HALMASHAURI NCHINI ZATAKIWA KUBUNI VYANZO ZAIDI VYA MAPATO YA NDANI
![](http://2.bp.blogspot.com/-ct1TgjtkAmE/VYEjFXsJ_gI/AAAAAAAHgUQ/p5rdz54UzXI/s72-c/CDF%2B1.jpeg)
Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa(UN)Alvaro Rodriguez ambaye alikua mgeni rasmi katika Kongamano la upatikanaji wa fedha za ndani za maendeleo akitoa hotuba yake kwa washiriki kutoka Halmashauri za wilaya nchini lililofanyika leo jijini Arusha.
Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa(UN)Alvaro Rodriguez ambaye alikua mgeni rasmi katika Kongamano la upatikanaji wa fedha za ndani za maendeleo akitoa hotuba yake kwa washiriki kutoka Halmashauri za wilaya nchini lililofanyika leo jijini...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog29 Oct
Halmashauri ya Ikungi yakusanya zaidi ya shilingi billion 2 ndani ya miezi 3 kutoka vyanzo mbalimbali vya mapato
Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida, Celestine Yunde, akizungumza kwenye kikao cha kawaida cha baraza la madiwani.Kulia ni makwamu mwenyekiti, Ali Mwanga na wa kwanza kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Ikungi,Hassan Tanti na anayefuatia ni Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri wilaya Ikungi, Mahammud Nkya.
Na Nathaniel Limu, Ikungi
HALMASHAURI ya wilaya ya Ikungi mkoani Singida, imekusanya mapato ya zaidi ya shilingi 2.9 bilioni kutoka vyanzo vyake mbalimbali vya...
10 years ago
Habarileo10 Apr
Serikali za mitaa watakiwa kubuni vyanzo vya mapato
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Hawa Ghasia amezitaka serikali za mitaa kuongeza mapato katika halmashauri zake ili zikue kiuchumi na kimaendeleo.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-6BcQHvY7ck4/XlajVE1bj8I/AAAAAAALfn4/6aisXvFaznE9PmDP_a8vuYxl6JqAoV8PACLcBGAsYHQ/s72-c/index.png)
JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI YASHAURIWA KUBUNI VYANZO VYA MAPATO
![](https://1.bp.blogspot.com/-6BcQHvY7ck4/XlajVE1bj8I/AAAAAAALfn4/6aisXvFaznE9PmDP_a8vuYxl6JqAoV8PACLcBGAsYHQ/s320/index.png)
Jumuiya ya Afrika mashariki imeshauriwa kubuni vyanzo vya mapato vitakavyoiwezesha kujiendesha bila kutegemea Michango inayotolewa na nchi wanachama na pia wafadhiliMjadala huo uliibuka wakati wabunge wakichanganua ripoti ya ukaguzi wa mahesabu za jumuiya a hiyo baada ya mbunge kutoka Uganda suzan Nakawuki kulieleza Bunge kuwa kuna haja ya hatua za kisheria kuanza kuchukuliwa kwa idara ama watendaji wasiotimiza wajibu wao...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-w_fiha0Wdog/VfVGHRuodBI/AAAAAAAH4Tw/_nOcVIYFee8/s72-c/images.jpg)
WATENDAJI WA SEKTA YA AFYA WATAKIWA KUBUNI VYANZO VYA MAPATO
![](http://3.bp.blogspot.com/-w_fiha0Wdog/VfVGHRuodBI/AAAAAAAH4Tw/_nOcVIYFee8/s1600/images.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-jg7b2JBbCCM/U2oS_CUcrlI/AAAAAAAFgG0/TayaHO4D1zs/s72-c/unnamed+(3).jpg)
Dk. Kigwangala aitaka TAMISEMI kuwashirikisha Wananchi kubuni Vyanzo vya Mapato
![](http://2.bp.blogspot.com/-jg7b2JBbCCM/U2oS_CUcrlI/AAAAAAAFgG0/TayaHO4D1zs/s1600/unnamed+(3).jpg)
Akiwasilisha maoni ya Kamati ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa bungeni leo kuhusu Utekelezaji wa Majukumu ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kwa Mwaka wa Fedha 2013, mwenyekiti wa kamati hiyo, Dk...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-fv30-s9R-HI/U-HahGhJWyI/AAAAAAAF9e0/p2UF2a_EJvg/s72-c/unnamed+(5).jpg)
Halmashauri zote nchini zatakiwa kutenga asilimia 5 ya mapato kwa ajili ya shughuli za vijana
Hayo yamesemwa jana ( leo) Mkoani Dodoma Wilaya ya Nchemba na Afisa Vijana wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bi. Amina Sanga katika mafunzo ya Vijana wa Halmashauri ya Wilaya hiyo kuhusu mikopo kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Vijana.
Bi. Amina alisema kuwa vijana ndiyo...
9 years ago
Habarileo20 Oct
Halmashauri zatakiwa kutafuta vyanzo vipya
HALMASHAURI za wilaya zimetakiwa kujipanga upya na kutafuta vyanzo vingine vya mapato, kwani wakiingia madarakani watafuta ushuru na kodi zote zinazowakera wananchi, hasa wale wafanyabiashara wadogo.
11 years ago
Habarileo29 Mar
Halmashauri zatakiwa kuongeza mapato
MKUU wa Mkoa wa Kusini Unguja, Dk Idrissa Muslim Hija amewataka watendaji wa Serikali ya Mkoa wa Kusini, ikiwemo Halmashauri za miji, kuongeza mapato kwa ajili ya kutekeleza miradi waliyojipangia.
11 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-A7xxFgzL_7o/UzwqDtYJpKI/AAAAAAAAMBg/Wn9yl9jtFUk/s1600/MAN2.jpg)
MANISPAA YA KINONDONI YANUNUA MAGARI MAPYA 10 YENYE THAMANI YA MIL 779 KWA KUTUMIA VYANZO VYA MAPATO YA NDANI