Serikali yapongezwa kujali wenye ulemavu
SHIRIKISHO la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA), limempongeza Rais John Magufuli kwa kutimiza ahadi yake ya kuyajali na kuyapa kipaumbele masuala ya Watanzania wenye ulemavu kwa kuhamishia masuala yao chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa utekelezaji wenye tija.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo05 Dec
Jamii yashauriwa kujali watu wenye ulemavu
JAMII nchini imehimizwa kuongeza ushirikiano kwa makundi ya watu walio na mahitaji maalumu hususan wenye ulemavu kwa kuwa kufanya hivyo kutawezesha uwepo wa jamii iliyo na ustawi na yenye kujali maslahi ya kila mmoja.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-6NUTDXOWsS4/XnOUOMoTFmI/AAAAAAALkek/vDBppIQbJTMQaXyyu2qXENuiYmi5aVcqwCLcBGAsYHQ/s72-c/99b625c4-e539-4c8c-a622-78ad9c5d861f.jpg)
SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WATU WENYE ULEMAVU TANZANIA WAIOMBA SERIKALI KUSAIDIA WATU WENYE UZIWI KUPATA TAARIFA SAHIHI KUHUSU CORONA
Na Said Mwishehe,Michuzi Globu ya jamii
UONGOZI wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA )lumesema kwamba uwepo wa tishio la virusi vya Corona (COVID-19) nchini umesababisha hofu kubwa kwa watu wenye uziwi kwani imekuwa ngumu kwao kupata maelekezo na miongozo ya Serikali pamoja na Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jisinsia, Wazee na Watoto.
Umesema kuwa matangazo mengi ambayo yametolewa na Wizara ya Afya yanashindwa kuwafikia watu wenye uziwi kwani hakuna watalaam wa...
10 years ago
Habarileo17 Nov
Serikali kushughulikia vifaa vya wenye ulemavu
SERIKALI imesema itahakikisha viwanda vinavyosimamiwa na Shirika la Viwanda Vidogo Vidogo (Sido), vinatengeneza vifaa vitakavyowawezesha watu wenye ulemavu kumudu kununua.
10 years ago
Tanzania Daima06 Nov
Watu wenye ulemavu msibaki nyuma uchaguzi serikali za mitaa
DESEMBA 14 mwaka huu itakuwa siku ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa nchini. Ratiba ya uchaguzi huo imekwishatolewa, na kuonyesha kwamba Novemba 23 ndio uandikishaji wa majina unaanza katika maeneo...
10 years ago
Habarileo29 Jan
Wenye ulemavu wahimizwa kutojinyanyapaa
WANAFUNZI wenye ulemavu mbalimbali wanaosoma na kulelewa katika kituo cha shule ya msingi Mugeza Museto Manispaa ya Bukoba, mkoani Kagera wameshauriwa kutumia muda wao mwingi katika masomo ili kupata ufaulu mkubwa na kutojinyanyapaa kuwa wao ni tofauti na wengine.
10 years ago
Habarileo30 Dec
Wenye ulemavu waomba kusaidiwa
HALMASHAURI ya Jiji la Tanga imeombwa kuangalia uwezekano wa kutenga fedha kwa ajili ya kusaidia manunuzi ya vifaa visaidizi kwa ajili ya watu wenye ulemavu.
11 years ago
Habarileo21 Apr
‘Tembeleeni wenye ulemavu Buhangija’
WAZAZI na walezi waliopeleka watoto wao katika kituo maalumu cha kulelea watoto wenye ulemavu Buhangija katika Manispaa ya Shinyanga, wameombwa kujenga desturi ya kuwatembelea watoto hao.
11 years ago
Tanzania Daima09 Apr
90% wenye ulemavu hawana elimu
ZAIDI ya asilimia 90 ya walemavu wote wilayani Urambo, Tabora hawajasoma kutokana na mazingira duni ya kuipata elimu. Wilaya hiyo ina wenye ulemavu zaidi ya 900, kati yao watu 860...
10 years ago
Habarileo12 Aug
Wenye ulemavu watoa ya moyoni
WATU wenye ulemavu wameomba vyama vya siasa kutowachanganya na wasio na ulemavu kwenye kura za maoni kwa ajili ya kuwania nafasi mbalimbali za kisiasa kutokana na ugumu wanaopata katika kushinda nafasi hizo.