Elimu duni na isiyo sahihi ya matumizi ya Kondomu inachangia maambukizi mapya ya VVU kwa Vijana
Afisa Mradi wa Elimu ya Afya na VVU/UKIMWI kutoka UNESCO, Bw. Herman Mathias akizungumza na washauri wa Vikundi vya Vijana wasikilizaji juu ya masuala muhimu kuhusiana na kuzuia maambukizi ya VVU na Afya ya Uzazi kwa Vijana wenye umri kati ya miaka 15-24 katika warsha ya kuwajengea uwezo washiriki hao katika matumizi ya mwongozo wa ufuatiliaji wa vipindi kwa wasikilizaji walengwa wa Mradi wa SHUGA Redio inayofanyika kwenye kituo cha Redio Nuru FM mjini Iringa.(Picha zote na Zainul Mzige wa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/07/DSC_0084.jpg)
ELIMU DUNI NA ISIYO SAHIHI YA MATUMIZI YA KONDOMU INACHANGIA MAAMBUKIZI MAPYA YA VVU KWA VIJANA
11 years ago
Habarileo26 Jul
Elimu duni ya kondomu yachagiza maambukizi mapya ya VVU
TAFITI zimebaini kwamba vijana hawatumii kondomu kwa madai ya kutopata ladha wakati wa kufanya mapenzi.
10 years ago
Dewji Blog16 Mar
Elimu itolewe kwa wananchi ili kuzuia kasi ya maambukizi mapya ya VVU Wilayani Mafia — Mama Salma Kikwete
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete akizungumza na wafanyakazi wa hospitali ya Wilaya ya Mafia (hawapo pichani).
Baadhi ya wafanyakazi wa hospitali ya Wilaya ya Mafia wakifuatilia kwa makini hotuba iliyokuwa ikitolewa na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete (hayupo pichani).
Na Anna Nkinda – Maelezo, Mafia
Viongozi wa wilaya ya Mafia na wafanyakazi wa Idara ya afya wametakiwa kuhakikisha elimu ya maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) inatolewa...
11 years ago
Dewji Blog24 Jul
Tabia na tamaduni hatarishi zinazochangia maambukizi ya VVU kwa Vijana zabainishwa
Afisa Mradi wa Elimu ya Afya na VVU/UKIMWI kutoka UNESCO, Bw. Herman Mathias akitoa mada kuhusu tabia hatarishi zinazochangia maambukizi mapya ua VVU kwa Vijana katika warsha ya siku tatu ya Mradi wa SHUGA Redio inayofanyika katika Kituo cha Redio cha Nuru FM mjini Iringa.
Na Mwandishi wetu
Idadi kubwa ya Vijana hususan wa kike wenye umri kati ya miaka 15 hadi 24 wanaanza kufanya mapenzi katika umri mdogo jambo ambalo linaashiria hatari ya maambukizi ya VVU ikilinganishwa na idadi ya...
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/07/DSC_0092.jpg?width=650)
TABIA NA TAMADUNI HATARISHI ZINAZOCHANGIA MAAMBUKIZI YA VVU KWA VIJANA ZABAINISHWA
11 years ago
Dewji Blog30 Jun
Mradi mpya wa SHUGA unaoelekeza kupunguza Maambukizi ya VVU kwa Vijana waanzishwa katika Redio Jamii
Meneja wa kituo cha Sengerema FM Redio, Ndg. Felician Ncheye, akitoa nasaha za ukaribisho kwa washiriki wa mradi wa SHUGA na mgeni rasmi. Katikati ni Mgeni rasmi Mratibu wa UKIMWI halmashauri ya Sengerema mkoa wa Mwanza kupitia mradi wa TACAIDS, Ndg. Geofrey Mabu na Kulia ni Afisa Mipango VVU/UKIMWI UNESCO, Ndg. Herman Mathias.(Picha zote na Zainul Mzige wa MOblog).
Na Mwandishi wetu, SENGEREMA – MWANZA
Redio za jamii nchini zimeaswa kutumika vizuri katika kuelimisha kamii juu ya...
10 years ago
Dewji Blog24 Feb
Serikali na wadau mbalimbali kuendelea kutoa elimu kwa makundi yaliyo katika hatari ya kupata maambukizi ya VVU
Na Aron Msigwa – MAELEZO
SERIKALI imesema kuwa itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali wa sekta ya Afya kutoa elimu kwa makundi ya watu wanaotumia dawa za kulevya na wale wanaojihusisha na biashara ya ngono katika maeneo...
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/06/DSC_0125.jpg)
MRADI MPYA WA SHUGA UNAOELEKEZA KUPUNGUZA MAAMBUKIZI YA VVU KWA VIJANA WAANZISHWA KATIKA REDIO JAMII
10 years ago
Dewji Blog17 Jun
73% ya maambukizi ya VVU yanayotokea miongoni mwa vijana Barani Afrika huwapata wasichana — Mama Kikwete
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akielekea kwenye ukumbi wa mkutano wa Sandton International Center uliofanyika mkutano wa wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika huko Johannesburg nchini Afrika Kusini tarehe 15.6.2015. Aliyefuatana na Mama Salma ni Mwenyekiti wa OAFLA anayemaliza muda wake Mama Hinda Derby Itno.(PICHA NA JOHN LUKUWI).
Na Anna Nkinda – Johannesburg, Afrika ya Kusini
Asilimia 73 ya maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) yanayotokea miongoni mwa vijana Barani Afrika huwapata...