Mafundisho: Matumizi sahihi ya Facebook kwa Wafanyabiashara
Katika dunia ya leo, kama wewe ni mfanyabiashara basi hauwezi epuka ushawishi wa mitandao jamii. Ingawa wengi wetu tumekuwa tukiitumia mitandao jamaa kwa ajili ya mawasiliano pekee, ila kuna mengi yanaweza kufanyika na kusaidia kukuza ufannisi wa biashara yako.
Kwa kulitambua hilo, Dudumizi Technologies LTD inakuletea mafunzo juu ya njia na namna sahihi za kutumia Facebook kukuza na kuboresha Biashara.
Mafunzo haya yatakuwa ya wiki mbili, bila kukuchosha (tukitambua muda ni kitu muhimu kwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ea4x8ggFHeLMmnFDcZSVyJywUp2KfKp6fZACYUib7gofOJ9VodKxQHoyrc342XfjyvP3n9xMhsPCw7tjctc93x6JKGGolVdF/CHEKANAKITIME.jpg?width=650)
MATUMIZI SAHIHI YA SIMU KWA WENYE MICHEPUKO
10 years ago
Michuzi13 Aug
Matumizi bora ya Facebook kwa Biashara
Je kwa kutumia tangazo la kwenye TV au Radio ambapo hauna uhakika hata saa ngapi wataonesha tangazo unalohitaji? Au kwa kupitia gazeti ambapo wengi wetu sasa inapita hata mwezi bila kusoma gazeti lililochapishwa? Au ni mara ngapi umetumia...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-NkjbzwV62zg/VZr5f8CDRRI/AAAAAAAHnZs/tVU7U7jMXm4/s72-c/unnamed%2B%252851%2529.jpg)
MADIWANI ULANGA WAPONGEZWA KWA KUSIMAMIA MATUMIZI SAHIHI YA MAPATO.
5 years ago
BBCSwahili03 Apr
Virusi vya Corona: Barakoa ipi ni sahihi kwa matumizi?
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-xxcDMj7E4Zs/VUD2KarkWWI/AAAAAAAHUGM/E4eETkhkpmA/s72-c/1.jpg)
BASATA, TCRA WATAKA MATUMIZI SAHIHI YA MITANDAO YA KIJAMII KWA WASANII
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) na mamlaka ya mawasiliano nchini (TCRA) mapema wiki hii wamelaani matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii miongoni mwa wasanii wakati wa programu ya Jukwaa la Sanaa iliyofanyika makao makuu ya Baraza hilo yaliyoko Ilala Sharif Shamba jijini Dar es Salaam.
Akiongea wakati akiwasilisha mada iliyohusu ‘Matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii kwa wasanii’, Meneja mawasiliano wa TCRA Innocent Mungy alisema kuwa wasanii ni kioo cha jamii hivyo kwa...
11 years ago
Dewji Blog25 Jul
Elimu duni na isiyo sahihi ya matumizi ya Kondomu inachangia maambukizi mapya ya VVU kwa Vijana
Afisa Mradi wa Elimu ya Afya na VVU/UKIMWI kutoka UNESCO, Bw. Herman Mathias akizungumza na washauri wa Vikundi vya Vijana wasikilizaji juu ya masuala muhimu kuhusiana na kuzuia maambukizi ya VVU na Afya ya Uzazi kwa Vijana wenye umri kati ya miaka 15-24 katika warsha ya kuwajengea uwezo washiriki hao katika matumizi ya mwongozo wa ufuatiliaji wa vipindi kwa wasikilizaji walengwa wa Mradi wa SHUGA Redio inayofanyika kwenye kituo cha Redio Nuru FM mjini Iringa.(Picha zote na Zainul Mzige wa...
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/07/DSC_0084.jpg)
ELIMU DUNI NA ISIYO SAHIHI YA MATUMIZI YA KONDOMU INACHANGIA MAAMBUKIZI MAPYA YA VVU KWA VIJANA
9 years ago
Mwananchi19 Oct
Matumizi sahihi ya Kiswahili
10 years ago
Habarileo28 Nov
Asisitiza matumizi ya takwimu sahihi
WATANZANIA wametakiwa kutumia takwimu sahihi kuanzia ngazi ya vijiji kwa lengo la kutathmini mipango ya maendeleo huku wakionywa kutotumia takwimu zisizo sahihi kwani zitasababisha matokeo yasiyo sahihi na kuathiri jamii.