Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maamuzi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuhusu Rufaa za Wabunge

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imepokea jumla ya rufaa 54 za madiwani kupinga Maamuzi ya Wasimamizi wa Uchaguzi katika majimbo mbalimbali nchini. Pia jumla ya rufaa 198 za madiwani kutoka Halmashauri mbalimbali.Tume imeanzakupitia vielelezo vilivyowasilishwa na Wagombea (warufani) na Wasimamizi wa Uchaguzi kutoka majimboni. Imeanza kuzitolewa maamuzi rufaa za Wabunge.  Leo tarehe 31/82015 zimejadiliwa na kuamuliwa rufaa 38. Zilizobaki mawasiliano yanaendelea kati ya Tume na Wasimamizi wa Uchaguzi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Maamuzi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuhusu Rufaa za Wabunge na Madiwani

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imepokea jumla ya rufaa 54 za Wabunge kupinga Maamuzi ya Wasimamizi wa Uchaguzi katika majimbo mbalimbali nchini. Pia jumla ya rufaa 200 za madiwani kutoka kwenye kata za Halmashauri mbalimbali.
Tume inaendelea kupitia vielelezo vilivyowasilishwa na Wagombea (warufani) na Wasimamizi wa Uchaguzi kutoka Halmashauri mbalimbali. Pia imeanza kuzitolewa maamuzi rufaa za Wabunge tarehe 31/8/2015.  Leo tarehe 01/9/2015 zimejadiliwa na kuamuliwa rufaa za Madiwani 53. 
Kati...

 

9 years ago

Michuzi

MUHTASARI WA MAAMUZI YA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI DHIDI YA RUFAA ZA UBUNGE NA UDIWANI

Tume ya Taifa ya Uchaguzi ilipokea Rufaa za Wabunge 55 na imeshatolea maamuzi rufaa 42  bado rufaa za Wabunge 13 ambazo vielelezo vyake vinasubiriwa kutoka kwenye Halmashauri husika. Kulikuwa na Rufaa 16 za Wabunge waliokuwa wameenguliwa. Kati ya hizo Wabunge 13 wamerudishwa kuendelea na kampeni na rufaa 3 Tume ilikubaliana na maamuzi ya Wasimamizi wa Uchaguzi hivyo hao hawatarudishwa kwenye orodha ya Wagombea. Aidha, rufaa 24zimekataliwa na Tume ambapo maamuzi ya Wasimamizi wa Uchaguzi...

 

5 years ago

CCM Blog

HOTUBA YA MWENYEKITI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI MHE. JAJI WA RUFAA (MST) SEMISTOCLES KAIJAGE KWENYE MKUTANO WA TUME NA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO WA MWL. NYERERE TAREHE 23 MACHI, 2020







•           Mheshimiwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi,•           Waheshimiwa Wajumbe wa Tume,•           Mkurugenzi wa Uchaguzi,•           Msajili wa Vyama vya Siasa,•           Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa,•           Viongozi wa Vyama vya Siasa,•           Mwakilishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu,•           Inspekta Jenerali wa Polisi,•           Kamishna Mkuu wa Uhamiaji•           Watendaji wa Tume,•           Waandishi wa Habari,•           Mabibi na Mabwana
Bwana...

 

11 years ago

Michuzi

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YATOA UFAFANUZI KUHUSU DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA UCHAGUZI WA UBUNGE JIMBO LA KALENGA

Pichani Kati ni Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi,Mh.Jaji Mstaafu Damian Lubuva akizungumza mbele ya Waandishi wa habari mapema leo mchana,kwenye moja ya ukumbi wa mikutano ya Hill Top Hotel,mjini Iringa kuhusiana na ufafanuzi wa Daftari la Kududumu la Wapiga Kura litakalotumika katika Uchaguzi wa Ubunge jimbo la Kalenga,unaotarajiwa kufanyika machi 16 mwaka huu.Jaji Lubuva amebainisha kuwa Tume haijafanya Uboreshaji kwa maana ya kuandikisha Wapiga kura wapya ambao hawakuwa...

 

10 years ago

GPL

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAKUTANA NA VYAMA VYA SIASA KUHUSU MAJIMBO MAPYA

Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Uchaguzi, Julius  Malaba,  akizungumza jambo. Sehemu ya viongozi wa vyama vya siasa katika mkutano huo. Prof. Lipumba akichangia katika mkutano…

 

10 years ago

Michuzi

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YATOA UFAFANUZI KUHUSU USHIRIKI WA WANAJESHI kWENYE ZOEZI HILO

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetoa ufafanuzi kuhusu ushiriki wa Wanajeshi katika  uboreshaji wa zoezi la uandikishaji wa daftari la kupiga kura.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Tume inasema kutakuwepo na wanajeshi 6 wa Jeshi la Wananchi katika kila kituo ambao kazi yao ni kusaidia shughuli za lojistiki kama vile kuhamisha vifaa kutoka kata moja kwenda nyingine.
Pia wanajeshi hao watasaidia katika shughuli za kufanya matengenezo madogo madogo ya vifaa yanayoweza kujitokeza wakati wa zoezi la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani