Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HOSPITALI YA RUFAA MWANANYAMALA YAPOKEA KIZIMBA CHA TAKA NGUMU

  Mganga Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala  Dkt. Daniel
Nkungu akizungumza na wadau  wa  maendeleo, leo  jijini Dar es salaam katika hafla ya kukabidhiwa Kizimba cha Taka  chenye thamani ya zaidi ya milioni 9.ambapo amesema kizimba hicho kitasaidia kuzuia ifections.Mwanzilishi wa Kikundi cha (WOMEN OF SUBSTANCE),Mercy
Mchechu kulia akizungumza na Michuzi Tv katika hafla ya kukabidhi  Kizimba cha Taka ambapo amesema  ujenzi wa kizimba hicho umegharimu zaidi ya milioni
9.  Picha ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

TAMKO LA TUME KUHUSU HOSPITALI YA RUFAA MWANANYAMALA.


Kusikitishwa na taarifa ya vitendo vya baadhi ya Madaktari na Wauguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mwananyamala kuwanyanyapaa na kuwasumbua Wagonjwa
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imesikitishwa na taarifa ya vitendo vinavyofanywa na baadhi ya Madaktari na Wauguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mwananyamala vya kuwanyanyapaa na kuwasumbua wagonjwa wanaoenda kupata matibabu kwa kuwataka wagonjwa hao kwenda kufanya vipimo vya Korona kabla ya kuanza kupata matibabu.
Tume...

 

10 years ago

Dewji Blog

Chuo Kikuu Ardhi kutatua tatizo la udhibiti wa maji taka na taka ngumu

1

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ardhi Prof. Idrissa Mshoro akiwaeleza waandishi wa habari (Hawapo pichani) kuhusu mpango wa chuo hicho wa kuendelea na jitihada za kutatua tatizo la udhibiti wa maji taka na tanga ngumu ikiwemo ujengaji wa miundombinu ya majaribio ya teknolojia za kibiolojia zinazobadili tanga ngumu au maji taka ambayo huzalishwa majumbani kuwa mboji na gesi asili ya kupikia, wakati wa mkutano na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Naibu Makamu Mkuu wa Chuo...

 

5 years ago

Michuzi

HOSPITALI YA MWANANYAMALA YAZINDUA KITUO CHA HUDUMA JUMUISHI


Na Janeth Raphael, Michuzi TV

HOSPITALI ya Rufaa ya Mkoa wa Mwananyamala jijini Dar es Salaam imezindua kituo cha huduma jumuishi za kitabibu, Polisi, Ustawi wa kijamii na kisheria kwa malengo ya kuwasaidia wahanga wa vitendo vya ukatili wa kijinsia huku ikielezwa asilimia 44 ya wanawake wamepitia ukatili wa kimwili katika maisha yao.

Akizungumza leo jijini Dar es Salaam baada ya kupokea kituo hicho jumuishi cha mkono kwa mkono katika hospitali hiyo Mwenyekiti wa bodi ya ushauri wa Hospitali...

 

9 years ago

Michuzi

NHIF YAKAMILISHA UJENZI WA KITUO CHA KISASA CHA UCHUNGUZI NA MATIBABU KILICHOJENGWA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA DODOMA

   Jengo la ujenzi wa kituo cha kisasa cha uchunguzi na matibabu kilichojengwa katika hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Dodoma.  Sehemu ya jengo la ujenzi wa kituo cha kisasa cha uchunguzi na matibabu kilichojengwa katika hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Dodoma  Sehemu ya jengo la ujenzi wa kituo cha kisasa cha uchunguzi na matibabu kilichojengwa katika hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Dodoma Kaimu Mkurugenzi Mkuu Mfuko wa NHIF, Michael Mhando akizungumza wakati wa makabidhiano ya  kituo cha kisasa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sumbawanga yaelemewa na taka ngumu

HALMASHAURI ya Manispaa ya Sumbawanga imezidiwa na mzigo wa uzoaji wa taka ngumu kutoka eneo lililotengwa kwa ajili ya kukusanyia kutokana na uzalishaji wake kuwa mkubwa kuliko ilivyotarajiwa. Hali hiyo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Tanzania haina dampo la taka ngumu’

TANZANIA haina dampo la kutekeleza taka ngumu zenye sumu, bunge lilielezwa jana. Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Ummi Mwalimu, alipokuwa akijibu...

 

11 years ago

Michuzi

KIKUNDI CHA UPENDO WOMEN'S GROUP KILICHOPO BRUSSEL UBELGIJI CHACHANGISHA FEDHA KWA AJILI YA HOSPITALI YA MWANANYAMALA

Balozi wa Tanzania nchini ubelgiji Dr. Diodorus Kamala akisoma hotuba yake katika ghafla ya uchangishaji wa fedha kwa ajili ya kina mama na watoto waliopo katika wakati mgumu hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam Tanzania,Kushoto kwa balozi ni Balozi wa Kenya nchi Belgium Mh:Johson Uweru na pembeni wa balozi wa Kenya ni mwakilishi kutoka Madagasca mh: Norbet Richard Ibrahim,kulia kwa balozi Dr. Kamala ni balozi wa Burundi Dr.Felix. Wana Upendo Group wakiingia ukumbini katika...

 

5 years ago

Michuzi

FAHAMU UBUNIFU WA MFUMO WA MAJIMOTO UNAOTUMIA TAKA NGUMU

 Mwandishi Wetu, COSTECHKUTOKANA mahitaji na gharama kubwa za kuandaa majimoto kwa matumizi mbalimbali hususani maeneo yenye watu wengi (hotelini, nyumbani na hospitalini n.k), Jumbe Haruna amebuni mfumo unaopasha maji mengi kwa gharama nafuu.
Mbunifu Jumbe, ambaye ni mhitimu wa siku nyingi wa Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) alikosomea masuala ya bomba na mifumo ya maji anasema alikuwa anafanya kazi hotelini ambako miongoni mwa changamoto alizokuwa anakutana nazo ni kuharibika kwa ‘heater’ jambo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wakazi wa manispaa ya Singida walalamikia uongozi kushindwa kuzoa taka ngumu

SAM_1999

Baadhi ya maghuba yaliyopo katika Manispaa ya Singida yakiwa yamefurika taka ngumu kwa muda mrefu sasa kama ambavyo Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Bwana Joseph Mchina alivyokiri katika maelezo yake kushindwa kuzoa kutokana na magari ya kuzolea taka kuchelewa kufika.(Picha zote na Jumbe Ismailly).

SAM_2002_1

 

Na Jumbe Ismailly, Singida      

WAKAZI wa Halmashauri ya Manispaa ya Singida wameulalakia uongozi wa Manispaa hiyo kwa kushindwa kuzoa taka kwenye maghuba ya kukusanyia taka ngumu zinazokusanywa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani