Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Manispaa ya Singida kukusanya bil 32.2/-

DSC03680

Mstahiki meya wa manispaa ya Singida, Sheikh Salum Mahami, akifunga kikao maalum kilichopitisha mapendekezo ya bajeti ya zaidi ya shilingi 32.2 bilioni kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa kanisa katoliki mjini hapa.Wa kwanza kulia ni Mkurugenzi wa manispaa ya Singida, Joseph Mchina na kushoto ni makamu meya manispaa ya Singida, Hassan Mkata.(Picha zote na Nathaniel Limu).

Na Nathaniel Limu, Singida

HALMASHAURI ya manispaa ya Singida, inatarajia kukusanya mapato  kutoka...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Manispaa Morogoro yatarajia kukusanya Sh. Bil 5.3 2015/2016.

Na Kasilda Mgeni Mulimila,

Morogoro.

Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro inatarajia kukusanya zaidi ya shilingi bilioni 5 kutoka kwenye vyanzo vyake ya mapato ya ndani katika mwaka wa fedha 2015/2016 ikiwa ni ongezeko la asilimia 13.3 ya makadirio ya mwaka 2014/2015.

 

Kwa mwaka wa fedha 2014/2015, halmashauri ya Manispaa ya Morogoro ilikusanya shilingi Bilioni 4.7 kutoka kwenye vyanzo yake vya ndani.

 

Ongezeko la mapato kwa mwaka wa fedha 2015/2016 linatokana na uboreshwaji wa ukusanyaji...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tanica kukusanya bil. 6.5/-

 KIWANDA cha kuzalisha kahawa cha Tanganyika Instant Coffee (Tanica) mkoani Kagera kinakusudia kukusanya sh bilioni 6.5 kutokana na mauzo ya kahawa ya unga na ya kukaanga kati ya Mei mwaka...

 

10 years ago

Mwananchi

Iringa yajipanga kukusanya Sh37.9 bil

Halmashauri ya Manispaa ya Iringa imepitisha zaidi ya Sh37.9 bilioni ikiwa ni makadirio ya matumizi ya mwaka 2015/16, kiasi hicho kikiwa ni ongezeko la Sh9.7 bilioni ya bajeti ya mwaka 2014/15.

 

9 years ago

Dewji Blog

Mbunge wa viti maalum mkoa wa Singida, Mlata ashiriki zoezi la usafi Manispaa ya Singida

IMG_1128

Mbunge wa viti maalum mkoa wa Singida, Martha Mosses Mlata, akishiriki kutekeleza agizo ya rais Dk. John Pombe Magufuli la Watanzania wote kufanya usafi katika maeneo yao, kama sehemu ya maadhimisho ya sherehe za Uhuru kutimiza miaka 54, kwa kufanya usafi kwenye chuo cha wasioona cha mjini hapa. Pamoja na kufanya usafi chuoni hapo, Mlata alitoa msaada wa vifaa mbalimbali ikiwemo viti vya plastiki 150.Thamani ya msaada huo, ni zaidi ya shilingi 6.3  milioni. IMG_1124 IMG_1132 IMG_1142 Mbunge wa viti maalum...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tume “Operesheni Tokomeza” kukusanya maoni Mikoa ya Arusha, Manyara, Tabora, Singida na Dodoma, Januari, 2015

IMG_4793

Katibu wa Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza, Bw.Frederick Manyanda.

Na. Mwandishi Wetu

Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza itakusanya taarifa na kupokea malalamiko yaliyotokana na utekelezaji wa Operesheni Tokomeza Ujangili Nchini mikoa ya Mikoa ya Arusha, Manyara, Tabora, Singida na Dodoma.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa tarehe  24 Desemba, 2014 na Katibu wa Tume hiyo, Bw.Frederick Manyanda, Tume inatarajiwa kuendelea na zoezi la kukusanya maoni na taarifa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Singida yatenga bajeti bil. 31/-

HALMASHAURI ya Manispaa ya Singida, inatarajia kutumia sh bilioni 31.7 katika bajeti yake ya mwaka wa fedha wa 2014/2015. Kaimu Mkurugenzi wa manispaa hiyo, Deus Luziga, alibainsha hayo alipokuwa akitoa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Singida watumia Bil 1.5/- kutengeneza ya madaraja

DSC02592

Kaimu meneja TANROADS mkoa wa Singida, Eng.Leonard Kapongo, akitoa ufafanuzi juu ya matengenezo ya barabara za ngazi ya mkoa, kwenye kikao cha 37 cha bodi ya barabara kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Social Training Centre mjini Singida.(Picha na Nathaniel Limu).

Na Nathaniel Limu, Singida

WAKALA wa barabara (TANROADS) mkoani Singida, umetumia zaidi ya shilingi 1.5 biloni kugharamia matengenezo makubwa na madogo ya madaraja ya barabara kuu na za mkoa kwa kipindi cha Aprili hadi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Halmashauri ya Singida yakusanya mapato ya sh bil 11/-

DSC05520

Makamu mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Singida vijijini, Elia Digha, akitoa taarifa ya mapato na matumizi kwa kipindi cha kuanzia Julai mwaka jana hadi Machi 30 mwaka huu mbele ya kikao cha kawaiada cha madiwani. Digha alisema kuwa halmashauri hiyo ilikusanya zaidi yashilingi bilioni 11.4 ikiwa ni sawa na asilimia 49 ya  lengo la kukusanya zaidi ya shilingi bilioni 22.1.

DSC05514

Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Singida vijijini, Iddi Mnyampanda, akizungumza kwenye ufunguzi wa kikao...

 

5 years ago

Michuzi

CWT MANISPAA YA SINGIDA CHAPATA VIONGOZI WAPYA

Mwenyekiti Mpya wa Chama cha Walimu (CWT ) Manispaa ya Singida, Hamis Mtundua, akizungumza na waandishi wa habari baada ya kutangazwa mshindi wa nafasi hiyo.Mwenyekiti  wa Chama cha Walimu (CWT ) Manispaa ya Singida, Kitengo (KE), Yasinta Makiya, akizungumza na waandishi wa habari baada ya kutangazwa mshindi wa nafasi hiyo.
Wajumbe wa mkutano mkuu wa CWT ndani ya Manispaa ya Singida wilayani hapa wakiwa kwenye mkutano huo.Baadhi ya viongozi wapya wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Manispaa ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani