NIC YATOA MSAADA WA VIFAA VYA ELIMU KWA WATOTO WENYE UONI HAFIFU KITUO CHA ALBINO BUHANGIJA SHINYANGA
Shirika la Bima la taifa leo limetoa msaada wa vifaa 34 vya kujifunzia darasani kwa watoto wenye uoni hafifu katika kituo cha kulelea watoto wenye ulemavu wa ngozi(Albino),wasioona na wasiosikia cha Buhangija katika manispaa ya Shinyanga. Vifaa vilivyotolewa ni darubini kiona mbali(Telescope Monocular),Kikuza Maandishi cha Kusimamisha(Stand Magnifier) na Kikuza Maandishi cha Kuweka juu ya Maandishi( Dome Magnifier)-Picha zote na Kadama Malunde-Shinyanga
Ndani ya ofisi ya mwalimu mkuu wa Shule...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLTAASISI YA IMETOSHA YATOA MSAADA KITUO CHA WATOTO CHA BUHANGIJA, SHINYANGA
10 years ago
VijimamboTaasisi ya Imetosha yatoa msaada kwa kituo cha Buhangija Shinyanga.
Taasisis ya Imetosha ya jijini Dar es Salaam leo hii imepeleka misaada mbali mbali katika kijiji cha watoto wasioona cha Buhangija, Shinyanga ambacho kwa sasa kinahifadhi pia watoto na vijana wenye ualbino takriban 300. Misaada hiyo ikiwemo mabelo ya mitumba 2 moja la masweta na jingine la suruali za jeans, unga, mchele, maharage, sukari, chumvi, ndoo 3 za mafuta ya kupikia, sabuni za kufulia box 8, vile vile...
5 years ago
MichuziKAMPUNI YA JAMBO YAMWAGA MSAADA KITUO CHA WATOTO WENYE UALBINO BUHANGIJA
Kampuni ya vinywaji Jambo Products ya mkoani Shinyanga, imetoa misaada mbalimbali ikiwemo chakula kwenye kituo cha kulea watoto wenye ualbino cha Buhangija Jumuishi kilichopo Mjini Shinyanga .
Akizungumza wakati wa kutoa msaada huo leo Alhamis Februari 20,2020, Mkurugenzi wa Kampuni ya Jambo Esme Salum, akiambatana na wachezaji wa timu ya Stand United ambayo wanaifadhili, amesema wameamua kutoa sehemu ya faida ambayo wanaipata kusaidia watoto hao wenye ualbino ili kuwapa faraja. Amesema...
9 years ago
MichuziTaasisis ya Brigitte Alfred yajenga Bweni la Watoto wenye ulemavu wa ngozi wa kituo Buhangija Mkoani Shinyanga
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-R3zFIpey3ps/XrbS-zNaMyI/AAAAAAALpmw/-GZeZ0lszT83SIKQeMybc66coSqaqnh6wCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-05-09%2Bat%2B1.47.27%2BPM.jpeg)
TAASISI YA TUMAINI LA MTOTO YATOA ELIMU, MSAADA KATIKA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHA CHUKUWAMA
Akitoa elimu kwa watoto wa kituo hicho Mkurugenzi Taasisi ya Tumaini la Mtoto, Maziku Kuwandu amesema kuwa Watoto waliopo kwenye vituo vyao vya kulelewa wamekuwa hawapati elimu ya kujikinga na Virusi vya Corona (Covid 19) ndio maana wachukua fursa hiyo kuwapa elimu watoto hao.
"Taasisi ya Tumaini la Mtoto kupitia...
5 years ago
MichuziDC MBONEKO AONGOZA KIKUNDI CHA WANAWAKE NA MABADILIKO KUKABIDHI BWENI KITUO CHA WATOTO WENYE UALBINO BUHANGIJA
Kikundi cha Wanawake na Mabadiliko Manispaa ya Shinyanga (Women For Change - WFC) kimekabidhi bweni walilokarabati kwenye kituo cha kulea watoto wenye ulemavu mbalimbali cha Buhangija Jumuishi, wakiwamo na watoto wenye ualbino kwa ajili ya kuwaweka katika mazingira mazuri. Zoezi la kukabidhi bweni ambalo ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya wanawake duniani, limefanyika leo Alhamis Machi 5, 2020 ambapo mgeni Rasmi alikuwa mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko, huku hafla hiyo fupi...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-IUbUTeh5NJM/VUx2t1X96OI/AAAAAAAA1sQ/J241SkLKa6c/s72-c/1.jpg)
TBL YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VYA SH. MIL. 22 KITUO CHA AFYA KAMBI YA SIMBA,KARATU
![](http://4.bp.blogspot.com/-IUbUTeh5NJM/VUx2t1X96OI/AAAAAAAA1sQ/J241SkLKa6c/s640/1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-PGGOjhKYOok/VUx3SuqK4yI/AAAAAAAA1uU/ByALKEDocRQ/s640/9.jpg)
10 years ago
GPL![](http://2.bp.blogspot.com/-OEyrRKU7lUI/VUx2po2uLDI/AAAAAAAA1sE/96UT9aILrwk/s640/01.jpg)
TBL YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VYA SH. MIL. 22 KITUO CHA AFYA KAMBI YA SIMBA,KARATU
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-P2koqi_JPGs/U9EFd3efmvI/AAAAAAAF5v0/2qnVkLbaf_8/s72-c/unnamed+(2).jpg)
WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU WA KITUO CHA CHILD IN THE SUN WAPEWA MSAADA WA VIFAA VYA SHULE NA TCAA
![](http://4.bp.blogspot.com/-P2koqi_JPGs/U9EFd3efmvI/AAAAAAAF5v0/2qnVkLbaf_8/s1600/unnamed+(2).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-s0fgi4QraIQ/U9EFeMZ8jGI/AAAAAAAF5v8/aZVMceZnFh4/s1600/unnamed+(3).jpg)