Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Mkuu aagiza kasi ukusanyaji mapato

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza halmashauri za wilaya, manispaa na majiji nchini, kuongeza kasi katika ukusanyaji wa mapato ya ndani, hatua itakayosaidia kuboresha huduma za afya na kuharakisha shughuli mbalimbali za maendeleo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

NAIBU KATIBU MKUU TAMISEMI AITAKA HALMASHAURI YA SHINYANGA KUBORESHA UKUSANYAJI WA MAPATO

 Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Gerald Mweli akizungumza na viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga alipofika wilayani hapo kwa ziara yake ya kikazi.Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Gerald Mweli akitoa maelekezo kwa baadhi ya viongozi wa halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga katika ziara yake ya kutembelea na kukagua miradi mbalimbali.
NAIBU Katibu Mkuu anayeshughulikia Elimu OR-TAMISEMI Gerald Mweli ametembelea halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga na kukagua eneo la...

 

9 years ago

Dewji Blog

Serikali za Mitaa zaongeza mapato kupitia mfumo wa ukusanyaji Mapato kwa njia ya Kielektroniki

01

Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Waziri Mkuu- TAMISEMI Bi. Rebecca Kwandu akifurahia jambo na waandishi wa habari (hawapo pichani)leo jijini Dar es Salaam wakati akiwaeleza mafanikio ya mfumo wa ukusanyaji mapato kwa njia ya kielektroniki katika mamlaka za Serikali za Mitaa (LGRCIS). Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Mifumo ya TEHAMA wa ofisi hiyo Bw. Mtani Yangwe na kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari (MAELEZO) Bi. Zamaradi Kawawa.

02

 Mkurugenzi Msaidizi Mifumo ya...

 

5 years ago

Michuzi

UKUSANYAJI MAPATO SEKTA YA MADINI WAMKOSHA WAZIRI DOTTO BITEKO, AIMWAGIA SIFA GGML KWA UWEKEZAJI WA KIMKAKATI KATIKA MKOA WA GEITA

 Makamu wa Rais anayeshughulikia Maendeleo Endelevu katika Kampuni ya GGML, Simon Shayo akizungumza katika ziara ya Waziri wa Madini, Dotto Biteko aliyetembelea miradi ya kampuni hiyo inayotekelezwa chini ya mpango wa kusaidia jamii (CSR) mkoani Geita. Waziri wa Madini Dotto Biteko akitoa pongezi za serikali kwa GGML baada ya kutembelea miradi hiyo. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhandisi Robert Gabriel  na kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Geita Josephat Maganga wakati kushoto ni baadhi ya...

 

9 years ago

Michuzi

SERIKALI YABORESHA MFUMO WA UKUSANYAJI WA MAPATO

Na Georgina Misama.SERIKALI imeboresha matumizi ya mfumo wa ukusanyaji wa mapato kwa njia ya kielekitroniki katika mamlaka za serikali za mitaa.
Hayo yamesemwa na msemaji wa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa (TAMISEMI) Bi. Rebecca Kwandu leo jijini Dar es salaam.
Bi Rebecca amesema kuwa TAMISEMI imekuwa ikiendelea kwa nyakati tofauti kufanya maboresho mbalimbali ili kurahisisha utoaji wa huduma kwa jamii na kuzisaidia mamlaka hizo katika kuongeza mapato ya ndani na...

 

9 years ago

Dewji Blog

Serikali yaboresha mfumo wa ukusanyaji mapato

1

Mkurugenzi wa Huduma za Kibenki  kutoka Benki Kuu ya Tanzania Bw. Martian Kobelo (wa pili kulia) akiwaeleza waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam kuhusu utunzaji sahihi wa fedha za noti na sarafu. Kulia ni Mkurugenzi wa Mifumo ya Malipo ya Taifa Bw. Bernard Dadi na kushoto ni Mshauri wa Huduma za Kibenki Bw. Hassan Jarufu. 

2

Mkurugenzi wa Mifumo ya Malipo ya Taifa kutoka Benki Kuu ya Tanzania  Bw. Bernard Dadi (kulia) akiwaeleza waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu mfumo...

 

10 years ago

Vijimambo

MANISPAA YA ILALA YAELEZEA UBORESHAJI WA UKUSANYAJI WA MAPATO YAKE

Meneja Uhusiano wa Manispaa ya Ilala, Tabu Shaibu (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu uboreshaji wa ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri hiyo. Kulia ni Meneja Kodi Majengo, Stellah Mgumia. Meneja Kodi Majengo wa Manispaa hiyo, Stellah Mgumia akitoa ufafanuzi mbalimbali wa ukusanyaji wa mapato. Mkuu wa Idara ya Kilimo na Ushirika wa Manispaa hiyo, Francis Luambano (kushoto), akizungumza na wanahabari katika mkutano huo.
 Ofisa Biashara wa...

 

5 years ago

CCM Blog

HALMASHAURI YA NJOMBE YAVUKA TENA MALENGO UKUSANYAJI MAPATO


Na Amiri kilagalila,NjombeHALMASHAURI ya wilaya ya Njombe ambayo asilimia 70 ya mapato yake inayapata kutoka kwenye mazao ya miti , imefanikiwa kuvuka tena lengo la makusanyo ya mwaka 2019/2020 katika kipindi cha robo tatu ya mwaka kwa kukusanya asilimia 108 ya mapato.Ripoti hiyo ya makusanyo imetolewa katika kikao cha baraza na mwenyekiti wa halmashauri Valentino Hongoli na kutolewa ufafanunuzi na mkurugenzi Ally Juma ambaye anasema siri ya mafanikio makubwa katika makusanyo yametokana na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani