Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Halmashauri ya Ikungi yakusanya zaidi ya shilingi billion 2 ndani ya miezi 3 kutoka vyanzo mbalimbali vya mapato

DSC01586

Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida, Celestine Yunde, akizungumza kwenye kikao cha kawaida cha baraza la madiwani.Kulia ni makwamu mwenyekiti, Ali Mwanga na wa kwanza kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Ikungi,Hassan Tanti na anayefuatia ni Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri wilaya Ikungi, Mahammud Nkya.

Na Nathaniel Limu, Ikungi

HALMASHAURI ya wilaya ya Ikungi mkoani Singida, imekusanya mapato ya zaidi ya shilingi 2.9 bilioni kutoka vyanzo vyake mbalimbali vya...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

HALMASHAURI NCHINI ZATAKIWA KUBUNI VYANZO ZAIDI VYA MAPATO YA NDANI

 Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa(UN)Alvaro Rodriguez ambaye alikua mgeni rasmi katika Kongamano la upatikanaji wa fedha za ndani za maendeleo akitoa hotuba yake kwa washiriki  kutoka Halmashauri za wilaya nchini lililofanyika leo jijini Arusha. Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa(UN)Alvaro Rodriguez ambaye alikua mgeni rasmi katika Kongamano la upatikanaji wa fedha za ndani za maendeleo akitoa hotuba yake kwa washiriki  kutoka Halmashauri za wilaya nchini lililofanyika leo jijini...

 

10 years ago

Dewji Blog

Halmashauri ya Singida yakusanya mapato ya sh bil 11/-

DSC05520

Makamu mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Singida vijijini, Elia Digha, akitoa taarifa ya mapato na matumizi kwa kipindi cha kuanzia Julai mwaka jana hadi Machi 30 mwaka huu mbele ya kikao cha kawaiada cha madiwani. Digha alisema kuwa halmashauri hiyo ilikusanya zaidi yashilingi bilioni 11.4 ikiwa ni sawa na asilimia 49 ya  lengo la kukusanya zaidi ya shilingi bilioni 22.1.

DSC05514

Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Singida vijijini, Iddi Mnyampanda, akizungumza kwenye ufunguzi wa kikao...

 

11 years ago

GPL

MANISPAA YA KINONDONI YANUNUA MAGARI MAPYA 10 YENYE THAMANI YA MIL 779 KWA KUTUMIA VYANZO VYA MAPATO YA NDANI‏

Magari mapya aina ya Toyota yakiwa Manispaa ya Kinondoni mara baada ya kukabidhiwa hapo jana. Mwonekano wa moja ya gari mpya zilizonunuliwa na Manispaa ya Kinondoni.…

 

10 years ago

Habarileo

Serikali za mitaa watakiwa kubuni vyanzo vya mapato

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, TAMISEMI, Hawa Ghasia WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Hawa Ghasia amezitaka serikali za mitaa kuongeza mapato katika halmashauri zake ili zikue kiuchumi na kimaendeleo.

 

9 years ago

Michuzi

WATENDAJI WA SEKTA YA AFYA WATAKIWA KUBUNI VYANZO VYA MAPATO

Na Beatrice Lyimo – Maelezo  SERIKALI imewataka Serikali imetoa  changamoto kwa watendaji wote  afya  wa halmashauri ,mikoa wilaya kuhakikisha wanabuni mbinu mpya na  kuongeza vyanzo vya mapato ili kuweza kuendelea kuboresha huduma za sekta ya afya nchini.Aidha Serikali pia imewataka watendaji wa Idara ya Ustawi wa Jamii, kujumuisha suala la kutatua tatizo la watoto yatima kwa kuweka  katika mipango  ya sekta hiyo. Kauli hiyo imetolewa jana jioni na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa...

 

10 years ago

Habarileo

Nagu aagiza TIC kuanzisha vyanzo vingine vya mapato

Dk Mary NaguWAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji), Dk Mary Nagu amekitaka Kituo cha Uwekezaji (TIC) kuanzisha vyanzo vingine vya mapato ili kiweze kutekeleza miradi yake kwa wakati bila kutegemea bajeti ya serikali.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wagombea urais waweke wazi vyanzo vya mapato yao

WANASIASA wanaogombea nafasi za juu za uongozi katika nchi zao, ukiwamo urais, kote duniani hupaswa kufanya maandalizi mengi kabla ya kufikia uamuzi huo. Miongoni mwa maandalizi hayo, kubwa zaidi ni...

 

5 years ago

Michuzi

JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI YASHAURIWA KUBUNI VYANZO VYA MAPATO

 Woinde Shizza,Michuzi Tv Arusha
Jumuiya  ya Afrika  mashariki imeshauriwa  kubuni vyanzo  vya mapato  vitakavyoiwezesha  kujiendesha  bila  kutegemea  Michango inayotolewa  na  nchi  wanachama  na pia  wafadhiliMjadala  huo  uliibuka  wakati  wabunge wakichanganua ripoti ya  ukaguzi  wa  mahesabu za jumuiya a hiyo baada  ya  mbunge  kutoka Uganda suzan Nakawuki kulieleza Bunge  kuwa kuna haja ya hatua  za kisheria  kuanza  kuchukuliwa  kwa  idara ama watendaji  wasiotimiza wajibu wao...

 

11 years ago

Michuzi

Dk. Kigwangala aitaka TAMISEMI kuwashirikisha Wananchi kubuni Vyanzo vya Mapato

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Dk Hamis Kigwangala amezitaka Sekretarieti za mikoa na halmashauri zote nchini kuhakikisha kwamba inawashirikisha wananchi katika maandalizi ya bajeti kubuni vyanzo vya mapatao.
 Akiwasilisha maoni ya Kamati ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa bungeni leo kuhusu Utekelezaji wa Majukumu ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kwa Mwaka wa Fedha 2013, mwenyekiti wa kamati hiyo, Dk...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani