Serikali za Mitaa zaongeza mapato kupitia mfumo wa ukusanyaji Mapato kwa njia ya Kielektroniki
Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Waziri Mkuu- TAMISEMI Bi. Rebecca Kwandu akifurahia jambo na waandishi wa habari (hawapo pichani)leo jijini Dar es Salaam wakati akiwaeleza mafanikio ya mfumo wa ukusanyaji mapato kwa njia ya kielektroniki katika mamlaka za Serikali za Mitaa (LGRCIS). Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Mifumo ya TEHAMA wa ofisi hiyo Bw. Mtani Yangwe na kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari (MAELEZO) Bi. Zamaradi Kawawa.
Mkurugenzi Msaidizi Mifumo ya...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-ajr9EHjRoFQ/Vk7pYKryX6I/AAAAAAAIG-A/zWIrW9aOWaE/s72-c/New%2BPicture.png)
SERIKALI YABORESHA MFUMO WA UKUSANYAJI WA MAPATO
![](http://1.bp.blogspot.com/-ajr9EHjRoFQ/Vk7pYKryX6I/AAAAAAAIG-A/zWIrW9aOWaE/s320/New%2BPicture.png)
Hayo yamesemwa na msemaji wa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa (TAMISEMI) Bi. Rebecca Kwandu leo jijini Dar es salaam.
Bi Rebecca amesema kuwa TAMISEMI imekuwa ikiendelea kwa nyakati tofauti kufanya maboresho mbalimbali ili kurahisisha utoaji wa huduma kwa jamii na kuzisaidia mamlaka hizo katika kuongeza mapato ya ndani na...
9 years ago
Dewji Blog10 Oct
Serikali yaboresha mfumo wa ukusanyaji mapato
Mkurugenzi wa Huduma za Kibenki kutoka Benki Kuu ya Tanzania Bw. Martian Kobelo (wa pili kulia) akiwaeleza waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam kuhusu utunzaji sahihi wa fedha za noti na sarafu. Kulia ni Mkurugenzi wa Mifumo ya Malipo ya Taifa Bw. Bernard Dadi na kushoto ni Mshauri wa Huduma za Kibenki Bw. Hassan Jarufu.
Mkurugenzi wa Mifumo ya Malipo ya Taifa kutoka Benki Kuu ya Tanzania Bw. Bernard Dadi (kulia) akiwaeleza waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu mfumo...
10 years ago
Vijimambo02 Mar
SELCOM KUIWEZESHA MANISPAA YA MOROGORO KATIKA UKUSANYAJI WA MAPATO KWA NJIA ZA KIELEKTRONIC
11 years ago
Dewji Blog02 May
Mfumo wa kielektroniki waongeza mapato manispaa ya Kinondoni
Afisa Uhusiano wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni Bw. Sebastian Mhowera akieleza kwa waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu mfumo mpya wa kielektroniki wa ukusanyaji mapato unatumiwa na manispaa hiyo,wakati wa mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Afisa Habari wa Idara ya Habari(MAELEZO) Fatma Salum.
Mchambuzi wa Mifumo ya Komputa Bw. Jackson Kiema akiwaonyesha waandishi wa habari(hawapo pichani) mashine ya...
10 years ago
Dewji Blog29 Jul
Serikali yasaini Mkataba wa kukusanya zaidi ya Sh. milioni 12 kupitia mapato ya ndani kwa mwaka 2015/16
Baadhi ya viongozi na watendaji wa Wizara ya Fedha na TRA wakati wa hafla ya kusaini Mkataba wa Makubaliano ya kukusanya mapato ya ndani kwa mwaka wa fedha 2015/2016 ambayo yanakusanywa kwa mara ya kwanza nchini.(Picha na Eleuteri Mangi-MAELEZO).
Na Eleuteri Mangi- MAELEZO
Serikaki imesainiana Mkataba wa Makubaliano ya kukusanya Sh. Milioni 12,362,969 za mapato ya ndani kwa mwaka wa fedha 2015/2016 ambayo yanakusanywa kwa mara ya kwanza nchini.
Mkataba huo wa makubaliano umesainiwa leo...
11 years ago
Uhuru Newspaper12 Jun
Sekta za utalii, usafirishaji zaongeza mapato
NA SELINA WILSON, DODOMA
TANZANIA imeendelea kufanya vizuri katika biashara ya nje, ikiwemo huduma za utalii na usafirishaji bidhaa kupitia nchini kwenda nchi jirani na hivyo kuongeza mapato.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Stephen Wassira, alisema hayo jana bungeni mjini Dodoma, alipokuwa akiwasilisha taarifa ya hali ya uchumi kwa mwaka 2013 na mpango wa maendeleo wa taifa wa 2014/2015.
Wassira alisema kwa mwaka 2013, katika huduma za utalii, mapato yaliongezeka kutoka...
10 years ago
StarTV29 Dec
Waliochaguliwa Serikali za Mitaa wahimizwa kusoma mapato na matumizi.
Na Mbonea Herman, Tanga.
Wenyeviti wa serikali za mitaa wametakiwa kujenga utamaduni wa kuwasomea wananchi taarifa za mapato na matumizi ili kuondokana na migogoro mingi iliyojitokeza kipindi kilichopita kutokana na kuwepo kwa dosari hiyo.
Wito huo ulitolewa na Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Tanga, Mery Chatanda wakati wa kuwapongeza viongozi wa serikali za mitaa wilaya ya Korogwe mjini mara baada kushinda uchaguzi huo kwa asilimia mia moja.
Viongizi wa serikali za mitaa kutoka vijiji...
10 years ago
Habarileo10 Apr
Serikali za mitaa watakiwa kubuni vyanzo vya mapato
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Hawa Ghasia amezitaka serikali za mitaa kuongeza mapato katika halmashauri zake ili zikue kiuchumi na kimaendeleo.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-jabE9lqHZGg/XuJYfHewiqI/AAAAAAALtek/dMUigNqcmScbkrswOM4Y_nrmH6oFXltsgCLcBGAsYHQ/s72-c/12.jpg)
HALMASHARI YA MJI KONDOA YAONGEZA UKUSANYAJI WA MAPATO KWA ASILIMIA 135
HATIMAYE Baraza la Waheshimiwa Madiwani wa Halmashauri ya Mji Kondoa limekamilisha rasmi kikao cha kawaida cha robo ya nne baada ya kuhudumu kwa kipindi cha miaka mitano tangu lilipoingia madarakani mwezi Oktoba 2015 na kufanikiwa kuongeza ukusanyaji wa mapato ya ndani kutoka shilingi milioni 400 kwa mwaka 2016/2017 hadi kufikia shilingi bilioni 1.6 mwaka 2019/2020 sawa na ongezeko la zaidi ya asilimia 135.
Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kondoa, Msoleni Dakawa katika...