JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI YASHAURIWA KUBUNI VYANZO VYA MAPATO

Woinde Shizza,Michuzi Tv Arusha
Jumuiya ya Afrika mashariki imeshauriwa kubuni vyanzo vya mapato vitakavyoiwezesha kujiendesha bila kutegemea Michango inayotolewa na nchi wanachama na pia wafadhiliMjadala huo uliibuka wakati wabunge wakichanganua ripoti ya ukaguzi wa mahesabu za jumuiya a hiyo baada ya mbunge kutoka Uganda suzan Nakawuki kulieleza Bunge kuwa kuna haja ya hatua za kisheria kuanza kuchukuliwa kwa idara ama watendaji wasiotimiza wajibu wao...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo10 Apr
Serikali za mitaa watakiwa kubuni vyanzo vya mapato
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Hawa Ghasia amezitaka serikali za mitaa kuongeza mapato katika halmashauri zake ili zikue kiuchumi na kimaendeleo.
10 years ago
Michuzi
WATENDAJI WA SEKTA YA AFYA WATAKIWA KUBUNI VYANZO VYA MAPATO

11 years ago
Michuzi.jpg)
Dk. Kigwangala aitaka TAMISEMI kuwashirikisha Wananchi kubuni Vyanzo vya Mapato
.jpg)
Akiwasilisha maoni ya Kamati ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa bungeni leo kuhusu Utekelezaji wa Majukumu ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kwa Mwaka wa Fedha 2013, mwenyekiti wa kamati hiyo, Dk...
10 years ago
Michuzi
HALMASHAURI NCHINI ZATAKIWA KUBUNI VYANZO ZAIDI VYA MAPATO YA NDANI


10 years ago
MichuziWANAHABARI NA WAMILIKI WA VYOMBO VYA HABARI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA DAR ES SALAAM KUJADILI CHANGAMOTO ZA NCHI ZAO
BOFYA HAPA KUONA PICHA...
10 years ago
Habarileo25 Jan
Nagu aagiza TIC kuanzisha vyanzo vingine vya mapato
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji), Dk Mary Nagu amekitaka Kituo cha Uwekezaji (TIC) kuanzisha vyanzo vingine vya mapato ili kiweze kutekeleza miradi yake kwa wakati bila kutegemea bajeti ya serikali.
11 years ago
Tanzania Daima15 Mar
Wagombea urais waweke wazi vyanzo vya mapato yao
WANASIASA wanaogombea nafasi za juu za uongozi katika nchi zao, ukiwamo urais, kote duniani hupaswa kufanya maandalizi mengi kabla ya kufikia uamuzi huo. Miongoni mwa maandalizi hayo, kubwa zaidi ni...
11 years ago
Dewji Blog29 Oct
Halmashauri ya Ikungi yakusanya zaidi ya shilingi billion 2 ndani ya miezi 3 kutoka vyanzo mbalimbali vya mapato
Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida, Celestine Yunde, akizungumza kwenye kikao cha kawaida cha baraza la madiwani.Kulia ni makwamu mwenyekiti, Ali Mwanga na wa kwanza kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Ikungi,Hassan Tanti na anayefuatia ni Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri wilaya Ikungi, Mahammud Nkya.
Na Nathaniel Limu, Ikungi
HALMASHAURI ya wilaya ya Ikungi mkoani Singida, imekusanya mapato ya zaidi ya shilingi 2.9 bilioni kutoka vyanzo vyake mbalimbali vya...
11 years ago
GPL
MANISPAA YA KINONDONI YANUNUA MAGARI MAPYA 10 YENYE THAMANI YA MIL 779 KWA KUTUMIA VYANZO VYA MAPATO YA NDANI