Mkenya atuhumiwa kuikosesha mapato TCRA Sh6.8 bil
Raia wa Kenya, Nelson Rading Onyango amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam akikabiliwa na mashtaka saba, likiwamo la kutoa huduma ya mawasiliano ya kimataifa bila ya kuwa na leseni na kulisababishia taifa hasara ya zaidi ya Sh6.8 bilioni.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo27 Mar
Mkenya kortini hasara ya bil 6.8/-
RAIA wa Kenya Nelson Onyango (43) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka ya kutoa huduma ya mawasiliano ya simu za kimataifa bila kibali na kusababisha hasara ya Sh bilioni 6.8.
10 years ago
Dewji Blog04 May
Halmashauri ya Singida yakusanya mapato ya sh bil 11/-
Makamu mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Singida vijijini, Elia Digha, akitoa taarifa ya mapato na matumizi kwa kipindi cha kuanzia Julai mwaka jana hadi Machi 30 mwaka huu mbele ya kikao cha kawaiada cha madiwani. Digha alisema kuwa halmashauri hiyo ilikusanya zaidi yashilingi bilioni 11.4 ikiwa ni sawa na asilimia 49 ya lengo la kukusanya zaidi ya shilingi bilioni 22.1.
Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Singida vijijini, Iddi Mnyampanda, akizungumza kwenye ufunguzi wa kikao...
9 years ago
StarTV30 Dec
Uozo Zaidi Bandarini  Saba matatani kwa upotevu wa mapato ya Sh. Bil. 47.4
Jeshi la Polisi nchini linawashikilia watumishi saba kati ya 15 wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania baada ya kubainika kuhusika na upotevu wa mapato ya Shilingi Bilioni 47.4 kutokana na Makontena 11,884 kutolewa bandarini bila malipo.
Pia magari 2,019 yanadaiwa kutolewa bandarini kinyemela na kusababisha upotevu wa mapato wa zaidi ya Shilingi Bilioni moja.
Mbali na makontena hayo ikumbukwe kuwa Desemba 7, mwaka huu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alibaini makontena mengine 2,431...
9 years ago
Dewji Blog20 Nov
Serikali za Mitaa zaongeza mapato kupitia mfumo wa ukusanyaji Mapato kwa njia ya Kielektroniki
Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Waziri Mkuu- TAMISEMI Bi. Rebecca Kwandu akifurahia jambo na waandishi wa habari (hawapo pichani)leo jijini Dar es Salaam wakati akiwaeleza mafanikio ya mfumo wa ukusanyaji mapato kwa njia ya kielektroniki katika mamlaka za Serikali za Mitaa (LGRCIS). Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Mifumo ya TEHAMA wa ofisi hiyo Bw. Mtani Yangwe na kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari (MAELEZO) Bi. Zamaradi Kawawa.
Mkurugenzi Msaidizi Mifumo ya...
11 years ago
TheCitizen17 Jan
TanzaniteOne’s raises Sh6 billion for mining restart
11 years ago
Mwananchi12 Dec
Sh6.8 bilioni hupotea ukataji misitu nchini
11 years ago
TheCitizen06 Jul
Principal charged over Sh6 million solar deal
10 years ago
TheCitizen19 Oct
Tanzania premier league valued at Sh6.5bn: Board