WATENDAJI WA SEKTA YA AFYA WATAKIWA KUBUNI VYANZO VYA MAPATO

Na Beatrice Lyimo – Maelezo SERIKALI imewataka Serikali imetoa changamoto kwa watendaji wote afya wa halmashauri ,mikoa wilaya kuhakikisha wanabuni mbinu mpya na kuongeza vyanzo vya mapato ili kuweza kuendelea kuboresha huduma za sekta ya afya nchini.Aidha Serikali pia imewataka watendaji wa Idara ya Ustawi wa Jamii, kujumuisha suala la kutatua tatizo la watoto yatima kwa kuweka katika mipango ya sekta hiyo. Kauli hiyo imetolewa jana jioni na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo10 Apr
Serikali za mitaa watakiwa kubuni vyanzo vya mapato
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Hawa Ghasia amezitaka serikali za mitaa kuongeza mapato katika halmashauri zake ili zikue kiuchumi na kimaendeleo.
5 years ago
Michuzi
JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI YASHAURIWA KUBUNI VYANZO VYA MAPATO

Jumuiya ya Afrika mashariki imeshauriwa kubuni vyanzo vya mapato vitakavyoiwezesha kujiendesha bila kutegemea Michango inayotolewa na nchi wanachama na pia wafadhiliMjadala huo uliibuka wakati wabunge wakichanganua ripoti ya ukaguzi wa mahesabu za jumuiya a hiyo baada ya mbunge kutoka Uganda suzan Nakawuki kulieleza Bunge kuwa kuna haja ya hatua za kisheria kuanza kuchukuliwa kwa idara ama watendaji wasiotimiza wajibu wao...
11 years ago
Michuzi.jpg)
Dk. Kigwangala aitaka TAMISEMI kuwashirikisha Wananchi kubuni Vyanzo vya Mapato
.jpg)
Akiwasilisha maoni ya Kamati ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa bungeni leo kuhusu Utekelezaji wa Majukumu ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kwa Mwaka wa Fedha 2013, mwenyekiti wa kamati hiyo, Dk...
10 years ago
Michuzi
HALMASHAURI NCHINI ZATAKIWA KUBUNI VYANZO ZAIDI VYA MAPATO YA NDANI


11 years ago
Tanzania Daima21 Mar
Watendaji watakiwa kutunza vyanzo vya maji
MKUU wa Wilaya ya Tanga, Halima Dendego, amewaagiza watendaji wa vijiji, mitaa na kata kuhakikisha wanatunza na kulinda vyanzo vya maji ikiwemo miundombinu yake ili kuwepo na uhakika wa maji....
5 years ago
Michuzi
SERIKALI ,SEKTA BINAFSI WATAKIWA KUKAA NA KUBUNI MIKAKATI YA KUENDELEZA SEKTA MUHIMU KATIKA KIPINDI HIKI CHA UGONJWA WA CORONA
Na Woinde Shizza,ARUSHA
SERIKALI pamoja na sekta binafsi zimetakiwa kukaa pamoja ili kubuni mikakati ya namna ya kuendesha sekta muhimu za uchumi kama vile sekta ya utalii ,sekta ya usafirishaji ,sekta ya kilimo ,sekta ya nishati pamoja na ufugaji bila kungoja kuisha kwa janga la Corona 19.
Hayo yamebainishwa na Mtendaji mkuu wa marafiki wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Moses Adam wakati akizungumza na Michuzi Tv ambapo alisema wanatakiwa kuja na njia mbadala endelevu zitakazoendelea ...
10 years ago
Habarileo25 Jan
Nagu aagiza TIC kuanzisha vyanzo vingine vya mapato
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji), Dk Mary Nagu amekitaka Kituo cha Uwekezaji (TIC) kuanzisha vyanzo vingine vya mapato ili kiweze kutekeleza miradi yake kwa wakati bila kutegemea bajeti ya serikali.
11 years ago
Tanzania Daima15 Mar
Wagombea urais waweke wazi vyanzo vya mapato yao
WANASIASA wanaogombea nafasi za juu za uongozi katika nchi zao, ukiwamo urais, kote duniani hupaswa kufanya maandalizi mengi kabla ya kufikia uamuzi huo. Miongoni mwa maandalizi hayo, kubwa zaidi ni...
5 years ago
Michuzi
WATENDAJI SEKTA YA ARDHI OFISI ZA MIKOA WATAKIWA KUEPUKA URASIMU

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mary Makondo akizungumza wakati wa kufunga mafunzo kwa watendaji wa sekta ya Ardhi wa ofisi za Ardhi za mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida na Manyara yaliyofanyika ofisi za Wizara katika Mji wa Serikali eneo la Mtumba jijini Dodoma jana.

Kamishna wa Ardhi nchini Nathaniel Nhonge akizungumza wakati wa kufunga mafunzo ya Watendaji wa sekta ya ardhi wa ofisi za Ardhi za mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida na Manyara yaliyofanyika ofisi...