Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukosefu wa fedha wasababisha taka kulundikana Manispaa ya Singida

DSC04254

Dampo la taka katika kituo kidogo cha mabasi cha Msufini katika mji wa Singida.(Picha zote na Nathaniel Limu)

DSC04256

 

Na Nathaniel Limu, Singida

WAKAZI wanaoishi katika Manispaa ya Singida wapo hatarini kuambukizwa magonjwa mbalimbali kutokana na Manispaa hiyo kushindwa kuzoa taka ngumu zilizopo kwenye maghuba yaliyotengwa kwa ajili ya kukusanyia taka hizo.

Wananchi hao, Mariamu Juma, Tatu Madai na Salma Marco walifafanua kwamba imekuwa ni kawaida kwa Manispaa hiyo kutozoa takataka...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Wakazi wa manispaa ya Singida walalamikia uongozi kushindwa kuzoa taka ngumu

SAM_1999

Baadhi ya maghuba yaliyopo katika Manispaa ya Singida yakiwa yamefurika taka ngumu kwa muda mrefu sasa kama ambavyo Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Bwana Joseph Mchina alivyokiri katika maelezo yake kushindwa kuzoa kutokana na magari ya kuzolea taka kuchelewa kufika.(Picha zote na Jumbe Ismailly).

SAM_2002_1

 

Na Jumbe Ismailly, Singida      

WAKAZI wa Halmashauri ya Manispaa ya Singida wameulalakia uongozi wa Manispaa hiyo kwa kushindwa kuzoa taka kwenye maghuba ya kukusanyia taka ngumu zinazokusanywa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Halmashauri ya Manispaa Singida yapewa msaada wa zaidi ya Mil 250 kwa ajili ya malori ya taka ngumu

DSC06161Kijiko mali ya manispaa ya Singida kilichonunuliwa kwa shilingi 110 milioni,kikipakia taka ngumu kutoka kwenye dampo la soko la vitunguu mjini hapa jana.Picha na Nathaniel Limu

Na Nathaniel Limu

Serikali kuu imeipatia msaada  halmashauri ya manispaa ya Singida, kijiko na malori mawili makubwa vyote vikiwa na thamani ya zaidi ya shilingi 250 milioni,kwa ajili ya uzoaji wa taka ngumu.

Hayo yamesemwa juzi  na mkurugenzi wa manispaa ya Singida, Joseph Mchina, wakati akizingumza na waandishi wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mbunge wa viti maalum mkoa wa Singida, Mlata ashiriki zoezi la usafi Manispaa ya Singida

IMG_1128

Mbunge wa viti maalum mkoa wa Singida, Martha Mosses Mlata, akishiriki kutekeleza agizo ya rais Dk. John Pombe Magufuli la Watanzania wote kufanya usafi katika maeneo yao, kama sehemu ya maadhimisho ya sherehe za Uhuru kutimiza miaka 54, kwa kufanya usafi kwenye chuo cha wasioona cha mjini hapa. Pamoja na kufanya usafi chuoni hapo, Mlata alitoa msaada wa vifaa mbalimbali ikiwemo viti vya plastiki 150.Thamani ya msaada huo, ni zaidi ya shilingi 6.3  milioni. IMG_1124 IMG_1132 IMG_1142 Mbunge wa viti maalum...

 

10 years ago

Mwananchi

Wakimbizi hatarini kisa, ukosefu wa fedha

>Shirika la Umoja wa Mataifa  linalohudumia Wakimbizi ( UNHCR) linakabiliwa na upungufu mkubwa wa rasilimali fedha kiasi cha kuathiri utoaji wa misaada ya kibinadamu kwa wakimbizi  wanaoendelea kuongezeka kila  mwaka.

 

9 years ago

Habarileo

Ukosefu wa fedha waathiri Hospitali ya Mkoa Dodoma

HOSPITALI ya Rufaa ya mkoa wa Dodoma inakabiliwa na changamoto kubwa ya kifedha, hali iliyosababisha kushindwa kukamilika kwa ujenzi wa baadhi ya miundombinu hospitalini hapo yakiwemo majengo.

 

10 years ago

Dewji Blog

Manispaa ya Singida kukusanya bil 32.2/-

DSC03680

Mstahiki meya wa manispaa ya Singida, Sheikh Salum Mahami, akifunga kikao maalum kilichopitisha mapendekezo ya bajeti ya zaidi ya shilingi 32.2 bilioni kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa kanisa katoliki mjini hapa.Wa kwanza kulia ni Mkurugenzi wa manispaa ya Singida, Joseph Mchina na kushoto ni makamu meya manispaa ya Singida, Hassan Mkata.(Picha zote na Nathaniel Limu).

Na Nathaniel Limu, Singida

HALMASHAURI ya manispaa ya Singida, inatarajia kukusanya mapato  kutoka...

 

5 years ago

Michuzi

MJADALA WAIBUKA TENA BUNGE LA EALA UKOSEFU WA FEDHA ZA KUTOSHA KUENDESHA JUMUIYA EAC


Mbunge wa bunge hilo George Odongo akiongea na wanahabari nje ya bunge.

Na Ahmed Mahmoud Arusha 
Wabunge wa bunge la Afrika mashariki wameibua tena mjadala wa tatizo la ukosefu wa fedha za kutosha kutekeleza majukumu ya kila siku ya jumuiya na kuliomba Baraza la mawaziri kuona uwezekano wa kulipatia ufumbuzi wa kudumu tatizo hilo. 
Akiongea wakati akichangia mjadala wa ripoti ya ukaguzi fedha hilo Mbunge wa EALA Mariamu Ussi alisema kuwa suala hilo ni changamoto ambayo inahitaji kupatiwa...

 

5 years ago

Michuzi

CWT MANISPAA YA SINGIDA CHAPATA VIONGOZI WAPYA

Mwenyekiti Mpya wa Chama cha Walimu (CWT ) Manispaa ya Singida, Hamis Mtundua, akizungumza na waandishi wa habari baada ya kutangazwa mshindi wa nafasi hiyo.Mwenyekiti  wa Chama cha Walimu (CWT ) Manispaa ya Singida, Kitengo (KE), Yasinta Makiya, akizungumza na waandishi wa habari baada ya kutangazwa mshindi wa nafasi hiyo.
Wajumbe wa mkutano mkuu wa CWT ndani ya Manispaa ya Singida wilayani hapa wakiwa kwenye mkutano huo.Baadhi ya viongozi wapya wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Manispaa ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani