Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Halmashauri yakosa mapato ushuru wa mabasi

BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Igunga, mkoani Tabora, limeiagiza  halmashauri hiyo kuanza kukusanya ushuru wa mapato ya mabasi ya abiria. Hatua hiyo inakuja baada ya halmashauri hiyo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Halmashauri zalipwa deni la ushuru wa mazao

Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen WassiraSHILINGI bilioni 1.4 zimelipwa kwa halmashauri mbalimbali nchini, zikiwa ni deni la ushuru wa mazao inayodaiwa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA).

 

10 years ago

Michuzi

Halmashauri ya mji wa Kahama yapokea ushuru wa asilimia 0.3 kutoka mgodi wa Buzwagi

Kampuni ya ACACIA kupitia mgodi wake wa Buzwagi uliopo kwenye halmashauri ya mji wa Kahama,imeipatia ushuru wa asilimia 0.3 (0.3%) ya mapato ghafi halmashauri hiyo,ikiwa ni ushuru kwa kipindi cha miezi sita (Julai - Disemba,2014) ambayo ni zaidi ya shilingi za kitanzania millioni 800,uliokabidhiwa kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Kahama.Kaimu Meneja Mkuu wa mgodi wa Buzwagi  ulio chini ya Kampuni ya ACACIA,Ing. Mutereko Muganda (wa pili kushoto) akikabidhi mfano wa hundi yenye ...

 

10 years ago

Michuzi

Acacia Mining yaingia makubaliano na halmashauri tatu nchini ya ulipaji wa ushuru wa huduma (Service levy)

Kampuni ya Acacia Mining Ltd imetiliana saini ya Makubaliano (MoU) na Halmashauri za Wilaya ya Tarime, Kahama na Msalala ili kuweza kutekeleza ulipaji wa ushuru wa huduma (service levy) kwa kiwango cha asilimia 0.3 ya mapato ghafi ya kampuni hiyo kwa mwaka mzima kwa mujibu wa sheria ya Serikali za Mitaa.  Tukio hilo limefanyika tarehe 10 Juni, 2015 jijini Dar es Salaam makao makuu ya Wizara ya Nishati na Madini na kushuhudiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Benson Mpesya, Makamu wa Rais wa...

 

11 years ago

Habarileo

Halmashauri zatakiwa kuongeza mapato

MKUU wa Mkoa wa Kusini Unguja, Dk Idrissa Muslim Hija amewataka watendaji wa Serikali ya Mkoa wa Kusini, ikiwemo Halmashauri za miji, kuongeza mapato kwa ajili ya kutekeleza miradi waliyojipangia.

 

10 years ago

Dewji Blog

Halmashauri ya Singida yakusanya mapato ya sh bil 11/-

DSC05520

Makamu mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Singida vijijini, Elia Digha, akitoa taarifa ya mapato na matumizi kwa kipindi cha kuanzia Julai mwaka jana hadi Machi 30 mwaka huu mbele ya kikao cha kawaiada cha madiwani. Digha alisema kuwa halmashauri hiyo ilikusanya zaidi yashilingi bilioni 11.4 ikiwa ni sawa na asilimia 49 ya  lengo la kukusanya zaidi ya shilingi bilioni 22.1.

DSC05514

Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Singida vijijini, Iddi Mnyampanda, akizungumza kwenye ufunguzi wa kikao...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Halmashauri ziondoe usiri kwenye mapato’

HALMASHAURI za wilaya nchini na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) zimetakiwa kuondoa usiri kwenye mapato wanayokusanya hasa katika kodi za majengo. Wito huo ulitolewa mjini hapa juzi na Makamu Mwenyekiti...

 

10 years ago

Michuzi

Kilio cha Mdau juu ya ushuru unaolipishwa katika kituo kikuu cha mabasi Ubungo

Salam kwako Ankal na timu nzima ya Globu ya Jamii,
Tunawapongeza sana kwa kazi nzuri mnayoendelea kuifanya ya kutujuza mambo mbali mbali yanayoendelea hapa nchini na nje ya mipaka ya nchi yetu,tunawapa BIGI APU sana kwa kweli.
Kupitia libeneke la Globu ya Jamii,naomba nifikishie kero yangu hii kwa wahusika wa Halmashauri ya Jiji,maana leo nilifika pale kwenye stendi kuu ya mabasi (Ubungo Bus Terminal) na kukutana na  utaratibu wa kulipisha kiasi cha sh. 300 ikiwa ni gharama ya maegesho ya...

 

5 years ago

CCM Blog

HALMASHAURI YA NJOMBE YAVUKA TENA MALENGO UKUSANYAJI MAPATO


Na Amiri kilagalila,NjombeHALMASHAURI ya wilaya ya Njombe ambayo asilimia 70 ya mapato yake inayapata kutoka kwenye mazao ya miti , imefanikiwa kuvuka tena lengo la makusanyo ya mwaka 2019/2020 katika kipindi cha robo tatu ya mwaka kwa kukusanya asilimia 108 ya mapato.Ripoti hiyo ya makusanyo imetolewa katika kikao cha baraza na mwenyekiti wa halmashauri Valentino Hongoli na kutolewa ufafanunuzi na mkurugenzi Ally Juma ambaye anasema siri ya mafanikio makubwa katika makusanyo yametokana na...

 

5 years ago

Michuzi

KAWAWA AITAKA HALMASHAURI YA CHALINZE KUSIMAMIA MAPATO YA NDANI




Na Mwamvua Mwinyi, ChalinzeMKUU wa Wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani Zainab Kawawa, ameitaka halmashauri ya Chalinze kusimamia mapato ya ndani na kuwaasa kutowafumbia macho watumishi ambao wanasababisha kushuka kwa mapato.
Aidha amesisitiza kuweka watumishi wanaosimamia ushuru kukaa kwenye maeneo ya uchimbaji kokoto, hatua inayolenga kuwadhibiti wafanyabiashara wanaojihusisha na ukwepaji wa ushuru.
Zainab alieleza hayo ,katika kikao cha kupitia taarifa ya mkaguzi wa Serikali (CAG),...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani