Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAMKO LA TUME KUHUSU MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA.

Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) inaungana na Watanzania wote katika kuadhimisha Siku ya Mazingira duniani ambayo kilele chake ni Juni 5, 2020.
Kama Kauli Mbiu ya Maadhimisho ya Kitaifa Mwaka huu inavyosema Tuhifadhi Mazingira: Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi, hivyo, Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora nayo kupitia Maadhimisho haya inapenda kuwakumbusha Wananchi wajibu wao wa kutunza na kuhifadhi mazingira kwa sababu ustawi wa viumbe hai akiwemo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Tamko la Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mwanamke Machi 8 , 2020

Tunapoadhimisha kumbukumbu ya siku ya Mwanamke Duniani hii leo Machi 8, 2020 ikiwa ni miaka 25 tangu wanawake kutoka nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa wakutane jijini Beijing, China kujadili maendeleo ya wanawake,Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) inapenda kuungana na Watanzania wote katika kusherehekea maadhimisho haya ambayo kimsingi yanatoa fursa kwa wanawake kufanya marejeo ya hatua mbalimbali zilizofikiwa katika kuboresha mustakabali wa wanawake nchini.

Tume inatambua...

 

5 years ago

Michuzi

TAMKO LA WAZIRI ZUNGU KUHUSU SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI


Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mussa Azzan Zungu akisoma tamko juu ya Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani, mbele ya waandishi wa Habari hii leo Jijini Dodoma. Kwa mwaka huu maadhimisho hayo yatafanyika kwa kutumia vyombo vya habari bila kuwapo kwa mikusanyiko.
TAMKO LA MHE. MUSSA AZZAN ZUNGU (MB.), WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS - MUUNGANO NA MAZINGIRA JUU YA MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI
Ndugu Wananchi,Kila tarehe 5 Juni, nchi yetu...

 

11 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI OFISI YA MAKAMU WA RAIS (MAZINGIRA) ATOA TAMKO KUHUSU SIKU YA KUPAMBANA NA KUENEA KWA HALI YA JANGWA NA UKAME DUNIANI MJINI DODOMA LEO

Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Makamu wa Rais (Mazingira) Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza na waandishi wa Habari katika Ukumbi wa Habari, Bungeni alipokutana nao kutoa Tamko kwa niaba ya Waziri kuhusu Siku ya kupambana na Kuenea kwa hali ya Jangwa na Ukame Dunia leo tarehe 16 Juni, 2014. Picha na Owen Mwandumbya.

 

9 years ago

Dewji Blog

Tamko kuhusu ushauri wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kwa Tume ya Uchaguzi Zanzibar

DSC_0733

Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe. Bahame Tom Nyanduga akiongea na waandishi wa habari (hawako pichani) leo mchana makao makuu ya ofisi za Tume, mtaa wa Barack Obama jijini Dar es Salaam.

DSC_0737

Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mhe. Nyanduga akitoa tamko kuhusu ushauri wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kwa Tume ya Uchaguzi Zanzibar.

Ushauri wa THBUB kwa Tume ya Uchaguzi Zbar.doc 

 

9 years ago

Dewji Blog

Tamko la Tume ya Haki za Binadamu kuhusu uchaguzi

Mhe. Bahame Nyanduga (1)

Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Mhe. Bahame Nyanduga.

Tamko La Tume Ya Haki Za Binadamu Kuhusu Uchaguzi Huru 

 

5 years ago

Michuzi

TAMKO LA TUME KUHUSU HOSPITALI YA RUFAA MWANANYAMALA.


Kusikitishwa na taarifa ya vitendo vya baadhi ya Madaktari na Wauguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mwananyamala kuwanyanyapaa na kuwasumbua Wagonjwa
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imesikitishwa na taarifa ya vitendo vinavyofanywa na baadhi ya Madaktari na Wauguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mwananyamala vya kuwanyanyapaa na kuwasumbua wagonjwa wanaoenda kupata matibabu kwa kuwataka wagonjwa hao kwenda kufanya vipimo vya Korona kabla ya kuanza kupata matibabu.
Tume...

 

10 years ago

Vijimambo

UZINDUZI WA MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI.

 Mkurugenzi wa Mazingira katika Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Julius Ningu akitoa maelezo kwa mgeni Rasmi Mheshimiwa Samuel Sitta alipotembelea banda la Ofisi ya Makamu wa Rais katika maadhimisho ya wiki ya siku ya mazingira jijini Tanga. Wengine wanaosikiliza ni  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Mazingira Mh. Dkt Binilith Mahenge (kulia) na Waziri wa Nchi Ofis ya Makamu wa Rais-Muungano Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan (kulia). Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Binilith Mahenge...

 

10 years ago

GPL

WAZIRI MAHENGE ATOA TAMKO LA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI, TAREHE 5 JUNI 2015

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira Mhe. Dkt. Injinia Binilith Satano Mahenge akitoa tamko kuhusu wiki ya mzingira kwa waandishi wa habari (hawapo pichani). Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira, Dkt. Binillith S.Mahenge amesema Tarehe 5 Juni ya kila mwaka watanzania tunaungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani. Kitaifa Maadhimisho haya yataadhimishwa katika viwanja vya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani