Halmashauri ya Manispaa Singida yapewa msaada wa zaidi ya Mil 250 kwa ajili ya malori ya taka ngumu
Kijiko mali ya manispaa ya Singida kilichonunuliwa kwa shilingi 110 milioni,kikipakia taka ngumu kutoka kwenye dampo la soko la vitunguu mjini hapa jana.Picha na Nathaniel Limu
Na Nathaniel Limu
Serikali kuu imeipatia msaada halmashauri ya manispaa ya Singida, kijiko na malori mawili makubwa vyote vikiwa na thamani ya zaidi ya shilingi 250 milioni,kwa ajili ya uzoaji wa taka ngumu.
Hayo yamesemwa juzi na mkurugenzi wa manispaa ya Singida, Joseph Mchina, wakati akizingumza na waandishi wa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog20 May
Wakazi wa manispaa ya Singida walalamikia uongozi kushindwa kuzoa taka ngumu
Baadhi ya maghuba yaliyopo katika Manispaa ya Singida yakiwa yamefurika taka ngumu kwa muda mrefu sasa kama ambavyo Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Bwana Joseph Mchina alivyokiri katika maelezo yake kushindwa kuzoa kutokana na magari ya kuzolea taka kuchelewa kufika.(Picha zote na Jumbe Ismailly).
Na Jumbe Ismailly, Singida
WAKAZI wa Halmashauri ya Manispaa ya Singida wameulalakia uongozi wa Manispaa hiyo kwa kushindwa kuzoa taka kwenye maghuba ya kukusanyia taka ngumu zinazokusanywa...
11 years ago
Dewji Blog23 Apr
Halmashauri Mkoa na Manispaa Singida zadaiwa zaidi shilingi 6.3 bilioni na wakandarasi
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Mizengo Pinda.
Na Nathaniel Limu, Singida
SEKRETARIETI ya Mkoa na Halmashauri za wilaya na manispaa mkoani Singida zinadaiwa na wakandarasi,wazabuni na watumishi wa umma zaidi ya shilingi 6.3 bilioni hadi novemba mwaka jana.
Madeni hayo yameainishwa kwenye taarifa ya madeni ya mkoa wa Singida iliyotolewa mbele ya kikao cha kamati ya ushauri wa mkoa (RCC) kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa chuo cha VETA mjini Singida.
Taarifa hiyo...
10 years ago
Dewji Blog05 Mar
Ukosefu wa fedha wasababisha taka kulundikana Manispaa ya Singida
Dampo la taka katika kituo kidogo cha mabasi cha Msufini katika mji wa Singida.(Picha zote na Nathaniel Limu)
Na Nathaniel Limu, Singida
WAKAZI wanaoishi katika Manispaa ya Singida wapo hatarini kuambukizwa magonjwa mbalimbali kutokana na Manispaa hiyo kushindwa kuzoa taka ngumu zilizopo kwenye maghuba yaliyotengwa kwa ajili ya kukusanyia taka hizo.
Wananchi hao, Mariamu Juma, Tatu Madai na Salma Marco walifafanua kwamba imekuwa ni kawaida kwa Manispaa hiyo kutozoa takataka...
10 years ago
Dewji Blog22 Oct
Chuo Kikuu Ardhi kutatua tatizo la udhibiti wa maji taka na taka ngumu
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ardhi Prof. Idrissa Mshoro akiwaeleza waandishi wa habari (Hawapo pichani) kuhusu mpango wa chuo hicho wa kuendelea na jitihada za kutatua tatizo la udhibiti wa maji taka na tanga ngumu ikiwemo ujengaji wa miundombinu ya majaribio ya teknolojia za kibiolojia zinazobadili tanga ngumu au maji taka ambayo huzalishwa majumbani kuwa mboji na gesi asili ya kupikia, wakati wa mkutano na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Naibu Makamu Mkuu wa Chuo...
9 years ago
Dewji Blog24 Dec
Zaidi ya Mil 60 zilizotengwa kwa sherehe za miaka 50 ya Mkoa wa Singida kutumia kununulia vifaa tiba
![IMG_1426](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/12/IMG_1426.jpg)
![IMG_1439](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/12/IMG_1439.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-4NL_dcSzy8Q/XsKXmz2ViBI/AAAAAAALqsE/UPF4jhrn1VUamllTCq79shY-JdnJTtGxgCLcBGAsYHQ/s72-c/3.1.jpg)
COSTECH yamwezesha Mbunifu wa matofali yanayotengenezwa kwa kutumia taka ngumu
Takwimu kutoka kampuni in inayojihusisha na mikopo ya Nyumba Tanzania (TMRC) zinaonyesha kuwa Tanzania ina upungufu wa nyumba milioni tatu. Takwimu hizo pia zinaonyesha kuwa nchini Tanzania kila mwaka kuna ongezeko la mahitaji ya nyumba 200,000. Sababukubwa za ongezeko la mahitaji ya nyumba nchini ni pamoja na gharama kubwa ya vifaa vya ujenzi.Gharama kubwa ya vifaa vya ujenzi inasababisha wananchi wengi kuishi kwenye nyumba zisizo bora kwani hujenga nyumba zao kwa kutumia vifaa...
11 years ago
Dewji Blog24 Jul
Halmashauri ya manispaa ya Singida yaweka taa kandokanodo ya barabara zake kuimarisha ulinzi
Halmashauri ya manispaa ya Singida, yaweka taa kando kando ya barabara zake katika kuimarisha ulinzi na kupendezesha mji.
Taa hizo ambazo katika awamu ya kwanza zimewekwa kwenye barabara ya Arusha inayoanzia Bomani hadi nyumba za kulala ya Victoria karibu na Mwenge sekondari na ile ya Karume Arusha, zote zikiwa na urefu wa kilometa 2.720.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu, Singida
Halmashauri ya manispaa ya Singida, imeweka taa kando kando ya barabara zake za mjini Singida zenye...
11 years ago
GPLTBL YATOA MSAADA WA VIFAA VYA USAFI WA MAZINGIRA VYA SH MIL 15 MANISPAA YA ILALA