MADIWANI ULANGA WAPONGEZWA KWA KUSIMAMIA MATUMIZI SAHIHI YA MAPATO.
![](http://3.bp.blogspot.com/-NkjbzwV62zg/VZr5f8CDRRI/AAAAAAAHnZs/tVU7U7jMXm4/s72-c/unnamed%2B%252851%2529.jpg)
Habari na picha na John NditiMKUU wa mkoa wa Morogoro, Dk Rajab Rutengwe, Julai 6, 2015, amefanya ziara ya kikazi katika wilaya ya Ulanga, ambapo moja ya jukumu kubwa lilikuwa ni kulihutubia baraza la madiwani wa halmashauri hiyo , ambalo lilikuwa na jukumu la kupitia majibu ya hoja za ukaguzi kwa mwaka 2013/2014.Hata hivyo katika hotuba yake kwa madiwani hao kabla ya kuvunjwa kwa baraza hilo kupisha uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu, Mkuu huyo wa mkoa alitumia fursa hiyo kuwapongeza...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
CCM BlogKAMATI KUU YA CCM YAMPONGEZA RAIS DK. MAGUFULI NA WASAIDIZI WAKE, NI KWA KUSIMAMIA VYANZO VYA MAPATO YA SERIKALI, KUDHIBITI MATUMIZI YA SERIKALI NA UHIMIZAJI WANANCHI KUFANAYA KAZI KWA BIDII
11 years ago
Michuzi16 Jul
Mafundisho: Matumizi sahihi ya Facebook kwa Wafanyabiashara
![](https://ci6.googleusercontent.com/proxy/uhI4RXBiuKKeG9gM2jJYYBpKuJqKIsvUDPeg2aov2MqB8CvJmQNwDcfg-F8XBXtxuQnzxep0nd9a-sL2ww0LOktoFwMRsaK1SbPAMpvaBL9mNrK2UnwBvpbMXKHg=s0-d-e1-ft#http://www.dudumizi.com/images/Facebook-for-Small-Business-dudumizi.jpg)
Kwa kulitambua hilo, Dudumizi Technologies LTD inakuletea mafunzo juu ya njia na namna sahihi za kutumia Facebook kukuza na kuboresha Biashara.
Mafunzo haya yatakuwa ya wiki mbili, bila kukuchosha (tukitambua muda ni kitu muhimu kwa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ea4x8ggFHeLMmnFDcZSVyJywUp2KfKp6fZACYUib7gofOJ9VodKxQHoyrc342XfjyvP3n9xMhsPCw7tjctc93x6JKGGolVdF/CHEKANAKITIME.jpg?width=650)
MATUMIZI SAHIHI YA SIMU KWA WENYE MICHEPUKO
5 years ago
BBCSwahili03 Apr
Virusi vya Corona: Barakoa ipi ni sahihi kwa matumizi?
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-xxcDMj7E4Zs/VUD2KarkWWI/AAAAAAAHUGM/E4eETkhkpmA/s72-c/1.jpg)
BASATA, TCRA WATAKA MATUMIZI SAHIHI YA MITANDAO YA KIJAMII KWA WASANII
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) na mamlaka ya mawasiliano nchini (TCRA) mapema wiki hii wamelaani matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii miongoni mwa wasanii wakati wa programu ya Jukwaa la Sanaa iliyofanyika makao makuu ya Baraza hilo yaliyoko Ilala Sharif Shamba jijini Dar es Salaam.
Akiongea wakati akiwasilisha mada iliyohusu ‘Matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii kwa wasanii’, Meneja mawasiliano wa TCRA Innocent Mungy alisema kuwa wasanii ni kioo cha jamii hivyo kwa...
9 years ago
StarTV17 Dec
Mgawanyo Wa Mali, Watumishi Madiwani Ulanga na Malinyi wavutana
Mvutano mkali umezuka baina ya madiwani wa Halmashauri ya Ulanga na wale wa Halmashauri mpya ya Malinyi baada ya Madiwani wa Malinyi kutaka kupewa muongozo na kufahamishwa juu ya mgawanyo wa mali na watumishi utakaofanyika katika halmashauri hizo.
Mjadala huo umetokea mara baada ya mkurungezi wa Ulanga kusoma taarifa ya utekelezaji wa kipindi cha miezi sita ambacho madiwani hao hawakuwepo ndipo wakaanza kuhoji ni kwa nini hakuna taarifa ya mgawanyo huo hatua iliyomlazimu mkuu wa Mkoa...
10 years ago
Dewji Blog07 Jun
Hotuba iliyowasilisha bungeni ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Fedha kwa mwaka 2015/16
Waziri wa Fedha, Mhe. Saada Mkuya Salum akiwasilisha makadirio ya matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka 2015/16 leo Bungeni mjini Dodoma.
HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA 2015-16 (30MAY2015).pdf
11 years ago
Dewji Blog25 Jul
Elimu duni na isiyo sahihi ya matumizi ya Kondomu inachangia maambukizi mapya ya VVU kwa Vijana
Afisa Mradi wa Elimu ya Afya na VVU/UKIMWI kutoka UNESCO, Bw. Herman Mathias akizungumza na washauri wa Vikundi vya Vijana wasikilizaji juu ya masuala muhimu kuhusiana na kuzuia maambukizi ya VVU na Afya ya Uzazi kwa Vijana wenye umri kati ya miaka 15-24 katika warsha ya kuwajengea uwezo washiriki hao katika matumizi ya mwongozo wa ufuatiliaji wa vipindi kwa wasikilizaji walengwa wa Mradi wa SHUGA Redio inayofanyika kwenye kituo cha Redio Nuru FM mjini Iringa.(Picha zote na Zainul Mzige wa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-d-eKa-Fv0Rs/XqRIl1UwIRI/AAAAAAALoL4/VzFlj38t7pwfp-D7x-8dDNktCwtPXL4FwCLcBGAsYHQ/s72-c/ndalichako.png)
HOTUBA YA WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA YA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2020/21
![](https://1.bp.blogspot.com/-d-eKa-Fv0Rs/XqRIl1UwIRI/AAAAAAALoL4/VzFlj38t7pwfp-D7x-8dDNktCwtPXL4FwCLcBGAsYHQ/s640/ndalichako.png)