Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Matumizi sahihi ya Kiswahili

Ni kawaida kwa mwandishi kuandika makala zake ili kuielimisha, kuiburudisha au kuielekeza jamii  kwa lengo la kuleta mabadiliko. Ili kumwezesha kutekeleza jukumu hili kwa usahihi, mwandishi anapaswa kutumia lugha rahisi na inayozingatia misingi ya sarufi na fasihi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Serikali yasisitiza matumizi sahihi ya Kiswahili


Na Eleuteri Mangi, WHUSM, Dodoma.

Katika hali ya kawaida herufi huunda neno na maneno huunda sentensi nayo sentensi huunda kikundi cha maneno. Kwa kawaida neno ni tamko mojawapo miongoni mwa mengi ambalo mtu hulitamka katika mchakato wa mazungumzo unaopelekea iwepo misemo ambayo ni fungu la maneno yenye maana mahususi ili kutoa fundisho kwa jamii.

Kwa mantiki hiyo, semi ni maneno yanayozungumzwa na watu yanayoleta maana mahususi katika lugha inayozungumzwa katika eneo fulani. Kiswahili ikiwa...

 

10 years ago

Habarileo

Asisitiza matumizi ya takwimu sahihi

WATANZANIA wametakiwa kutumia takwimu sahihi kuanzia ngazi ya vijiji kwa lengo la kutathmini mipango ya maendeleo huku wakionywa kutotumia takwimu zisizo sahihi kwani zitasababisha matokeo yasiyo sahihi na kuathiri jamii.

 

10 years ago

Habarileo

‘Elimisheni jamii matumizi sahihi ya maji’

MAMLAKA za majisafi na usafi wa mazingira nchini zimetakiwa kutumia maadhimisho ya Wiki ya Maji kuelimisha watumiaji wa huduma hizo matumizi sahihi ya maji kukabili ongezeko la Ankara za maji.

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YASISITIZA MATUMIZI YA TAKWIMU SAHIHI

Kaimu Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Ofisi Bw. Michael Madembwe akizungumza na wazalishaji na watumiaji wa takwimu leo jijini Dar es salaam. Warsha hiyo imewakutanisha wadau hao kutoka maeneo mbalimbali nchini, kubadilishana uzoefu na kuangalia changamoto mbalimbali zinazojitokeza katika usambazaji na ukusanyaji wa takwimu nchini. Kamishna wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012, Hajjat Amina Mrisho Said akifungua warsha ya siku mbili ya wazalishaji na watumiaji wa takwimu kutoka ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Serikali yasisitiza matumizi ya takwimu sahihi

NBS -1

Kaimu Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Ofisi Bw. Michael Madembwe akizungumza na wazalishaji na watumiaji wa takwimu leo jijini Dar es salaam. Warsha hiyo imewakutanisha wadau hao  kutoka maeneo mbalimbali nchini, kubadilishana uzoefu na kuangalia changamoto mbalimbali zinazojitokeza katika usambazaji na ukusanyaji wa takwimu nchini.

Na  Aron Msigwa

SERIKALI imetoa wito kwa watafiti na wataalam kutoka vyuo vikuu, taasisi za elimu na mashirika binafsi kushiriki kikamilifu kuhamasisha  jamii...

 

11 years ago

Michuzi

Mafundisho: Matumizi sahihi ya Facebook kwa Wafanyabiashara

Katika dunia ya leo, kama wewe ni mfanyabiashara basi hauwezi epuka ushawishi wa mitandao jamii. Ingawa wengi wetu tumekuwa tukiitumia mitandao jamaa kwa ajili ya mawasiliano pekee, ila kuna mengi yanaweza kufanyika na kusaidia kukuza ufannisi wa biashara yako.
Kwa kulitambua hilo, Dudumizi Technologies LTD inakuletea mafunzo juu ya njia na namna sahihi za kutumia Facebook kukuza na kuboresha Biashara.

Mafunzo haya yatakuwa ya wiki mbili, bila kukuchosha (tukitambua muda ni kitu muhimu kwa...

 

11 years ago

GPL

MATUMIZI SAHIHI YA SIMU KWA WENYE MICHEPUKO

JAMAA zangu wengi sana wanapata taabu kwa sababu ya simu. Kidude hiki ambacho kinatakiwa kitupunguzie shida katika maisha chenyewe ndicho kimekuwa shida kubwa. Mtu unakuwa huna raha kabisa shauri ya kidude hiki why? Jamani why? Kuna hii ishu ya kuwa na michepuko, kimsingi hili jambo ni gumu kumalizika, kwa hiyo sihangaiki kuwaambia watu waache, huko ni sawa na kukataza jua lisizame pia hayanihusu. Mtu anakuwa na mchepuko wake, na...

 

10 years ago

GPL

WASANII WASISITIZWA MATUMIZI SAHIHI YA MITANDAO YA KIJAMII

Mdau wa Sanaa Henry Mdimu (Kulia) akisisitiza umuhimu wa kuwa na mitandao ya kijamii kwa wasanii (hawapo pichani) katika Jukwaa la Sanaa la Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA). Kushoto ni Afisa Sanaa wa BASATA, Augustino Makame. Afisa Habari wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Aristides Kwizela (Kulia) akisisitiza jambo kwa Wasanii (Hawako pichani) wakati wa Jukwaa la Sanaa lililofanyika mapema wiki kwenye Ukumbi wa Baraza hilo...

 

9 years ago

GPL

MWANASHERIA WA WIZARA YA MAWASILIANO ASISITIZA MATUMIZI SAHIHI YA MITANDAO

Mwanasheria wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia (MCST), Eunice Masigata akitoa ufafanuzi kwenye kikundi juu ya matumizi sahihi ya sheria za mitandao. Baadhi ya wananchi na wanahabari wakimsikiliza kwa makini.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani