Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Manispaa Morogoro yatarajia kukusanya Sh. Bil 5.3 2015/2016.

Na Kasilda Mgeni Mulimila,

Morogoro.

Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro inatarajia kukusanya zaidi ya shilingi bilioni 5 kutoka kwenye vyanzo vyake ya mapato ya ndani katika mwaka wa fedha 2015/2016 ikiwa ni ongezeko la asilimia 13.3 ya makadirio ya mwaka 2014/2015.

 

Kwa mwaka wa fedha 2014/2015, halmashauri ya Manispaa ya Morogoro ilikusanya shilingi Bilioni 4.7 kutoka kwenye vyanzo yake vya ndani.

 

Ongezeko la mapato kwa mwaka wa fedha 2015/2016 linatokana na uboreshwaji wa ukusanyaji...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Manispaa ya Singida kukusanya bil 32.2/-

DSC03680

Mstahiki meya wa manispaa ya Singida, Sheikh Salum Mahami, akifunga kikao maalum kilichopitisha mapendekezo ya bajeti ya zaidi ya shilingi 32.2 bilioni kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa kanisa katoliki mjini hapa.Wa kwanza kulia ni Mkurugenzi wa manispaa ya Singida, Joseph Mchina na kushoto ni makamu meya manispaa ya Singida, Hassan Mkata.(Picha zote na Nathaniel Limu).

Na Nathaniel Limu, Singida

HALMASHAURI ya manispaa ya Singida, inatarajia kukusanya mapato  kutoka...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tanica kukusanya bil. 6.5/-

 KIWANDA cha kuzalisha kahawa cha Tanganyika Instant Coffee (Tanica) mkoani Kagera kinakusudia kukusanya sh bilioni 6.5 kutokana na mauzo ya kahawa ya unga na ya kukaanga kati ya Mei mwaka...

 

10 years ago

Mwananchi

Iringa yajipanga kukusanya Sh37.9 bil

Halmashauri ya Manispaa ya Iringa imepitisha zaidi ya Sh37.9 bilioni ikiwa ni makadirio ya matumizi ya mwaka 2015/16, kiasi hicho kikiwa ni ongezeko la Sh9.7 bilioni ya bajeti ya mwaka 2014/15.

 

9 years ago

Mtanzania

Minaj apanga kukusanya tuzo 2016

nicki-minajNEW YORK, MAREKANI

MSANII wa muziki wa hip hop nchini Marekani, Nicki Minaj, amesema kuwa mwaka 2016 atahakikisha anajikusanyia tuzo mbalimbali.

Mwanadada huyo ambaye bado anatamba na wimbo wake wa ‘Right to my side’, amesema mwaka huu amechukua tuzo mbalimbali lakini 2016 atahakikisha anaongeza idadi ya tuzo.

“Tunaumaliza mwaka 2015, nimefanikiwa kuchukua tuzo mbalimbali na sasa nimejipanga kwa ajili ya mwaka 2016 ambapo nitahakikisha najikusanyia tuzo nyingi zaidi ya 2015.

“Maandalizi...

 

10 years ago

Vijimambo

KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI KIKAO CHA BAJETI YA SHIRIKA LA MAGEREZA KWA MWAKA 2015/2016 LEO MKOANI MOROGORO

  Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw. Mbarak Abdulwakil(suti nyeusi) akisalimiana na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja mara baada ya kuwasili leo Mei 25, 2015 katika Ukumbi wa Mikutano wa Edema, Mkoani Morogoro kwa ajili ya ufunguzi wa Kikao cha Bajeti ya Shirika la Magereza kwa Mwaka 2015/2016(wa pili kulia) ni Kamishna wa Huduma za Urekebishaji, Deonice Chamulesile.Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja akitoa maelezo mafupi kabla ya...

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI WASHIRIKI KIKAO KAZI CHA UTAYARISHAJI WA MPANGO WA MANUNUZI WA WIZARA WA MWAKA 2015/2016 MJINI MOROGORO

 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Mwamini Malemi wa nne kutoka kulia  akiwa pamoja na Wakuu wa Taasisi zote za Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi waliohudhuria Kikao Kazi cha Utayarishaji wa Mpango wa Manunuzi wa wizara wa mwaka 2015/2016 kilichoanza leo katika hoteli ya Oasis mjini Morogoro, watatu kutoka kushoto ni Kamishna wa Lojistiki na Fedha wa Jeshi la Polisi Clodwig Mtweve, wa pili kushoto ni Kamishna wa Fedha wa Jeshi la Magereza Sanga, waliosimama nyuma ni baadhi...

 

9 years ago

Dewji Blog

Miss Tanzania USA 2015-2016 Aeesha Kamara ashinda kuwa Cover Girl kwenye kalenda ya Miss Africa USA 2015-2016

Miss Tanzania USA 2015-2016 Aeesha Kamara (kushoto) akiibuka mshindi na kuwa Cover Girl kwenye Kalenda ya Miss Africa USA 2015-2016 shindano ililofanyika New York siku ya Jumamosi Novemba 28, 2015.

Mamiss wengine walioshiriki shindano hilo wakipita mbele ya majaji.

Wadau wakipata picha na mamiss wakati mratibu wa mashindano ya miss Africa Lady Kate alipokua akitangaza shindi.

Ma Winny Casey (gauni jeusi) pamoja na Lady Kate (mwenye miwani) wakiwa na mamiss.

 

11 years ago

Michuzi

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI YATARAJIA KUTUMIA SHILINGI BILIONI 955.934 KATIKA MWAKA WA FEDHA 2014/2015

Waziri wa Mambo ya Ndani yaNchi, Mathias Chikawe akizungumza na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa wizara hiyo katika Kikao cha Pili cha Baraza hilo kilichofanyika Giraffe Hotel jijini Dar es Salaam leo. Katika kikao hicho, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imependekeza kutumia Shilingi Bilioni 955.934 katika Mwaka wa Fedha 2014/2015. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Sehemu ya wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakimsikiliza kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

RFE yasaidia makundi Morogoro kwa bil. 36/-

MFUKO wa Ufadhili wa Ukimwi (RFE), umetumia kiasi cha sh bilioni 36 kusaidia watoto yatima, wanaoishi na virusi na watu wanaotumia miili yao kibiashara. Mwenyekiti wa Kamati ya Usimamizi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani