Wakazi wa manispaa ya Singida walalamikia uongozi kushindwa kuzoa taka ngumu
Baadhi ya maghuba yaliyopo katika Manispaa ya Singida yakiwa yamefurika taka ngumu kwa muda mrefu sasa kama ambavyo Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Bwana Joseph Mchina alivyokiri katika maelezo yake kushindwa kuzoa kutokana na magari ya kuzolea taka kuchelewa kufika.(Picha zote na Jumbe Ismailly).
Na Jumbe Ismailly, Singida
WAKAZI wa Halmashauri ya Manispaa ya Singida wameulalakia uongozi wa Manispaa hiyo kwa kushindwa kuzoa taka kwenye maghuba ya kukusanyia taka ngumu zinazokusanywa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog28 May
Halmashauri ya Manispaa Singida yapewa msaada wa zaidi ya Mil 250 kwa ajili ya malori ya taka ngumu
Kijiko mali ya manispaa ya Singida kilichonunuliwa kwa shilingi 110 milioni,kikipakia taka ngumu kutoka kwenye dampo la soko la vitunguu mjini hapa jana.Picha na Nathaniel Limu
Na Nathaniel Limu
Serikali kuu imeipatia msaada halmashauri ya manispaa ya Singida, kijiko na malori mawili makubwa vyote vikiwa na thamani ya zaidi ya shilingi 250 milioni,kwa ajili ya uzoaji wa taka ngumu.
Hayo yamesemwa juzi na mkurugenzi wa manispaa ya Singida, Joseph Mchina, wakati akizingumza na waandishi wa...
10 years ago
Dewji Blog05 Mar
Ukosefu wa fedha wasababisha taka kulundikana Manispaa ya Singida
Dampo la taka katika kituo kidogo cha mabasi cha Msufini katika mji wa Singida.(Picha zote na Nathaniel Limu)
Na Nathaniel Limu, Singida
WAKAZI wanaoishi katika Manispaa ya Singida wapo hatarini kuambukizwa magonjwa mbalimbali kutokana na Manispaa hiyo kushindwa kuzoa taka ngumu zilizopo kwenye maghuba yaliyotengwa kwa ajili ya kukusanyia taka hizo.
Wananchi hao, Mariamu Juma, Tatu Madai na Salma Marco walifafanua kwamba imekuwa ni kawaida kwa Manispaa hiyo kutozoa takataka...
10 years ago
Dewji Blog22 Oct
Chuo Kikuu Ardhi kutatua tatizo la udhibiti wa maji taka na taka ngumu
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ardhi Prof. Idrissa Mshoro akiwaeleza waandishi wa habari (Hawapo pichani) kuhusu mpango wa chuo hicho wa kuendelea na jitihada za kutatua tatizo la udhibiti wa maji taka na tanga ngumu ikiwemo ujengaji wa miundombinu ya majaribio ya teknolojia za kibiolojia zinazobadili tanga ngumu au maji taka ambayo huzalishwa majumbani kuwa mboji na gesi asili ya kupikia, wakati wa mkutano na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Naibu Makamu Mkuu wa Chuo...
9 years ago
Habarileo16 Dec
Ma-RC, DC waagizwa kuzoa taka zilizolundikwa
WAKUU wa Mikoa, Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri nchini wametakiwa kuhakikisha takataka zote zilizolundikwa wakati wa kazi ya usafi iliyofanyika Desemba 9, nchini kote zinaondolewa.
11 years ago
Tanzania Daima08 Jul
Sumbawanga yaelemewa na taka ngumu
HALMASHAURI ya Manispaa ya Sumbawanga imezidiwa na mzigo wa uzoaji wa taka ngumu kutoka eneo lililotengwa kwa ajili ya kukusanyia kutokana na uzalishaji wake kuwa mkubwa kuliko ilivyotarajiwa. Hali hiyo...
11 years ago
Tanzania Daima11 May
‘Tanzania haina dampo la taka ngumu’
TANZANIA haina dampo la kutekeleza taka ngumu zenye sumu, bunge lilielezwa jana. Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Ummi Mwalimu, alipokuwa akijibu...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Q_wKBAJLtzQ/Xs9xha8N4WI/AAAAAAALr0M/0S0FRJq7zyQ8LkVZQffQV56rne7YCnccQCLcBGAsYHQ/s72-c/JH7A9039.00_06_09_08.Still010.jpg)
FAHAMU UBUNIFU WA MFUMO WA MAJIMOTO UNAOTUMIA TAKA NGUMU
![](https://1.bp.blogspot.com/-Q_wKBAJLtzQ/Xs9xha8N4WI/AAAAAAALr0M/0S0FRJq7zyQ8LkVZQffQV56rne7YCnccQCLcBGAsYHQ/s640/JH7A9039.00_06_09_08.Still010.jpg)
Mbunifu Jumbe, ambaye ni mhitimu wa siku nyingi wa Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) alikosomea masuala ya bomba na mifumo ya maji anasema alikuwa anafanya kazi hotelini ambako miongoni mwa changamoto alizokuwa anakutana nazo ni kuharibika kwa ‘heater’ jambo...
5 years ago
MichuziHOSPITALI YA RUFAA MWANANYAMALA YAPOKEA KIZIMBA CHA TAKA NGUMU
Nkungu akizungumza na wadau wa maendeleo, leo jijini Dar es salaam katika hafla ya kukabidhiwa Kizimba cha Taka chenye thamani ya zaidi ya milioni 9.ambapo amesema kizimba hicho kitasaidia kuzuia ifections.
Mchechu kulia akizungumza na Michuzi Tv katika hafla ya kukabidhi Kizimba cha Taka ambapo amesema ujenzi wa kizimba hicho umegharimu zaidi ya milioni
9.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-4NL_dcSzy8Q/XsKXmz2ViBI/AAAAAAALqsE/UPF4jhrn1VUamllTCq79shY-JdnJTtGxgCLcBGAsYHQ/s72-c/3.1.jpg)
COSTECH yamwezesha Mbunifu wa matofali yanayotengenezwa kwa kutumia taka ngumu
Takwimu kutoka kampuni in inayojihusisha na mikopo ya Nyumba Tanzania (TMRC) zinaonyesha kuwa Tanzania ina upungufu wa nyumba milioni tatu. Takwimu hizo pia zinaonyesha kuwa nchini Tanzania kila mwaka kuna ongezeko la mahitaji ya nyumba 200,000. Sababukubwa za ongezeko la mahitaji ya nyumba nchini ni pamoja na gharama kubwa ya vifaa vya ujenzi.Gharama kubwa ya vifaa vya ujenzi inasababisha wananchi wengi kuishi kwenye nyumba zisizo bora kwani hujenga nyumba zao kwa kutumia vifaa...