TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAKUTANA NA VYAMA VYA SIASA KUHUSU MAJIMBO MAPYA
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Uchaguzi, Julius Malaba, akizungumza jambo. Sehemu ya viongozi wa vyama vya siasa katika mkutano huo. Prof. Lipumba akichangia katika mkutano…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
11 years ago
Michuzi
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAKUTANA NA VIONGOZI WA VYAMA SIASA MKOANI IRINGA LEO


11 years ago
Michuzi12 Mar
10 years ago
Michuzi
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAKUTANA NA VIONGOZI WA SIASA LEO


5 years ago
CCM BlogHOTUBA YA MWENYEKITI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI MHE. JAJI WA RUFAA (MST) SEMISTOCLES KAIJAGE KWENYE MKUTANO WA TUME NA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO WA MWL. NYERERE TAREHE 23 MACHI, 2020
• Mheshimiwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi,• Waheshimiwa Wajumbe wa Tume,• Mkurugenzi wa Uchaguzi,• Msajili wa Vyama vya Siasa,• Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa,• Viongozi wa Vyama vya Siasa,• Mwakilishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu,• Inspekta Jenerali wa Polisi,• Kamishna Mkuu wa Uhamiaji• Watendaji wa Tume,• Waandishi wa Habari,• Mabibi na Mabwana
Bwana...
10 years ago
Vijimambo
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAKUTANA NA VIONGOZI WA SIASA JIJINI DAR LEO.


5 years ago
Michuzi
NEC yakutana na viongozi wa vyama vya Siasa kujadili suala la Uchaguzi mkuu 2020.
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
Katika kuelekea uchaguzi Mkuu 2020 wa Rais, Wabunge na madiwani Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imekutana na viongozi wa vyama vya siasa kujadili maandalizi ya uwekaji wazi wa Daftari la awali na kutoa taarifa ya maandalizi ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura awamu ya pili.
Akifungua mkutano huo uliohusisha viongozi wa vyama vya siasa nchini Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage amesema katika kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa...
5 years ago
CCM Blog
NEC YAKUTANA NA VYAMA VYA SIASA KUJALILI NA KUPITISHA KANUNI NA MAADILI KWA UCHAGUZI MKUU 2020

Hayo yamesemwa jana Jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (NEC), Mhe.Jaji Semistocles Kaijage katika kikao na vyama vya Siasa na Wadau wengine wa Uchaguzi kujadili na kupitisha Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Mwaka 2020.
Akizungumza katika kikao hicho Jaji...
5 years ago
CCM Blog
NEC YAKUTANA NA VYAMA VYA SIASA KUJADILI NA KUPITISHA KANUNI NA MAADILI KWA UCHAGUZI MKUU 2020

Semistocles Kaijage, akizungumza katika Mkutano wa NEC na Vyama vya Siasa kujadili na kupitisha Kanuni na Maadili ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani mwaka 2020, Mkutano ambao umefanyika loe 27, Mei 2020, JNICC Jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage, akifafanua hoja zilizotolewa na Washiriki wa Mkutano wa NEC na Vyama vya Siasa kujadili na kupitisha Kanuni na...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania