Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali kushughulikia vifaa vya wenye ulemavu

SERIKALI imesema itahakikisha viwanda vinavyosimamiwa na Shirika la Viwanda Vidogo Vidogo (Sido), vinatengeneza vifaa vitakavyowawezesha watu wenye ulemavu kumudu kununua.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mahitaji vifaa vya kufundishia wenye ulemavu yanatakiwa

MATATIZO yanayoikabili jamii watu wenye ulemavu katika elimu bado ufumbuzi wake haujaonekana. Utaratibu mbaya usiojali upatikanaji wa vifaa vya kujifunzia katika shule, unadaiwa kuwa ndiyo chanzo kinachokwamisha elimu kwa  wenye...

 

5 years ago

Michuzi

SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WATU WENYE ULEMAVU TANZANIA WAIOMBA SERIKALI KUSAIDIA WATU WENYE UZIWI KUPATA TAARIFA SAHIHI KUHUSU CORONA


Na Said Mwishehe,Michuzi Globu ya jamii

UONGOZI wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu  Tanzania (SHIVYAWATA )lumesema kwamba uwepo wa tishio la virusi vya Corona (COVID-19) nchini umesababisha hofu kubwa kwa watu wenye uziwi kwani imekuwa ngumu kwao kupata maelekezo na miongozo ya Serikali pamoja na Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jisinsia, Wazee na Watoto.

Umesema kuwa matangazo mengi ambayo yametolewa na Wizara ya Afya yanashindwa kuwafikia watu wenye uziwi kwani hakuna watalaam wa...

 

5 years ago

Michuzi

IKUPA ATOA MSAADA WA VIFAA KWA AJILI YA KUKABILIANA NA UGONJWA WA CORONA KWA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WATU WENYE ULEMAVU (SHIVYAWATA)

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Watu Wenye Ulemavu Mhe. Stella Ikupa akinawa mikono kwa mashine maalum ya kunawia pasipo kutumia koki “Free Hand Water Tape” ikiwa ni hatua moja wapo ya kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa hatari wa homa ya Mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona (Covid-19).

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Watu Wenye Ulemavu Mhe. Stella Ikupa (katikati) akimwangalia Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu (SHIVYAWATA)...

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YAZINDUA KAMATI YA KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO ZA USALAMA ZA WATU WENYE UALBINO

 Waziri wa Sheria na Katiba, Dk. Asha-Rose Migiro akiizundua Kamati itakayoshughulikia changamoto za usalama za watu wenye Ualbino nchini kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe. Kamati hii imeundwa kutokana na ahadi ya Rais Jakaya Kikwete aliitoa wakati alipokutana na viongozi wa Chama cha Albino nchini (TAS), Machi 5, mwaka huu. Uzinduzi huo ulifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, jijini Dar es Salaam leo. Kushoto meza kuu ni Kaimu...

 

10 years ago

Vijimambo

SERIKALI YAZINDUA KAMATI YA KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO ZA USALAMA ZA WATU WENYE UALBINO

 Waziri wa Sheria na Katiba, Dk. Asha-Rose Migiro akiizundua Kamati itakayoshughulikia changamoto za usalama za watu wenye Ualbino nchini kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe. Kamati hii imeundwa kutokana na ahadi ya Rais Jakaya Kikwete aliitoa wakati alipokutana na viongozi wa Chama cha Albino nchini (TAS), Machi 5, mwaka huu. Uzinduzi huo ulifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, jijini Dar es Salaam leo. Kushoto meza kuu ni Kaimu...

 

5 years ago

Michuzi

MBUNGE MAVUNDE ASAIDIA UPATIKANAJI WA VIFAA TIBA 100 KWA WATU WENYE ULEMAVU JIJINI DODOMA

Charles James, Michuzi TV

KATIKA kuhakikisha anatekeleza azma ya Rais Magufuli ya kuwahudumia wananchi wanyonge, Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde amezindua rasmi kambi ya upimaji wa tiba saidizi vya miguu ya bandia kwa watu wenye ulemavu.

Uzinduzi huo umefanyika katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma na huduma hiyo itakua ikitolewa kwa wananchi wote kutoka sehemu mbalimbali za Mkoa wa Dodoma na maeneo jirani.

Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Mhe Mavunde amesema vifaa...

 

10 years ago

Dewji Blog

THBUB yalaani mauaji na vitendo vya ukatili wa viungo vya watu wenye ulemavu wa ngozi!

1

Mtoto Mlemavu wa Ngozi (Albino) Adam Robert (13) wakati akiwa amelazwa hospitalini baada ya kujeruhiwa na kwa kukatwa mkono na kisha kunyofolewa Vidole sita vya mikono yote miwili,picha hii ilipigwa siku moja tu baada ya kufikishwa katika hospitali ya wilaya ya Geita. (Maktaba;Picha hii ilipigwa Oktoba 14 mwaka 2011).

Press Release_Albino Kukatwa Viungo by moblog

 

9 years ago

Habarileo

Serikali yapongezwa kujali wenye ulemavu

SHIRIKISHO la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA), limempongeza Rais John Magufuli kwa kutimiza ahadi yake ya kuyajali na kuyapa kipaumbele masuala ya Watanzania wenye ulemavu kwa kuhamishia masuala yao chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa utekelezaji wenye tija.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wenye ulemavu wakubalina kuvibana vyama vya siasa

WATU wenye Ulemavu wamesema Katiba iliyopendekezwa imewanyima fursa ya uongozi kwa kuwapa asilimia tano pekee katika Bunge. Wakizungumza katika Tamasha la tatu, lililoandaliwa na Foundation for Civil Society, juzi jijini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani