Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Tembeleeni wenye ulemavu Buhangija’

WAZAZI na walezi waliopeleka watoto wao katika kituo maalumu cha kulelea watoto wenye ulemavu Buhangija katika Manispaa ya Shinyanga, wameombwa kujenga desturi ya kuwatembelea watoto hao.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Zitto Kabwe akabidhi bweni la wanafunzi Shule ya watoto wenye ulemavu wa ngozi Buhangija, Shinyanga

Mbunge wa Kigoma mjini Mhe. Zitto Kabwe amekabidhi bweni la wanafunzi Shule ya watoto wenye ulemavu wa ngozi Buhangija iliyoko mkoani Shinyanga baada ya kutoa msaada wa kujenga bweni hilo.  Katika makabidhiano hayo Mhe.  Zitto alisema Tarehe 18 April mwaka huu alitembelea Shule hiyo akiwa na Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Mama Anna E Mghwira kwa lengo la kusalimia watoto na walimu wao na kutazama mazingira ya watoto.  "Nilifika hapa kwa lengo la kuona mazingira ya shule na watoto...

 

9 years ago

Michuzi

Taasisis ya Brigitte Alfred yajenga Bweni la Watoto wenye ulemavu wa ngozi wa kituo Buhangija Mkoani Shinyanga

Jengo la Bweni la Watoto wenye ulemavu wa ngozi wa kituo cha Shule ya Buhangija Mkoani Shinyanga, lililojengwa kwa ufadhili wa Taasisis ya Brigitte Alfred, Bi. Brigitte Alfre, muda mfupi kabla ya Uzinduzi rasmi wa Bweni hilo.Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Mhe. Zitto Kabwe (katikati) akizungumza na mmoja wa wasimamizi wa kituo cha Shule ya Buhangija Mkoani Shinyanga wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Bweni la Watoto wenye ulemavu wa ngozi wa kituo hicho, lililojengwa na Taasisis ya Brigitte...

 

5 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA JAMBO YAMWAGA MSAADA KITUO CHA WATOTO WENYE UALBINO BUHANGIJA




Kampuni ya vinywaji Jambo Products ya mkoani Shinyanga, imetoa misaada mbalimbali ikiwemo chakula kwenye kituo cha kulea watoto wenye ualbino cha Buhangija Jumuishi kilichopo Mjini Shinyanga .

Akizungumza wakati wa kutoa msaada huo leo Alhamis Februari 20,2020, Mkurugenzi wa Kampuni ya Jambo Esme Salum, akiambatana na wachezaji wa timu ya Stand United ambayo wanaifadhili, amesema wameamua kutoa sehemu ya faida ambayo wanaipata kusaidia watoto hao wenye ualbino ili kuwapa faraja.  Amesema...

 

5 years ago

Michuzi

SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WATU WENYE ULEMAVU TANZANIA WAIOMBA SERIKALI KUSAIDIA WATU WENYE UZIWI KUPATA TAARIFA SAHIHI KUHUSU CORONA


Na Said Mwishehe,Michuzi Globu ya jamii

UONGOZI wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu  Tanzania (SHIVYAWATA )lumesema kwamba uwepo wa tishio la virusi vya Corona (COVID-19) nchini umesababisha hofu kubwa kwa watu wenye uziwi kwani imekuwa ngumu kwao kupata maelekezo na miongozo ya Serikali pamoja na Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jisinsia, Wazee na Watoto.

Umesema kuwa matangazo mengi ambayo yametolewa na Wizara ya Afya yanashindwa kuwafikia watu wenye uziwi kwani hakuna watalaam wa...

 

10 years ago

Michuzi

NIC YATOA MSAADA WA VIFAA VYA ELIMU KWA WATOTO WENYE UONI HAFIFU KITUO CHA ALBINO BUHANGIJA SHINYANGA

Shirika la Bima la taifa leo limetoa msaada wa vifaa 34 vya kujifunzia darasani kwa watoto wenye uoni hafifu katika kituo cha kulelea watoto wenye ulemavu wa ngozi(Albino),wasioona na wasiosikia cha Buhangija katika manispaa ya Shinyanga. Vifaa vilivyotolewa ni darubini kiona mbali(Telescope Monocular),Kikuza Maandishi cha Kusimamisha(Stand Magnifier) na Kikuza Maandishi cha Kuweka juu ya Maandishi( Dome Magnifier)-Picha zote na Kadama Malunde-ShinyangaNdani ya ofisi ya mwalimu mkuu wa Shule...

 

5 years ago

Michuzi

DC MBONEKO AONGOZA KIKUNDI CHA WANAWAKE NA MABADILIKO KUKABIDHI BWENI KITUO CHA WATOTO WENYE UALBINO BUHANGIJA






Kikundi cha Wanawake na Mabadiliko Manispaa ya Shinyanga (Women For Change - WFC) kimekabidhi bweni walilokarabati kwenye kituo cha kulea watoto wenye ulemavu mbalimbali cha Buhangija Jumuishi, wakiwamo na watoto wenye ualbino kwa ajili ya kuwaweka katika mazingira mazuri. Zoezi la kukabidhi bweni ambalo ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya wanawake duniani, limefanyika leo Alhamis Machi 5, 2020 ambapo mgeni Rasmi alikuwa mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko, huku hafla hiyo fupi...

 

10 years ago

Habarileo

Wenye ulemavu watoa ya moyoni

WATU wenye ulemavu wameomba vyama vya siasa kutowachanganya na wasio na ulemavu kwenye kura za maoni kwa ajili ya kuwania nafasi mbalimbali za kisiasa kutokana na ugumu wanaopata katika kushinda nafasi hizo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

90% wenye ulemavu hawana elimu

ZAIDI ya asilimia 90 ya walemavu wote wilayani Urambo, Tabora hawajasoma kutokana na mazingira duni ya kuipata elimu. Wilaya hiyo ina wenye ulemavu zaidi ya 900, kati yao watu 860...

 

10 years ago

Habarileo

Wenye ulemavu waomba kusaidiwa

HALMASHAURI ya Jiji la Tanga imeombwa kuangalia uwezekano wa kutenga fedha kwa ajili ya kusaidia manunuzi ya vifaa visaidizi kwa ajili ya watu wenye ulemavu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani