KITUO MAALUM CHA KULELEA WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI SHINYANGA CHAPIGWA JEKI NA VODACOM FOUNDATION

Katika kuboresha na kufanya maisha ya Watanzania kuwa murua, Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania kupitia mfuko wake wa kusaidia jamii”Vodacom Foundation”, imekabidhi msaada wa vitu mbalimbali na vyakula wenye thamani ya zaidi ya Shilingi milioni 29 kwa kituo cha walemavu mbalimbali wakiwemo wenye ulemavu wa ngozi, Albino, kilichopo katika Manispaa ya Shinyanga. Akikabidhi msaada huo kwa uongozi wa kituo hicho, Kaimu Mkuu wa Vodacom kanda ya Tanganyika, Sabas Ademba amesema kampuni...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog17 Dec
Kituo cha watoto wenye ulemavu wa ngozi mjini Shinyanga chapigwa “Tafu†na Tigo
Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Ziwa, Ali Maswanya akizungumza na watoto yatima na wenye albinism katika kituo cha Buhangija mkoani Shinyanga wakati wa kutoa msaada kwenye kituo cha kulelea ,ambapo mchele,unga na maharage tani 3.9,mafuta ya kupikia lita 100 na sabuni katoni 5,kushoto ni Meneja wa Tigo mikoa ya Shinyanga,Tabora na Kigoma Kamara Kalembo na Meneja Huduma kwa wateja kanda ya ziwa Beatrice Kinabo (kulia).
Sehemu ya msaada wa chakula mchele, unga na maharage tani 3.9,mafuta...
9 years ago
MichuziTaasisis ya Brigitte Alfred yajenga Bweni la Watoto wenye ulemavu wa ngozi wa kituo Buhangija Mkoani Shinyanga
10 years ago
Vijimambo18 Mar
CHAMA CHA MADAKTARI WA KINYWA NA MENO WAENDELEA KUTOA HUDUMA YA BURE KATIKA KITUO CHA WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI ALBINO


10 years ago
Michuzi.jpg)
MISS UNIVERSE NALE BONIFACE ATEMBELEA KITUO CHA WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI (ALBINO) CHA SALVATION ARMY JIJINI DAR ES SALAAM
.jpg)
.jpg)
10 years ago
GPL
CHAMA CHA MADAKTARI WA KINYWA NA MENO WAENDELEA KUTOA HUDUMA YA BURE KATIKA KITUO CHA WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI ALBINO
9 years ago
Michuzi
Zitto Kabwe akabidhi bweni la wanafunzi Shule ya watoto wenye ulemavu wa ngozi Buhangija, Shinyanga
10 years ago
Mtanzania28 Mar
Kituo cha watu wenye ulemavu wa ngozi kilichojaa changamoto!
NA AGATHA CHARLES, ALIYEKUWA SHINYANGA
WAKATI jamii ikipambana kuzuia mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino), imebainika kuwa licha ya tishio hilo la kuawa lakini pia wamekuwa wakifanyiwa vitendo wa ukatili ikiwemo kubakwa.
Mwandishi wa gazeti hili, Machi 10, mwaka huu alitembelea kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji maalum wakiwemo walemavu wa ngozi cha Buhangija Jumuishi kilichopo Manispaa ya Shinyanga na kukutana na binti mwenye umri chini ya miaka 18 ambaye alifanyiwa ukatili...
10 years ago
GPLSITTI MTEMVU ATEMBELEA KITUO CHA WENYE ULEMAVU WA NGOZI HOSPITALI YA MKOA ILALA
10 years ago
MichuziSITTI MTEMVU ATEMBELEA KITUO CHA WENYE ULEMAVU WA NGOZI AN HOSPITALI YA MKOA ILALA.