Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NAIBU KATIBU MKUU TAMISEMI AITAKA HALMASHAURI YA SHINYANGA KUBORESHA UKUSANYAJI WA MAPATO

 Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Gerald Mweli akizungumza na viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga alipofika wilayani hapo kwa ziara yake ya kikazi.Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Gerald Mweli akitoa maelekezo kwa baadhi ya viongozi wa halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga katika ziara yake ya kutembelea na kukagua miradi mbalimbali.
NAIBU Katibu Mkuu anayeshughulikia Elimu OR-TAMISEMI Gerald Mweli ametembelea halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga na kukagua eneo la...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI atembelea banda la maonesho NHC

Naibu Katibu mkuu Tamisemi, Kagyabukama E.Kiliba akiingia katika banda la maonyesho la Shirika la Nyumba la Taifa leo asubuhi kwenye viwanja vya Maonyesho vya Sabasaba (Mwalimu Nyerere) katika maonyesho ya 39 ya biashara ya kimataifa.

Naibu Katibu mkuu Tamisemi ,Kagyabukama E.Kiliba akipata maelezo ya namna kituo cha huduma kwa wateja kinavyofanya kazi kutoka kwa Afisa wa kitengo cha Huduma kwa Wateja, Theresia Muhondo katika banda la maonyesho la Shirika la Nyumba la Taifa leo asubuhi...

 

11 years ago

Michuzi

Dk. Kigwangala aitaka TAMISEMI kuwashirikisha Wananchi kubuni Vyanzo vya Mapato

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Dk Hamis Kigwangala amezitaka Sekretarieti za mikoa na halmashauri zote nchini kuhakikisha kwamba inawashirikisha wananchi katika maandalizi ya bajeti kubuni vyanzo vya mapatao.
 Akiwasilisha maoni ya Kamati ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa bungeni leo kuhusu Utekelezaji wa Majukumu ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kwa Mwaka wa Fedha 2013, mwenyekiti wa kamati hiyo, Dk...

 

9 years ago

Michuzi

Naibu Katibu Mkuu wa TAMISEMI akagua hali ya mazingira ya soko la Temeke Sterio, jijini Dar

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anayeshughulikia Elimu Bw. Zuberi Samataba (aliyetangulia) akikagua machinjio ya kuku jana katika soko la Temeke Sterio Halmashauri ya Manispaa ya Temeke.Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke Bw. Photidas Kagimbo (wa pili kushoto) akimwongoza Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anayeshughulikia Elimu Bw. Zuberi Samataba(katikati) kukagua soko la...

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU KATIBU MKUU AHOJI KUSHUKA KIWANGO CHA UFAULU SHINYANGA


Naibu Katibu Mkuu anayeshughulika Elimu OR-TAMISEMI, Gerald Mweli akizungumza wakati wa ziara ya kikazi Mkoani Shinyanga.
NAIBU Katibu mkuu wa TAMIS Katibu Mkuu anayeshughulika Elimu OR-TAMISEMI Gerald Mweli amehoji kushuka kwa kiwango cha ufaulu kwa Mkoa wa Shinyanga Kitaifa kutoka nafasi ya 3 kwa mwaka 2018 hadi nafasi ya 13 kwa mwaka 2019.
Akizungumza katika ziara yake ya kikazi Mkoani humo amesema haiwezekani kwa kipindi cha mwaka mmoja Mkoa huo kuporomoka kitaaluma kwa kiwango hicho ...

 

5 years ago

CCM Blog

HALMASHAURI YA NJOMBE YAVUKA TENA MALENGO UKUSANYAJI MAPATO


Na Amiri kilagalila,NjombeHALMASHAURI ya wilaya ya Njombe ambayo asilimia 70 ya mapato yake inayapata kutoka kwenye mazao ya miti , imefanikiwa kuvuka tena lengo la makusanyo ya mwaka 2019/2020 katika kipindi cha robo tatu ya mwaka kwa kukusanya asilimia 108 ya mapato.Ripoti hiyo ya makusanyo imetolewa katika kikao cha baraza na mwenyekiti wa halmashauri Valentino Hongoli na kutolewa ufafanunuzi na mkurugenzi Ally Juma ambaye anasema siri ya mafanikio makubwa katika makusanyo yametokana na...

 

5 years ago

Michuzi

KAWAWA AITAKA HALMASHAURI YA CHALINZE KUSIMAMIA MAPATO YA NDANI




Na Mwamvua Mwinyi, ChalinzeMKUU wa Wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani Zainab Kawawa, ameitaka halmashauri ya Chalinze kusimamia mapato ya ndani na kuwaasa kutowafumbia macho watumishi ambao wanasababisha kushuka kwa mapato.
Aidha amesisitiza kuweka watumishi wanaosimamia ushuru kukaa kwenye maeneo ya uchimbaji kokoto, hatua inayolenga kuwadhibiti wafanyabiashara wanaojihusisha na ukwepaji wa ushuru.
Zainab alieleza hayo ,katika kikao cha kupitia taarifa ya mkaguzi wa Serikali (CAG),...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mbunge wa Jimbo la Manyoni Magharibi ahimiza ukusanyaji pamoja na usimamizi wa mapato ya Halmashauri ya Itigi

SAM_0397

Mbunge wa jimbo la Manyoni magharibi (CCM), Bwana Yahaya Masare (wa kwanza kutoka kulia) akiwa na Katibu wa CCM wilaya ya Manyoni, Dafrosa aliyekwenda kushuhudia sherehe za uzinduzi wa Halmashauri mpya ya Itigi.

SAM_0432

Baadhi ya wananchi na watendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Itigi,wilayani Manyoni waliohudhuria uzinduzi wa Halmashauri mpya ya Itigi, Mkoani Singida.

SAM_0422

Mbunge wa jimbo la Manyoni magharibi(CCM)Bwana Yahaya Masare(wa tatu kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na watumishi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani