Serikali yaboresha mfumo wa ukusanyaji mapato
Mkurugenzi wa Huduma za Kibenki kutoka Benki Kuu ya Tanzania Bw. Martian Kobelo (wa pili kulia) akiwaeleza waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam kuhusu utunzaji sahihi wa fedha za noti na sarafu. Kulia ni Mkurugenzi wa Mifumo ya Malipo ya Taifa Bw. Bernard Dadi na kushoto ni Mshauri wa Huduma za Kibenki Bw. Hassan Jarufu.
Mkurugenzi wa Mifumo ya Malipo ya Taifa kutoka Benki Kuu ya Tanzania Bw. Bernard Dadi (kulia) akiwaeleza waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu mfumo...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-ajr9EHjRoFQ/Vk7pYKryX6I/AAAAAAAIG-A/zWIrW9aOWaE/s72-c/New%2BPicture.png)
SERIKALI YABORESHA MFUMO WA UKUSANYAJI WA MAPATO
![](http://1.bp.blogspot.com/-ajr9EHjRoFQ/Vk7pYKryX6I/AAAAAAAIG-A/zWIrW9aOWaE/s320/New%2BPicture.png)
Hayo yamesemwa na msemaji wa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa (TAMISEMI) Bi. Rebecca Kwandu leo jijini Dar es salaam.
Bi Rebecca amesema kuwa TAMISEMI imekuwa ikiendelea kwa nyakati tofauti kufanya maboresho mbalimbali ili kurahisisha utoaji wa huduma kwa jamii na kuzisaidia mamlaka hizo katika kuongeza mapato ya ndani na...
9 years ago
Dewji Blog20 Nov
Serikali za Mitaa zaongeza mapato kupitia mfumo wa ukusanyaji Mapato kwa njia ya Kielektroniki
Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Waziri Mkuu- TAMISEMI Bi. Rebecca Kwandu akifurahia jambo na waandishi wa habari (hawapo pichani)leo jijini Dar es Salaam wakati akiwaeleza mafanikio ya mfumo wa ukusanyaji mapato kwa njia ya kielektroniki katika mamlaka za Serikali za Mitaa (LGRCIS). Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Mifumo ya TEHAMA wa ofisi hiyo Bw. Mtani Yangwe na kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari (MAELEZO) Bi. Zamaradi Kawawa.
Mkurugenzi Msaidizi Mifumo ya...
9 years ago
Habarileo07 Jan
Waziri Mkuu aagiza kasi ukusanyaji mapato
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza halmashauri za wilaya, manispaa na majiji nchini, kuongeza kasi katika ukusanyaji wa mapato ya ndani, hatua itakayosaidia kuboresha huduma za afya na kuharakisha shughuli mbalimbali za maendeleo.
10 years ago
VijimamboMANISPAA YA ILALA YAELEZEA UBORESHAJI WA UKUSANYAJI WA MAPATO YAKE
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-TlpXNSaGo1s/XqpvfhUGcII/AAAAAAALomI/mA9YQXfS1F4gJuNEs1D7W8bEAVj1ZpMQACLcBGAsYHQ/s72-c/C.png)
HALMASHAURI YA NJOMBE YAVUKA TENA MALENGO UKUSANYAJI MAPATO
Na Amiri kilagalila,NjombeHALMASHAURI ya wilaya ya Njombe ambayo asilimia 70 ya mapato yake inayapata kutoka kwenye mazao ya miti , imefanikiwa kuvuka tena lengo la makusanyo ya mwaka 2019/2020 katika kipindi cha robo tatu ya mwaka kwa kukusanya asilimia 108 ya mapato.Ripoti hiyo ya makusanyo imetolewa katika kikao cha baraza na mwenyekiti wa halmashauri Valentino Hongoli na kutolewa ufafanunuzi na mkurugenzi Ally Juma ambaye anasema siri ya mafanikio makubwa katika makusanyo yametokana na...
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/5Bl7L7JVxZg/default.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-n3DLAC2lBwc/VdQiQNOlBmI/AAAAAAAHyGI/waRzZ4uwBbA/s72-c/unnamed%2B%252824%2529.jpg)
MATUMIZI YA TEHAMA SERIKALINI YAONGEZA UFANISI KATIKA UKUSANYAJI WA MAPATO
Matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano katika ukusanyaji wa mapato ya Serikali yamepunguza upotevu wa mapato uliokuwa ukisababishwa na watendaji wasio waaminifu.
Kauli hiyo imetolewa jana jijini Arusha na Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Bw. Adorf Mapunda wakati akifunga awamu ya kwanza ya mkutano wa mwaka wa Serikali Mtandao uliowahusisha maafisa TEHAMA,Rasilimali watu,Utawala na Maafisa Habari kutoka maeneo mbalimbali nchini.
Amesema mabadiliko...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-nmIQUWjQ8xE/Xk_wHlYwesI/AAAAAAALeuU/LZkVWRL0HOwuUq1PiWqkXOxCC2E9UHeUgCLcBGAsYHQ/s72-c/3e301e80-857f-4e33-bb62-babfdbdce135.jpg)
JIJI LA DODOMA LAJA NA MIKAKATI SABA YA KUONGEZA UKUSANYAJI WAKE WA MAPATO
ILI kuongeza kiwango cha ukusanyaji wa mapato kwa mwaka 2020/2021 Jiji la Dodoma limebuni njia saba za ukusanyaji ikiwemo kuwatumia watendaji wa kata na mitaa ili waweze kukusanya mapato katika maeneo yao.
Njia nyingine ni pamoja na kufanya uchambuzi wa vyanzo vya mapato vya halmashauri ili kukusanya takwimu sahihi za vyanzo hivyo, kuhakikisha ukusanyaji wa mapato kutoka vyanzo na vituo vyote unatumia mfumo wa kielektroniki ili kudhibiti upotevu wa mapato.
Akizungumza...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-jabE9lqHZGg/XuJYfHewiqI/AAAAAAALtek/dMUigNqcmScbkrswOM4Y_nrmH6oFXltsgCLcBGAsYHQ/s72-c/12.jpg)
HALMASHARI YA MJI KONDOA YAONGEZA UKUSANYAJI WA MAPATO KWA ASILIMIA 135
HATIMAYE Baraza la Waheshimiwa Madiwani wa Halmashauri ya Mji Kondoa limekamilisha rasmi kikao cha kawaida cha robo ya nne baada ya kuhudumu kwa kipindi cha miaka mitano tangu lilipoingia madarakani mwezi Oktoba 2015 na kufanikiwa kuongeza ukusanyaji wa mapato ya ndani kutoka shilingi milioni 400 kwa mwaka 2016/2017 hadi kufikia shilingi bilioni 1.6 mwaka 2019/2020 sawa na ongezeko la zaidi ya asilimia 135.
Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kondoa, Msoleni Dakawa katika...