Tanica kukusanya bil. 6.5/-
KIWANDA cha kuzalisha kahawa cha Tanganyika Instant Coffee (Tanica) mkoani Kagera kinakusudia kukusanya sh bilioni 6.5 kutokana na mauzo ya kahawa ya unga na ya kukaanga kati ya Mei mwaka...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog31 Jan
Manispaa ya Singida kukusanya bil 32.2/-
Na Nathaniel Limu, Singida
HALMASHAURI ya manispaa ya Singida, inatarajia kukusanya mapato kutoka...
10 years ago
Mwananchi18 Feb
Iringa yajipanga kukusanya Sh37.9 bil
10 years ago
StarTV13 Feb
Manispaa Morogoro yatarajia kukusanya Sh. Bil 5.3 2015/2016.
Na Kasilda Mgeni Mulimila,
Morogoro.
Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro inatarajia kukusanya zaidi ya shilingi bilioni 5 kutoka kwenye vyanzo vyake ya mapato ya ndani katika mwaka wa fedha 2015/2016 ikiwa ni ongezeko la asilimia 13.3 ya makadirio ya mwaka 2014/2015.
Kwa mwaka wa fedha 2014/2015, halmashauri ya Manispaa ya Morogoro ilikusanya shilingi Bilioni 4.7 kutoka kwenye vyanzo yake vya ndani.
Ongezeko la mapato kwa mwaka wa fedha 2015/2016 linatokana na uboreshwaji wa ukusanyaji...
5 years ago
CCM BlogWAZIRI BITEKO:SEKTA YA MADINI YAONGOZA KWA UKUAJI NCHINI. MAKUSANYO YAPAA KUTOKA BIL. 39 HADI BIL.58 APRILI
Nuru Mwasampeta na Tito Mselem,WM- Dodoma
WAZIRI wa Madini, Doto Biteko amesema ukuaji na mchango wa Sekta ya Madini kwenye pato la taifa unakua kwa kasi na kuwa mwaka 2019 mchango huo umeongezeka na kufikia asilimia 17.7 kutoka ukuaji wa asilimia 1.5 kwa mwaka 2018.
Amesema, kwa ukuaji huo sekta ya madini imeongoza sekta zote kwa ukuaji ikifuatiwa na sekta ya ujenzi ikiwa na ukuaji wa asilimia 14.1.
Ameongeza kuwa, wizara yake imekuwa ikikusanya kiasi cha wastani wa shilingi bilioni 39 kwa...
10 years ago
Habarileo13 Mar
Gairo kukusanya bilioni 17/-
HALMASHAURI ya wilaya ya Gairo inatarajia kukusanya Sh bilioni 18.6 kutoka katika vyanzo mbalimbali vikiwemo mapato ya ndani katika kipindi cha bajeti ya mwaka wa fedha 2015/16.
11 years ago
Mwananchi07 Jan
Kilombero kukusanya 48 bilioni
10 years ago
Habarileo19 Nov
TRA yashindwa kukusanya bilioni 40/-
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani Mwanza imeshindwa kufikia malengo yake ya kukusanya mapato Sh bilioni 40 katika kipindi cha Julai hadi Oktoba, mwaka huu kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo za ukwepaji kodi.
10 years ago
Habarileo24 Aug
Tunduru wahimizwa kukusanya maduhuli ya serikali
OFISI ya Madini wilayani Tunduru mkoani Ruvuma, imetakiwa kutozembea na kusimamia ipasavyo ukusanyaji wa maduhuli na ulipwaji wa mirahaba, kwa kuwa sasa ofisi hiyo haijakusanya maduhuli hayo kwa kiwango cha kuridhisha.
11 years ago
Tanzania Daima17 Jan
TCCIA kukusanya maoni ada za leseni
CHAMA cha Wafanyabiashara, Wenye viwanda na Kilimo (TCCIA) kimezindua utaratibu wa kukusanya maoni ya wafanyabiashara kuhusiana na athari za urejeshwaji wa ada ya leseni za biashara. Akizungumza jijini Dar es...