Halmashauri ya Singida yakusanya mapato ya sh bil 11/-
Makamu mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Singida vijijini, Elia Digha, akitoa taarifa ya mapato na matumizi kwa kipindi cha kuanzia Julai mwaka jana hadi Machi 30 mwaka huu mbele ya kikao cha kawaiada cha madiwani. Digha alisema kuwa halmashauri hiyo ilikusanya zaidi yashilingi bilioni 11.4 ikiwa ni sawa na asilimia 49 ya lengo la kukusanya zaidi ya shilingi bilioni 22.1.
Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Singida vijijini, Iddi Mnyampanda, akizungumza kwenye ufunguzi wa kikao...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog29 Oct
Halmashauri ya Ikungi yakusanya zaidi ya shilingi billion 2 ndani ya miezi 3 kutoka vyanzo mbalimbali vya mapato
Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida, Celestine Yunde, akizungumza kwenye kikao cha kawaida cha baraza la madiwani.Kulia ni makwamu mwenyekiti, Ali Mwanga na wa kwanza kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Ikungi,Hassan Tanti na anayefuatia ni Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri wilaya Ikungi, Mahammud Nkya.
Na Nathaniel Limu, Ikungi
HALMASHAURI ya wilaya ya Ikungi mkoani Singida, imekusanya mapato ya zaidi ya shilingi 2.9 bilioni kutoka vyanzo vyake mbalimbali vya...
11 years ago
Tanzania Daima27 Feb
PSPF yakusanya bil. 516/-
MFUKO wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) umepata mafanikio kwa mwaka wa fedha 2013 kwa kukusanya sh bilioni 516.5. Akizungumzia utendaji wa mfuko huo katika mkutano mkuu wa tatu...
10 years ago
Habarileo11 Oct
Harambee ya Amref yakusanya bil. 1.9/-
HARAMBEE ya mfuko wa kampeni ya ‘Jitolee kwa ajili ya akina mama wa Afrika’, iliyoongozwa na Makamu wa Rais Dk Mohammed Gharib Bilal juzi, imewezeshakupatikanaSh bilioni 1.9, ikiwa ni zaidi ya lengo la Sh bilioni moja lililowekwa na Shirika linalojihusisha na masuala ya afya la Amref.
10 years ago
Habarileo25 Aug
Taasisi Benjamin Mkapa yakusanya bil. 1/-
TAASISI ya Benjamini Mkapa HIV/AIDS Foundation (BMAF) imekusanya zaidi ya Sh bilioni 1.3 ikiwa ni fedha taslimu pamoja na ahadi katika harambee iliyofanyika jijini hapa kwa ajili ya mradi wa kuimarisha huduma za afya.
5 years ago
CCM BlogSINGIDA YAADHIMISHA MIAKA 43 YA CCM KWA KISHINDO, YATOA MSIMAMO ENEO LINASTAHILI KUJENGWA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA SINGIDA VIJIJINI
Na Godwin Myovela, Singida
Baada ya mvutano mkubwa ambao umekuwepo baina ya madiwani, viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na viongozi wa Serikali kuhusu...
11 years ago
Habarileo29 Mar
Halmashauri zatakiwa kuongeza mapato
MKUU wa Mkoa wa Kusini Unguja, Dk Idrissa Muslim Hija amewataka watendaji wa Serikali ya Mkoa wa Kusini, ikiwemo Halmashauri za miji, kuongeza mapato kwa ajili ya kutekeleza miradi waliyojipangia.
11 years ago
Mwananchi27 Mar
Mkenya atuhumiwa kuikosesha mapato TCRA Sh6.8 bil
11 years ago
Tanzania Daima26 Dec
‘Halmashauri ziondoe usiri kwenye mapato’
HALMASHAURI za wilaya nchini na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) zimetakiwa kuondoa usiri kwenye mapato wanayokusanya hasa katika kodi za majengo. Wito huo ulitolewa mjini hapa juzi na Makamu Mwenyekiti...
10 years ago
Tanzania Daima04 Nov
Halmashauri yakosa mapato ushuru wa mabasi
BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Igunga, mkoani Tabora, limeiagiza halmashauri hiyo kuanza kukusanya ushuru wa mapato ya mabasi ya abiria. Hatua hiyo inakuja baada ya halmashauri hiyo...