Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA UELIMISHAJI UMMA KUHUSU UALBINO

Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Dkt. Kevin Mandopi akizungumza na wadau mbalimbali wa masuala ya haki za binadamu katika mkutano wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Uelimishaji Umma Kuhusu Ualbino uliofanyika kwenye ofisi za Tume hiyo leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi kutoka Ofisi ya Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Serikali Bibi. Neema Ringo na kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bibi. Nkasori Sarakikya. Katibu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

JK MGENI RASMI MAADHIMISHO YA KIMATAIFA YA WATU WENYE UALBINO

 Katibu Mkuu wa Sirika la Dawa Asili na Ulizi wa Mazingira Boniventure Mwalongo akifafanuaa jambo mbele ya waandishi wa Habari hawapo pichani kuhusiana na Maadhimisho ya kimataifa ya kuongeza ufahamu juu ya Ualbino katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa idara ya Habari MAELEZO jijini Dar es Salaam Leo katikati ni Mwenyekita wa Chama Cha Albino Tanzania (TAS), Kassimu Kirwe na Katibu Mkuu Ziada Nsembo.Katibu Mkuu wa TAS, Ziada Nsembo akizungumza na waandishi wa habari Hawapo pichani...

 

5 years ago

Michuzi

UJUMBE WA SADC KUELEKEA SIKU YA UELEWA KUHUSU UALBINO DUNIANI

 Na Leandra Gabriel, Michuzi

JUMUIYA ya Maendeleo kwa nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) imeungana na wanajamii kote duniani katika maadhimisho ya siku ya uelewa kuhus watu wanaoishi na ualbino inayoadhimishwa kila Juni 13 na hiyo ni kufuatia maazimio ya mkutano mkuu wa 69 wa umoja wa mataifa ambao iliazimiwa ushiriki wa kila nchi mwanachama katika kulinda na kuhifadhi haki za watu wenye ualbino katika maisha, utu, ulinzi na nchi wanachama walishauriwa kutumia siku hiyo kwa kujenga uelewa kwa...

 

9 years ago

Michuzi

BALOZI MULAMULA AONGOZA MAADHIMISHO SIKU YA KIMATAIFA YA AMANI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akizungumza wakati akifungua rasmi Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Amani yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Alliance Francaise, Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Septemba, 2015. Balozi Mulamula alikuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho hayoSehemu ya wageni waalikwa kwenye maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Amani akiwemo Balozi wa Afrika Kusini hapa nchini, Mhe. Thami Mseleku (mwenye suti ya kahawia)...

 

5 years ago

Michuzi

TAMKO LA TUME KUHUSU MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA.

Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) inaungana na Watanzania wote katika kuadhimisha Siku ya Mazingira duniani ambayo kilele chake ni Juni 5, 2020.
Kama Kauli Mbiu ya Maadhimisho ya Kitaifa Mwaka huu inavyosema Tuhifadhi Mazingira: Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi, hivyo, Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora nayo kupitia Maadhimisho haya inapenda kuwakumbusha Wananchi wajibu wao wa kutunza na kuhifadhi mazingira kwa sababu ustawi wa viumbe hai akiwemo...

 

5 years ago

Michuzi

TAARIFA KUHUSU MAADHIMISHO SIKU YA MALARIA DUNIANI

 Waziri wa Afya , Maendeleoya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu


 

9 years ago

Dewji Blog

Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kichwa Kikubwa na Mgongo wazi Duniani 2015, yafana MOI

Meneja Ustawi wa Jamii na Mahusiano wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa ,Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) Jumaa Almasi akizungumza kwa niaba ya Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi hiyo  Dk, Othman Kiloloma wakati wa Maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kichwa Kikubwa na Mgongo wazi Duniani 2015, aliomba kuitumia siku hiyo kwa kusheherekea siku hiyo adhim amabayo nisiku maalum kwa sababu vijana wetu ambao tunawaongelea leo hi kwetu sisi ni wagonjwa kwa maana yakwamba Tiba yao yote kwa...

 

10 years ago

Michuzi

Maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya mtoto wa kike yaliyo ratibiwa na WiLDAF yafana jijini Dar es salaam

Maadhimisho ya siku ya kimataifa ya mtoto wa kike yaliyo ratibiwa na Women in Law and Development in Africa - WiLDAF yafana jijini Dar es salaam.
Octoba 11 ya kila mwaka ni siku iliyopitishwa na Baraza kuu la Umoja wa Mataifa kuwa Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike duniani kote. Maadhimisho haya yalifanyika katika Hoteli ya Double Tree, Dar es Salaam.Washiriki wa maadhimisho hayo wakiwa katika picha ya pamoja.Mmoja wa washiriki waliofika kwenye hafla hiyo ya maadhimisho ya siku ya...

 

10 years ago

Michuzi

UN Tanzania Waadhimisha Siku ya Kimataifa ya Maadhimisho ya Wahanga wa Maangamizi Makuu ya Moto dhidi ya Wayahudi Jijini Dar leo

Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania Mh Egon Kochanke akitoa historia fupi ya wahanga wa maangamizi Makuu ya Moto Dhidi ya Wayahudi katika maadhimisho yaliyofanyika katika Ukumbi wa Utamaduni wa Russia na kuandaliwa na Umoja wa Mataifa Tanzania. Afisa Habari wa Umoja wa Mataifa Tanzania, Bi Usia Nkhoma akiwakaribisha wanafunzi wa shule za sekondari za jijini Dar pamoja na wanafunzi wa Vyuo Vikuu vilivyopo Jijini Dar ambavyo Kuna Klabu za Umoja wa Mataifa katika ukumbi wa utamaduni wa Russia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani