Acacia Mining yaingia makubaliano na halmashauri tatu nchini ya ulipaji wa ushuru wa huduma (Service levy)
![](http://2.bp.blogspot.com/-x4mFp7c62ww/VXqYkX4r3wI/AAAAAAAHe3k/rokZHkcdQ5o/s72-c/unnamed%2B%252818%2529.jpg)
Kampuni ya Acacia Mining Ltd imetiliana saini ya Makubaliano (MoU) na Halmashauri za Wilaya ya Tarime, Kahama na Msalala ili kuweza kutekeleza ulipaji wa ushuru wa huduma (service levy) kwa kiwango cha asilimia 0.3 ya mapato ghafi ya kampuni hiyo kwa mwaka mzima kwa mujibu wa sheria ya Serikali za Mitaa. Tukio hilo limefanyika tarehe 10 Juni, 2015 jijini Dar es Salaam makao makuu ya Wizara ya Nishati na Madini na kushuhudiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Benson Mpesya, Makamu wa Rais wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-kU-8khd9th8/VXnAaCkSCHI/AAAAAAAHezE/H5TFZsb4c9U/s72-c/unnamed%2B%252837%2529.jpg)
Acacia Mining yaingia makubaliano na halmashauri tatu nchini
![](http://1.bp.blogspot.com/-kU-8khd9th8/VXnAaCkSCHI/AAAAAAAHezE/H5TFZsb4c9U/s640/unnamed%2B%252837%2529.jpg)
10 years ago
TheCitizen20 Oct
Barrick to pay more in service levy
11 years ago
Daily News03 Mar
Service levy boosts Serengeti revenue
Daily News
SERENGETI District Council's coffer expected to burgeon following its move to start collecting service levy from some tourist hotels and tented camps operating in the famous wildlife- rich district. Mr John Ng'oina, the Serengeti District Council Chairman ...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-s_kcfRBlKA8/XlntJhrbrrI/AAAAAAALgAQ/Hdw6ZQgwxYMF-UcaCuxvCx_L-QpDCzOgQCLcBGAsYHQ/s72-c/f739698c-0af8-446b-80c2-676b2951e730.jpg)
SERIKALI YA JAPAN YAINGIA MIKATABA MINNE KUUNGA MKONO HUDUMA ZA KIJAMII KATIKA VIJIJI NCHINI TANZANIA
![](https://1.bp.blogspot.com/-s_kcfRBlKA8/XlntJhrbrrI/AAAAAAALgAQ/Hdw6ZQgwxYMF-UcaCuxvCx_L-QpDCzOgQCLcBGAsYHQ/s640/f739698c-0af8-446b-80c2-676b2951e730.jpg)
Serikali hiyo ya Japan ikiwakilishwa na Balozi Goto Shinichi imeingia mkataba wa kusambaza magari ya wagonjwa katika hospitali ya KCMC wenye thamani ya dola za Kimarekani 52,996.
Mkataba mwengine ni pamoja na kusaidia mazingira ya elimu katika wilaya...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-nocnZAEPepQ/VYzZ65I35bI/AAAAAAAARhs/wzKGgmvN-ZM/s72-c/E86A1725%2B%25281280x853%2529.jpg)
ACACIA MINING ORGANISES MT KILIMANJARO CLIMB TO RAISE FUNDS FOR EDUCATION IN TANZANIA.
![](http://1.bp.blogspot.com/-nocnZAEPepQ/VYzZ65I35bI/AAAAAAAARhs/wzKGgmvN-ZM/s640/E86A1725%2B%25281280x853%2529.jpg)
Through its CanEducate, a charity that provides educational sponsorships to impoverished and at-risk children in developing countries including Tanzania, the company targets to raise $200,000.
As it costs $75 a year to send a student to school in Tanzania, the targeted donation...
10 years ago
TheCitizen05 Apr
200 tourist hotels up in arms over hefty city service levy
10 years ago
TheCitizen04 Feb
Gold mine pays Sh863m service levy to Tarime council
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-I14sTKfkDnA/VUoMI3CkNzI/AAAAAAAATS4/1WEkDlYNO-E/s72-c/EY_01.jpg)
ERNEST AND YOUNG RELEASES 2014 ACACIA MINING INVESTMENT AND ECONOMIC CONTRIBUTION IN TANZANIA
![](http://2.bp.blogspot.com/-I14sTKfkDnA/VUoMI3CkNzI/AAAAAAAATS4/1WEkDlYNO-E/s1600/EY_01.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-lYLcvKdfL2k/VUoMlt5cPrI/AAAAAAAATTA/FOE942Cf03I/s1600/Acacia_Brad%2BGordon.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-duTzsOH-W30/VUoM3jxlkQI/AAAAAAAATTQ/sDH0vfd_tTQ/s1600/Deo_Mwanyika.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-ihSjlx8Y-z8/VWLEijQcD3I/AAAAAAAAUDo/F_vbPiTIB40/s72-c/Group%2Bof%2B15years.jpg)
ACACIA HONOURS IT'S DAR OFFICE EMPLOYEES FOR LONG SERVICE
All team members are exposed to a unique world class Cultural Transformation Programme, called...