Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chuo Kikuu Ardhi kutatua tatizo la udhibiti wa maji taka na taka ngumu

1

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ardhi Prof. Idrissa Mshoro akiwaeleza waandishi wa habari (Hawapo pichani) kuhusu mpango wa chuo hicho wa kuendelea na jitihada za kutatua tatizo la udhibiti wa maji taka na tanga ngumu ikiwemo ujengaji wa miundombinu ya majaribio ya teknolojia za kibiolojia zinazobadili tanga ngumu au maji taka ambayo huzalishwa majumbani kuwa mboji na gesi asili ya kupikia, wakati wa mkutano na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Naibu Makamu Mkuu wa Chuo...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

MTARO WA MAJI TAKA CHUO CHA USTAWI WAJENGWA!

Wachimba mtaro wakiendelea na kazi pembeni ya Barabara ya  Shekilango eneo la Chuo cha Ustawi wa Jamii jijini Dar. ...Wakiendelea na kazi. Muonekano wa barabara ya Shekilango.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sumbawanga yaelemewa na taka ngumu

HALMASHAURI ya Manispaa ya Sumbawanga imezidiwa na mzigo wa uzoaji wa taka ngumu kutoka eneo lililotengwa kwa ajili ya kukusanyia kutokana na uzalishaji wake kuwa mkubwa kuliko ilivyotarajiwa. Hali hiyo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Tanzania haina dampo la taka ngumu’

TANZANIA haina dampo la kutekeleza taka ngumu zenye sumu, bunge lilielezwa jana. Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Ummi Mwalimu, alipokuwa akijibu...

 

5 years ago

Michuzi

FAHAMU UBUNIFU WA MFUMO WA MAJIMOTO UNAOTUMIA TAKA NGUMU

 Mwandishi Wetu, COSTECHKUTOKANA mahitaji na gharama kubwa za kuandaa majimoto kwa matumizi mbalimbali hususani maeneo yenye watu wengi (hotelini, nyumbani na hospitalini n.k), Jumbe Haruna amebuni mfumo unaopasha maji mengi kwa gharama nafuu.
Mbunifu Jumbe, ambaye ni mhitimu wa siku nyingi wa Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) alikosomea masuala ya bomba na mifumo ya maji anasema alikuwa anafanya kazi hotelini ambako miongoni mwa changamoto alizokuwa anakutana nazo ni kuharibika kwa ‘heater’ jambo...

 

5 years ago

Michuzi

HOSPITALI YA RUFAA MWANANYAMALA YAPOKEA KIZIMBA CHA TAKA NGUMU

  Mganga Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala  Dkt. Daniel
Nkungu akizungumza na wadau  wa  maendeleo, leo  jijini Dar es salaam katika hafla ya kukabidhiwa Kizimba cha Taka  chenye thamani ya zaidi ya milioni 9.ambapo amesema kizimba hicho kitasaidia kuzuia ifections.Mwanzilishi wa Kikundi cha (WOMEN OF SUBSTANCE),Mercy
Mchechu kulia akizungumza na Michuzi Tv katika hafla ya kukabidhi  Kizimba cha Taka ambapo amesema  ujenzi wa kizimba hicho umegharimu zaidi ya milioni
9.  Picha ya...

 

5 years ago

Michuzi

COSTECH yamwezesha Mbunifu wa matofali yanayotengenezwa kwa kutumia taka ngumu

Na COSTECH
Takwimu kutoka kampuni in inayojihusisha na mikopo ya Nyumba Tanzania (TMRC) zinaonyesha kuwa Tanzania ina upungufu wa nyumba milioni tatu. Takwimu hizo pia zinaonyesha  kuwa nchini Tanzania kila mwaka kuna ongezeko la mahitaji ya nyumba 200,000. Sababukubwa za ongezeko la mahitaji ya nyumba nchini ni pamoja na gharama kubwa ya vifaa vya ujenzi.Gharama kubwa ya vifaa vya ujenzi inasababisha wananchi wengi kuishi kwenye nyumba zisizo bora kwani hujenga nyumba zao kwa kutumia vifaa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wakazi wa manispaa ya Singida walalamikia uongozi kushindwa kuzoa taka ngumu

SAM_1999

Baadhi ya maghuba yaliyopo katika Manispaa ya Singida yakiwa yamefurika taka ngumu kwa muda mrefu sasa kama ambavyo Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Bwana Joseph Mchina alivyokiri katika maelezo yake kushindwa kuzoa kutokana na magari ya kuzolea taka kuchelewa kufika.(Picha zote na Jumbe Ismailly).

SAM_2002_1

 

Na Jumbe Ismailly, Singida      

WAKAZI wa Halmashauri ya Manispaa ya Singida wameulalakia uongozi wa Manispaa hiyo kwa kushindwa kuzoa taka kwenye maghuba ya kukusanyia taka ngumu zinazokusanywa...

 

10 years ago

Michuzi

Bodi ya ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) yatembelea Eneo la Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Maji Kidunda


 Meneja Usimamizi, Uendeshaji na Mazingira toka Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) Bi.Modesta Mushi akiwaonesha wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) ramani ya maeneo yatakayoguswa na Ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Kidunda lenye ujazo wa Mita milioni 190, wakati wa Ziara ya Bodi hiyo katika eneo la Mradi Mkoani Morogoro.Mkuu wa Msafara wa Timu ya Ulipaji fidia kwa Wakazi walio katika Eneo la Mradi Mhandisi John...

 

10 years ago

GPL

BODI YA WAKURUGENZI YA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA MAJI TAKA DAR ES SALAAM (DAWASA) YATEMBELEA ENEO LA MRADI WA UJENZI WA BWAWA LA MAJI KIDUNDA

Meneja Usimamizi, Uendeshaji na Mazingira toka Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) Bi.Modesta Mushi akiwaonesha wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) ramani ya maeneo yatakayoguswa na Ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Kidunda lenye ujazo wa Mita milioni 190, wakati wa Ziara ya Bodi hiyo katika eneo la Mradi Mkoani Morogoro.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani