TAMKO LA TUME KUHUSU HOSPITALI YA RUFAA MWANANYAMALA.
Kusikitishwa na taarifa ya vitendo vya baadhi ya Madaktari na Wauguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mwananyamala kuwanyanyapaa na kuwasumbua Wagonjwa
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imesikitishwa na taarifa ya vitendo vinavyofanywa na baadhi ya Madaktari na Wauguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mwananyamala vya kuwanyanyapaa na kuwasumbua wagonjwa wanaoenda kupata matibabu kwa kuwataka wagonjwa hao kwenda kufanya vipimo vya Korona kabla ya kuanza kupata matibabu.
Tume...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziHOSPITALI YA RUFAA MWANANYAMALA YAPOKEA KIZIMBA CHA TAKA NGUMU
Nkungu akizungumza na wadau wa maendeleo, leo jijini Dar es salaam katika hafla ya kukabidhiwa Kizimba cha Taka chenye thamani ya zaidi ya milioni 9.ambapo amesema kizimba hicho kitasaidia kuzuia ifections.Mwanzilishi wa Kikundi cha (WOMEN OF SUBSTANCE),Mercy
Mchechu kulia akizungumza na Michuzi Tv katika hafla ya kukabidhi Kizimba cha Taka ambapo amesema ujenzi wa kizimba hicho umegharimu zaidi ya milioni
9. Picha ya...
9 years ago
Dewji Blog29 Oct
Tamko kuhusu ushauri wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kwa Tume ya Uchaguzi Zanzibar
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe. Bahame Tom Nyanduga akiongea na waandishi wa habari (hawako pichani) leo mchana makao makuu ya ofisi za Tume, mtaa wa Barack Obama jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mhe. Nyanduga akitoa tamko kuhusu ushauri wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kwa Tume ya Uchaguzi Zanzibar.
Ushauri wa THBUB kwa Tume ya Uchaguzi Zbar.doc
9 years ago
Dewji Blog23 Oct
Tamko la Tume ya Haki za Binadamu kuhusu uchaguzi
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Mhe. Bahame Nyanduga.
Tamko La Tume Ya Haki Za Binadamu Kuhusu Uchaguzi Huru
5 years ago
MichuziTAMKO LA TUME KUHUSU MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA.
Kama Kauli Mbiu ya Maadhimisho ya Kitaifa Mwaka huu inavyosema Tuhifadhi Mazingira: Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi, hivyo, Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora nayo kupitia Maadhimisho haya inapenda kuwakumbusha Wananchi wajibu wao wa kutunza na kuhifadhi mazingira kwa sababu ustawi wa viumbe hai akiwemo...
9 years ago
Michuzi02 Sep
Maamuzi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuhusu Rufaa za Wabunge
9 years ago
Michuzi02 Sep
Maamuzi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuhusu Rufaa za Wabunge na Madiwani
Tume inaendelea kupitia vielelezo vilivyowasilishwa na Wagombea (warufani) na Wasimamizi wa Uchaguzi kutoka Halmashauri mbalimbali. Pia imeanza kuzitolewa maamuzi rufaa za Wabunge tarehe 31/8/2015. Leo tarehe 01/9/2015 zimejadiliwa na kuamuliwa rufaa za Madiwani 53.
Kati...
5 years ago
MichuziWAUGUZI HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA MBEYA WATOA ZAWADI YA CHEREHANI KWA HOSPITALI
Wauguzi wa Hospitali ya Rufaa Kanda ya Mbeya wametoa zawadi ya Cherehani ikiwa ni kuadhimisha siku ya wauguzi Duniani.
Wauguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya, leo wamekabidhi zawadi ya mashine ya cherehani yenye thamani ya shilingi 1,500,000/= MZRH ikiwa ni mchango wao wa alama ya upendo katika maadhimisho ya siku ya kimataifa ya wauguzi duniani.
Akizungumza katika makabidhiano hayo Mwenyekiti wa Chama cha...
10 years ago
Habarileo09 Mar
Hospitali ya Mwananyamala yapewa mashuka 200
MBUNGE wa Jimbo la Kinondoni, Idd Azzan amewaomba wadau mbalimbali kujitokeza kuchangia maendeleo na uboreshaji wa Hospitali ya Mwananyamala, kutokana na kuzidiwa na wagonjwa huku miundombinu ikiwa ni ile ile.
10 years ago
GPLTIMES FM YATOA MASHUKA 200 HOSPITALI YA MWANANYAMALA