha nchi itaingia kwenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani