Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waliochaguliwa Serikali za Mitaa wahimizwa kusoma mapato na matumizi.

Na Mbonea Herman, Tanga.

Wenyeviti wa serikali za mitaa wametakiwa kujenga utamaduni wa kuwasomea wananchi taarifa za mapato na matumizi ili kuondokana na migogoro mingi iliyojitokeza kipindi kilichopita kutokana na kuwepo kwa dosari hiyo.

 

Wito huo ulitolewa na Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Tanga, Mery Chatanda wakati wa kuwapongeza viongozi wa serikali za mitaa wilaya ya Korogwe  mjini mara baada kushinda uchaguzi huo kwa asilimia mia moja.

 

Viongizi wa serikali za mitaa kutoka vijiji...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Serikali za Mitaa zaongeza mapato kupitia mfumo wa ukusanyaji Mapato kwa njia ya Kielektroniki

01

Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Waziri Mkuu- TAMISEMI Bi. Rebecca Kwandu akifurahia jambo na waandishi wa habari (hawapo pichani)leo jijini Dar es Salaam wakati akiwaeleza mafanikio ya mfumo wa ukusanyaji mapato kwa njia ya kielektroniki katika mamlaka za Serikali za Mitaa (LGRCIS). Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Mifumo ya TEHAMA wa ofisi hiyo Bw. Mtani Yangwe na kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari (MAELEZO) Bi. Zamaradi Kawawa.

02

 Mkurugenzi Msaidizi Mifumo ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Vijana wahimizwa kugombea serikali za mitaa

VIJANA na wakazi wa mji wa Mailimoja Wilaya ya Kibaha, wametakiwa kuachana na tabia ya kubaki kwenye nafasi ya kuwa mashibiki na badala yake washiriki kikamilifu kwenye kuchagua viongozi na...

 

10 years ago

Habarileo

Serikali za mitaa watakiwa kubuni vyanzo vya mapato

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, TAMISEMI, Hawa Ghasia WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Hawa Ghasia amezitaka serikali za mitaa kuongeza mapato katika halmashauri zake ili zikue kiuchumi na kimaendeleo.

 

10 years ago

Habarileo

Wanawake wahimizwa kuwania nafasi uchaguzi serikali za mitaa

WANAWAKE kote nchini wamehimizwa kuacha malumbano na kujitokeza katika kugombea nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchaguzi ujao wa serikali za mitaa.

 

10 years ago

GPL

WAZIRI WA FEDHA AWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA SERIKALI 2015/16

Waziri wa Fedha, Saada Mkuya. Waziri wa Fedha, Saada Mkuya hivi sasa anawasilisha bungeni hotuba ya mapendekezo ya serikali kuhusu makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2015/16.

 

9 years ago

CCM Blog

KAMATI KUU YA CCM YAMPONGEZA RAIS DK. MAGUFULI NA WASAIDIZI WAKE, NI KWA KUSIMAMIA VYANZO VYA MAPATO YA SERIKALI, KUDHIBITI MATUMIZI YA SERIKALI NA UHIMIZAJI WANANCHI KUFANAYA KAZI KWA BIDII



Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akizungumza na Waandishi wa Habari, leo kwenye ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam. (Picha na Bashir Nkoromo)IFUATAYO NI TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KAMA ILIVYOWASILISHWA LEO NA KINANA  Jana tarehe 07/12/2015 Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ilifanya kikao chake cha kawaida mjini Dar es salaam kwa siku moja. Kikao hicho kiliongozwa na Mwenyekiti wa CCM, Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa...

 

11 years ago

Michuzi

HOTUBA YA WAZIRI WA FEDH MHESHIMIWA SAADA MKUYA SALUM (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA SERIKALI KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA 2014/15

MHESHIMIWA SAADA MKUYA SALUM (MB), AKIWASILI BUNGENI MJINI DODOMA KUWASILISHA MAPENDEKEZO YA SERIKALI KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI  KWA MWAKA 2014/15 LEO. 

 

10 years ago

Mwananchi

Lindi wahimizwa kusoma wafaidi gesi, mafuta

Wananchi mkoani Lindi wameshauriwa kusoma kwa bidii ili elimu watakayopata iweze kuwasaidia kupata fursa zinazotokana na gesi asilia iliyogunduliwa katika mikoa ya Lindi na Mtwara.

 

11 years ago

Michuzi

HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA MHESHIMIWA OMAR YUSSUF MZEE KUHUSU MAPENDEKEZO YA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA SERIKALI KWA MWAKA WA FEDHA 2014/15 KATIKA BARAZA LA WAWAKILISHI

WAZIRI WA FEDHA  WA ZANZIBAR MHESHIMIWA OMAR YUSSUF MZEE AKIINGIIA KATIKA UKUNBU WA BARAZA LA  WAWAKILISHI LEO

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani