Taasisis ya Brigitte Alfred yajenga Bweni la Watoto wenye ulemavu wa ngozi wa kituo Buhangija Mkoani Shinyanga
Jengo la Bweni la Watoto wenye ulemavu wa ngozi wa kituo cha Shule ya Buhangija Mkoani Shinyanga, lililojengwa kwa ufadhili wa Taasisis ya Brigitte Alfred, Bi. Brigitte Alfre, muda mfupi kabla ya Uzinduzi rasmi wa Bweni hilo.Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Mhe. Zitto Kabwe (katikati) akizungumza na mmoja wa wasimamizi wa kituo cha Shule ya Buhangija Mkoani Shinyanga wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Bweni la Watoto wenye ulemavu wa ngozi wa kituo hicho, lililojengwa na Taasisis ya Brigitte...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziZitto Kabwe akabidhi bweni la wanafunzi Shule ya watoto wenye ulemavu wa ngozi Buhangija, Shinyanga
9 years ago
Dewji Blog17 Dec
Kituo cha watoto wenye ulemavu wa ngozi mjini Shinyanga chapigwa “Tafu†na Tigo
Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Ziwa, Ali Maswanya akizungumza na watoto yatima na wenye albinism katika kituo cha Buhangija mkoani Shinyanga wakati wa kutoa msaada kwenye kituo cha kulelea ,ambapo mchele,unga na maharage tani 3.9,mafuta ya kupikia lita 100 na sabuni katoni 5,kushoto ni Meneja wa Tigo mikoa ya Shinyanga,Tabora na Kigoma Kamara Kalembo na Meneja Huduma kwa wateja kanda ya ziwa Beatrice Kinabo (kulia).
Sehemu ya msaada wa chakula mchele, unga na maharage tani 3.9,mafuta...
9 years ago
MichuziKITUO MAALUM CHA KULELEA WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI SHINYANGA CHAPIGWA JEKI NA VODACOM FOUNDATION
5 years ago
MichuziDC MBONEKO AONGOZA KIKUNDI CHA WANAWAKE NA MABADILIKO KUKABIDHI BWENI KITUO CHA WATOTO WENYE UALBINO BUHANGIJA
Kikundi cha Wanawake na Mabadiliko Manispaa ya Shinyanga (Women For Change - WFC) kimekabidhi bweni walilokarabati kwenye kituo cha kulea watoto wenye ulemavu mbalimbali cha Buhangija Jumuishi, wakiwamo na watoto wenye ualbino kwa ajili ya kuwaweka katika mazingira mazuri. Zoezi la kukabidhi bweni ambalo ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya wanawake duniani, limefanyika leo Alhamis Machi 5, 2020 ambapo mgeni Rasmi alikuwa mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko, huku hafla hiyo fupi...
10 years ago
MichuziNIC YATOA MSAADA WA VIFAA VYA ELIMU KWA WATOTO WENYE UONI HAFIFU KITUO CHA ALBINO BUHANGIJA SHINYANGA
10 years ago
Vijimambo18 Mar
CHAMA CHA MADAKTARI WA KINYWA NA MENO WAENDELEA KUTOA HUDUMA YA BURE KATIKA KITUO CHA WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI ALBINO
10 years ago
MichuziMISS UNIVERSE NALE BONIFACE ATEMBELEA KITUO CHA WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI (ALBINO) CHA SALVATION ARMY JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
GPLCHAMA CHA MADAKTARI WA KINYWA NA MENO WAENDELEA KUTOA HUDUMA YA BURE KATIKA KITUO CHA WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI ALBINO
10 years ago
Mtanzania28 Mar
Kituo cha watu wenye ulemavu wa ngozi kilichojaa changamoto!
NA AGATHA CHARLES, ALIYEKUWA SHINYANGA
WAKATI jamii ikipambana kuzuia mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino), imebainika kuwa licha ya tishio hilo la kuawa lakini pia wamekuwa wakifanyiwa vitendo wa ukatili ikiwemo kubakwa.
Mwandishi wa gazeti hili, Machi 10, mwaka huu alitembelea kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji maalum wakiwemo walemavu wa ngozi cha Buhangija Jumuishi kilichopo Manispaa ya Shinyanga na kukutana na binti mwenye umri chini ya miaka 18 ambaye alifanyiwa ukatili...