KAMATI KUU YA CCM YAMPONGEZA RAIS DK. MAGUFULI NA WASAIDIZI WAKE, NI KWA KUSIMAMIA VYANZO VYA MAPATO YA SERIKALI, KUDHIBITI MATUMIZI YA SERIKALI NA UHIMIZAJI WANANCHI KUFANAYA KAZI KWA BIDII
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akizungumza na Waandishi wa Habari, leo kwenye ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam. (Picha na Bashir Nkoromo)IFUATAYO NI TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KAMA ILIVYOWASILISHWA LEO NA KINANA Jana tarehe 07/12/2015 Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ilifanya kikao chake cha kawaida mjini Dar es salaam kwa siku moja. Kikao hicho kiliongozwa na Mwenyekiti wa CCM, Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi
11 years ago
Michuzi16 Jun
5 years ago
CCM Blog
KAMATI KUU YAMPONGEZA RAIS DK. MAGUFULI KWA UMAHIRI ALIOTUMIA KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA CORONA, YARIDHISHWA NA MAANDALIZI YA UCHAGUZI MKUU 2020

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imempongeza Rais Dk. John Magufuli kwa Uongozi imara, msimamo thabiti na usioyumba katika kipindi chote cha mapambano dhidi ya ugonjwa wa Virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa Covid 19.
Pongezi hizo zimetolewa na Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, katika kikao chake kilichofanyika jana katika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma, chini ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli.
Pamoja na pongezi hizo Kamati...
10 years ago
Vijimambo16 Jan
10 years ago
Habarileo10 Apr
Serikali za mitaa watakiwa kubuni vyanzo vya mapato
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Hawa Ghasia amezitaka serikali za mitaa kuongeza mapato katika halmashauri zake ili zikue kiuchumi na kimaendeleo.
11 years ago
Habarileo10 Aug
Serikali yataka vijana kuchapa kazi kwa bidii
SERIKALI imewataka vijana kuchapa kazi kwa bidii ili kuleta mabadiliko chanya katika jamii wanazoishi ikizingatiwa kwamba asilimia 75 ya nguvu kazi ya taifa ni vijana.
5 years ago
Michuzi
TAASISI YA AMANI KWA WAISLAMU TANZANIA YAMPONGEZA RAIS MAGUFULI MAPAMBANO DHIDI YA CORON, YATOA RAI KWA WANANCHI

TAASISI ya Amani kwa Waislamu Tanzania (TIPF) kupitia Mwenyekiti wake Sadiki Godigodi imeipongeza hotuba ya Rais Dk. John Magufuli ambayo ameitoa siku za karibuni kuhusu hali halisi ya janga la ugonjwa wa Covid-19 nchini.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti huyo ni kwamba hotuba ya Rais Magufuli imejaa matumaini hususn katika matumizi ya dawa za kujifukiza huku akiwataka wataalamu wa kitaifa na kimataifa kuhakikisha wanafanyia kazi dawa hizo za asili zilizoonesha matumaini...
5 years ago
CCM Blog
RAIS DK. MAGUFULI: SERIKALI HAITAWAFUNGIA WANANCHI MAJUMBANI WALA KULIFUNGA JIJI LA DAR ES SALAAM KWA SABABU YA CORONA, ASISITIZA WATU KUENDELEA KUCHUKUA TAHADHARI ZAIDI HUKU WAKICHAPA KAZI

Rais Dk. John Magufuli amesema Serikali haitawafungia wananchi majumbani (lockdown) wala kulifunga Jiji la Dar es Salaam ili kuepusha madhara makubwa yanayoweza kuwakumba wananchi na kuathiri uchumi wa nchi, na ametaka Watanzania kuondoa hofu, kuendelea kuchukua tahadhari huku wakiendelea na shughuli zao za uzalishaji mali na ujenzi wa Taifa.
“Tuwaondoe hofu wananchi, sio ugonjwa huu pekee unaosababisha vifo kwa wananchi, na sio kila anayepoteza...
10 years ago
Michuzi
MADIWANI ULANGA WAPONGEZWA KWA KUSIMAMIA MATUMIZI SAHIHI YA MAPATO.